Dkt. Emmanuel &Fursa

  • Home
  • Dkt. Emmanuel &Fursa

Dkt. Emmanuel &Fursa TEZI DUME INATIBIKA BILA UPASUAJI
NJOO UPATE DAWA
Dkt. Emmanuel Theophilo
0767595644

05/05/2024

DUME DALILI, NA LA
Saratani ya tezi dume ni ugonjwa hatari unaoathiri maelfu ya wanaume duniani kote kila mwaka.

Kupata Suruhisho piga Simu 0767595644
.
https://youtu.be/OWK8M8LamkU?si=370kRS_hfthgVJX3
👆🏾Fahamu zaidi hapo Subscribe ili kupata tarifa zaidi kuhusu Afya yako Asante.

Ya Tezi Dume:
Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo. Tezi dume sio ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini.

Dume Inapatikana Wapi Katika Mwili?
Tezi dume inapatikana chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

Za Tezi Dume Katika Mfumo Wa Uzazi:
kutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa) ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizotengenezwa kutoka kwenye korodani, ambapo wakati wa tendo la ndoa, mwanaume anapofika kileleni, tezi dume hukamulia majimaji (shahawa) ndani ya mrija wa mkojo na kutolewa pamoja na mbegu za kiume k**a manii (Semen). Pia husaidia mbegu za kiume kubaki na uhai kwa muda unaostahili.

https://youtu.be/OWK8M8LamkU?si=370kRS_hfthgVJX3
👆🏾Fahamu zaidi hapo

Aina za Ya Tezi Dume:
Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume ambazo ni;

1) Maambukizi ya bakteria (Prostatitis).

2) Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostate Hyperplasia-BPH)).

3) Saratani ya tezi dume.

Ya Saratani Ya Tezi Dume:
Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani (cancer). Tatizo Linakuja kiungo hiki (tezi dume) kinapoanza kutanuka kutokana na kugawanyika Kwa chembe chembe hai zake bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili.

Chembechembe hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa tezi dume.

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea.

Chanzo Cha Kupata Tezi Dume:
Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na;

a) UMRI (Age).

Wanaume wenye umri kuanzia miaka 60 na kuendelea wapo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume.

b) KURITHI (Genetics).

Familia yenye historia na saratani hii ipo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume.

c) LISHE HATARISHI.

Ulaji kwa wingi wa nyama nyekundu, mafuta (samli), maziwa ya krimu hongeza hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume.

d) UNENE ULIOKITHIRI (Obesity).

e) UKOSEFU WA MAZOEZI.

f) UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO, mfano vitamini D.

g) MAAMBUKIZI YA MARA KWA MARA KWENYE TEZI DUME.

h) MATUMIZI YA POMBE KALI, NA UVUTAJI WA SIGARA.

i) UWEPO WA SUMU NYINGI MWILINI.

Dalili Za Saratani Ya Tezi Dume:
Katika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume lisilokuwa saratani (Benign Prostate Hyperplasia). Dalili hizo ni pamoja na;

a) Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku.

b) Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa.

c) Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.

d) Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

e) Kutoa mkojo au manii yaliyochanganyika na damu.

f) Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili k**a saratani imesambaa.

g) Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

Kumbuka: Mtu mwenye tatizo katika tezi dume huanza kwa dalili ndogo ndogo sana mpaka mtu apate saratani ya tezi dume(prosate cancer) ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu si chini ya miaka isiyopungua 10. Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo(urethra) wakati unakojoa ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija baada ya muda unazalisha”Uric acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

nyingi saratani ziko katika stage nne ambapo stage ya 1 na ya 2 ukiwahi unaweza kupona lakini ikishafika stage ya 3 na ya 4, hazitibiki bali unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Cha Tezi Dume:
Katika hatua za awali, tezi dume inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole cha Shahada. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole cha shahada kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi dume imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kipimo hiki kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

digital re**al examination(DRE)
Kipimo kingine ni kipimo cha damu kuangalia kiwango cha aina ya protini iitwayo ”Prostate Specific Antigen (PSA), protini hii huwa juu kuliko kawaida k**a mtu ana saratani ya tezi dume na wakati mwingine k**a ana maambukizi (Prostatitis).

Kuchukua kipande cha nyama kwenye tezi (Prostate biopsy) kwa uchunguzi wa kimaabara.

Kipimo cha mawimbi sauti (Ultrasound) ambacho husaidia kuonesha ukubwa na sura ya tezi dume.

Vipimo vya CT scan na MRI kutambua k**a saratani imesambaa sehemu zingine za mwili.

Ya Saratani Ya Tezi Dume:
Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.

https://youtu.be/OWK8M8LamkU?si=370kRS_hfthgVJX3
👆🏾Fahamu zaidi hapo

dume iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au Mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.

Kuna njia tatu za kudhibiti tezi dume iliyotanuka ambazo ni;

1) Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na daktari.
Imashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a dawa, upasuaji na tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.

2) Madawa.
Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi dume yaligunduliwa miaka30 iliyopita yanasababisha athari kwenye ini, moyo, na kuvimbisha magoti,yamepigwa marufuku katika nchi haswa za ulaya.”(Johnathon Waxman, cancer specialist Hammer Smith Hospital, London).

3) Upasuaji.
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea ”70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”

Kumbuka: Matibabu ya saratani ya tezi dume yanategemea hatua ya ugonjwa na umri wa mgonjwa.

https://youtu.be/OWK8M8LamkU?si=370kRS_hfthgVJX3
👆🏾Fahamu zaidi hapo

Ya Saratani Ya Tezi Dume:
Yafuatayo ni madhara ya tezi dume iliyotanuka ambayo ni pamoja na;

a) Kibofu cha mkojo kuuma; hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharubu figo na ini n.k

b) Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa.

c) Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure).

d) Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika).

e) Ugumba (infertility, frigidity for men).

f) Kutokea kwa majipu sehemu ya tezi dume.

g) Kifo.

