Afya yako

Afya yako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya yako, Medical and health, kimara, Dar es Salaam.

Hii ni Dawa Inayozuia Kuzeeka Na kupambana na Magonjwa Yoote Ya siyoambukiza Presha, Sukari, Kwa wale Wenye VVU huimaris...
14/03/2024

Hii ni Dawa Inayozuia Kuzeeka Na kupambana na Magonjwa Yoote Ya siyoambukiza Presha, Sukari, Kwa wale Wenye VVU huimarisha CD4 Na Urekebishaji wa DNA ya Kupambana na Kuzeeka -NMN hutumiwa kurekebisha nyuzi za DNA zilizovunjika
SIRTUIN Activator - NMN inahitajika ili jeni zetu za maisha marefu zifanye kazi na ziongezeke.
Huongeza Umetaboli wa Nishati - NMN husaidia kugawanya chakula k**a sukari kuwa nishati. Kuzuia na kutibu kisukari, Afya ya Ubongo na Moyo - Kuzuia shida ya akili; Amilisha mishipa ya damu na misuli.💯
VUA GAMBA K**A NYOKA FOREVER YOUNG







11/03/2024

Wahi upate suluisho la tatizo lako 0654693617

Ugonjwa sugu wa bomba la hewa (Chronic bronchitis) ni uwepo wa kikohozi kinachotoa makohozi kwa angalau miezi 3 kwa miak...
11/03/2024

Ugonjwa sugu wa bomba la hewa (Chronic bronchitis) ni uwepo wa kikohozi kinachotoa makohozi kwa angalau miezi 3 kwa miaka 2 mfululizo. Uvutaji wa sigara ndio kisababishi kikuu cha ugonjwa sugu wa bomba za hewa. Uvutaji wa sigara huchangia 85-90% ya magonjwa sugu ya mfumo wa mapafu (COPD).

Uvutaji tumbaku, sh**ha, sigara, na bangi husababisha uharibifu sawa katika mfumo wa hewa.

Sumu katika moshi wa sigara huunguza vinyoleo (cilia) na hatimaye kuondoa ulinzi muhimu katika mfumo wa kupumua. Uvutaji sigara unaweza pia kuongeza upinzani wa njia ya hewa kwa kubana misuli laini ya upumuaji.

08/03/2024

K**a ushawahi kubonyeza mguu wako na ukawa k**a mguu huu yaani unabonyea au k**a muda huu ukibonyeza na ukiwa unafanya hivo basi jua ya kwamba ishafika saa 5 usiku.
Mambo ambayo yameshafika saa 5 usiku ni kwamba figo,moyo na ini havifanyi kazi

K**a ukibonyeza mguu ukaona hivi kimbia mbio hospitali na upime vipimo vya moyo,figo na ini haraka sana kabla haijafika saa 6 usiku

Mambo yafuatayo yataweza kukupeleka saa 6 usiku: kula ugali,soda,wali,chips,pombe ili hali unaishi mjini na huna mazoezi au hufanyi kazi yeyote ngumu,Acha hivo vitu haraka sana

Kwa ushauri na tiba piga 0654693617

Huu ni muonekano wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula sehemu ya tumbo, huyu mtu amekua akipitia changamoto ya kupata choo k...
20/02/2024

Huu ni muonekano wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula sehemu ya tumbo, huyu mtu amekua akipitia changamoto ya kupata choo kigumu kwa muda mrefu, Unaweza kujiuliza kwanini unapatwa na changamoto ya kufunga choo au unapata choo kigumu(Constipation)

Zijue sababu za Ugonjwa au hali ya Kupata choo kigumu katika mwili wa binadamu

Sababu za kufunga choo katika mwili wa binadamu zinaweza kutofautiana, lakini hapa kuna baadhi ya sababu.

1.Upungufu wa Maji: Kunywa maji kidogo kunaweza kufanya kinyesi kiwe kigumu na kusababisha kufunga choo.

2.Lishe Isiyofaa: Uhaba wa nyuzinyuzi au lishe isiyosheheni inaweza kusababisha matatizo ya kifuko cha kinyesi.

3.Uvivu wa Mishipa ya Utumbo: Kutofanya mazoezi ya kutosha kunaweza kupunguza harakati za utumbo na kusababisha kufunga choo.

4.Matumizi ya Dawa: Baadhi ya dawa, k**a vile dawa za kupunguza maumivu au dawa za shinikizo la damu, zinaweza kusababisha kufunga choo.

5.Matatizo ya Kimetaboliki: Matatizo k**a ugonjwa wa kisukari au tezi dume iliyoongezeka yanaweza kuchangia tatizo hili.

6.Hali za Kisaikolojia: Msongo wa mawazo au wasiwasi unaweza kuathiri utendaji wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

Ni muhimu kuzingatia mlo wenye afya, kunywa maji, kufanya mazoezi, kula virutubisho sahihi.. ikiwa tatizo la kufunga choo linaendelea nimuhimu kufanya uchunguzi kubaini chanzo cha tatizo. Karibu WhatsApp kwa msaada zaidi piga 0654693617

Je choo chako kipo kundi gani kati ya makundi hayo, je unatatizo la constipation, jipatie matibabu kabla haijakupa madha...
20/02/2024

Je choo chako kipo kundi gani kati ya makundi hayo, je unatatizo la constipation, jipatie matibabu kabla haijakupa madhara makubwa zaidi

HABARI NJEMA KWA WAGONJWA WA KISUKARI K**a wewe ni Mgonjwa wa kisukari ambaye umekuwa ukihangaika sana kwa mda mrefu na ...
15/02/2024

HABARI NJEMA KWA WAGONJWA WA KISUKARI

K**a wewe ni Mgonjwa wa kisukari ambaye umekuwa ukihangaika sana kwa mda mrefu na ugonjwa wa kisukari bila ya kupata ufumbuzi.

Baada ya kuwa hudumia wagonjwa wengi wa kisukari nimekuja kugundua kuwa Dawa za kisukari hushusha tu sukari mwilini na hazizuii madhara yatokanayo na kisukari k**a watu wengi wanavyo dhani.

Ipo njia nzuri na rahisi ya kutumia dawa, Inashusha sukari na kuondokana na madhara yatokanayo na kisukari. Mfano Vidonda Visivyo Pona

Nina toa ELIMU BURE Kwa wagonjwa wa kisukari juu ya;
1.Hatua 5 anazopita mgonjwa wa kisukari
2.Namna sahihi ya kutumia Dawa
3.Namna ya kutibu magonjwa nyemelezi ya tokanayo na kisukari.
4.Chakula anachotakiwa kutumia.

UJUMBE HUU NI KWA WAGONJWA WA KISUKARI TU .
Nipigie 0743724628
Whatsapp 0654693617

Address

Kimara
Dar Es Salaam
432

Telephone

+255654693617

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya yako:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram