18/02/2024
LIVER DETOX
Dawa ya mitishamba maalum kwa ajili ya kutoa sumu kwenye Ini na mwilini.
Ini ndio kiungo kikubwa mwilini na chenye kazi zaidi ya mia Moja mwilini.
Ila kazi kubwa ya Ini ni kuchuja na kupunguza sumu mwilini kabla hata ya kuenea sehemu zingine k**a kwenye Figo.
๐Liver detox pia Inatibu magonjwa ya Ini k**a homa za Ini ( hepatitis).
๐Ina rekebisha utendaji kazi wa nyongo na kutoa mawe ( gall stones).
๐Ina rekebisha seli za kongosho na kurekebisha kiwango Cha sukari.
๐Ina tibu malaria sugu.
Viungo vya mimea vilivyomo: Milk thistle, Dandelion root extract.
Wasiliana nasi kwa namba
๐Dar es salaam Goba njia nne 0673402024 na 0688820050
๐Arusha Kaloleni mnara wa mwenge, 0766607688
๐Mwanza Buhongwa opposite na geti ya Buhongwa secondary 0682034530