Madhara Ya Upasuaji wa Tezi Dume:
Baada ya mgonjwa wa saratani ya tezi dume kufanyiwa upasuaji, madhara yafuatayo yanaweza kutokea;

1) Kukosa uwezo wa kufikia mshindo yani hutoi shahawa (retrogade ej*******on).
Wazee wengi hulalamika sana baada ya upasuaji wa tezi dume hivyo ushauri nasaha lazima utolewe ili mgonjwa ajue nini madhara yake kabla ya operation.

2) Kuziba kwa njia ya mkojo kutoka na kuumia kwa njia hiyo wakati wa kufanyiwa upasuaji.
Baada ya upasuaji wa tezi dume, mgonjwa anapoendelea kupona kovu linaweza kuziba njia ya mkojo.

3) Shida ya kushindwa kudhibiti mkojo usitoke ovyo (Urine Incontinence).
Ni kawaida kwa mgonjwa kushindwa kudhibiti kutoka kwa mkojo katika siku za mwanzo baada ya operesheni. Hata hivyo hali hii hujirekebisha baada ya siku kadhaa kupita.

4) Kutokwa na damu katika siku za awali baada ya upasuaji.
Mara baada ya upasuaji wa tezi dume kupitia njia ya mkojo, Kidonda kwenye tezi dume kinaweza kuvuja damu ambayo itaonekana katika mkojo.

5) Ugumba.
Kwa kawaida wakati wa tendo la ngono, mbegu za kiume kutoka kwenye korodani huingia kwenye urethra karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo. Wakati wa tendo la ndoa, misuli maalumu hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume. Hata hivyo, upasuaji wa tezi dume huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Shahawa hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.

Kinga Ya Saratani Ya Tezi Dume:
1) Fanya mazoezi ya mwili na uwe na uzito unaostahili ukilinganisha na urefu wako.

2) Kula vyakula vyenye mafuta kiasi na hasa ya mimea, vyakula vyenye asili/vyenye soya, vyakula vyenye” lycopene”(inapatikana kwenye nyanya), tikiti maji na matunda mengine, mboga za majani kwa wingi na samaki.

https://youtu.be/OWK8M8LamkU?si=370kRS_hfthgVJX3
👆🏾Fahamu zaidi hapo

La Kudumu La Saratani Ya Tezi Dume:
Tezi dume inatanuka kwa sababu ya upungufu wa madini na virutubisho ambavyo mwili Unavihitaji. Hivyo basi tumekuandalia progam maalumu kwa wenye changamoto hii ya kutanuka kwa tezi dume na mfumo wa uzazi wa mwanaume. Tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu.Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mwili wa mwanaume ili kutengeneza afya bora na Nadhifu. Kwa yeyote atakayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya tezi dume (Prostate gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume awasiliane nasi kwa simu namba 0767595644
Dkt. Emmanuel Theophilo

Huduma za kiafya
05/05/2024

Huduma za kiafya

  ZA MTU MWENYE BAWASIRI                       Bawasiri ya nje na ndani                                Zote zinatibika  ...
27/04/2024

ZA MTU MWENYE BAWASIRI
Bawasiri ya nje na ndani
Zote zinatibika
PATA TIBA
0767 595 644
Dkt. Emmanuel Tz
DALILI ZAKE
1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu la haja kubwa
4.kupata kinyesi chenye damu
5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
6. Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya
7. Kupungua kwa nguvu za misuli ya kiume. N.k

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

 Uzito kupita kiasi(Overweight)
 Ujauzito
 Unywaji pombe
 Kukaa sana sehemu ngumu
 Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).
 Kujisaidia Choo Kigumu. Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
 Kula sana nyama nyekundu
 Presha ya kupanda
 Kula sana pilipili
 Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)

AINA ZA BAWASIRI

Kuna aina 2 za Bawasiri k**a ifuatavyo
BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.

BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

TIBA YA KUDUMU
Tumekuandalia dawa yenye uwezo wa kuponya Bawasiri bila upasuaji ndani ya siku 60 tu.

Pata dawa kwa punguzo
TZS 78,500
Dkt. Emmanuel Tz
0767 595 644

Faida Za FemiCare kwa Mwanamke.Pata kwa punguzoTZS 45,0000767 595 644  Dkt. Emmanuel Tz.HELLOW ! HII NI SPECIAL FOR ALL ...
25/04/2024

Faida Za FemiCare kwa Mwanamke.
Pata kwa punguzo
TZS 45,000
0767 595 644 Dkt. Emmanuel Tz.

HELLOW ! HII NI SPECIAL FOR ALL WOMAN HASA KWA WANAOPENDA NA KUTHAMINI AFYA ZAO WANATUMIA HII.


1. Inatibu U.T.I sugu
2. Inaondoa fangasi na miwasho ukeni
3. Uongeza uteute wakti wa tendo la ndoa na kuondoa uke mkavu
4. Uongeza hamu ya tendo la ndoa na kuondoa maauvi muda wa s*x
5. Uimarisha misuli ya uke na kufanya uke kubana zaidi na kuongeza joto kwa....
6. Utibu michubuko kwa haraka ukeni
7. Uondoa majimaji yenye harufu mbaya ukeni.
8. Inatibu P.I.D ikitumika pamoja na Refined yunzh.
9. Inatibu magonjwa ya zinaa nk.

Dawa hii ni dozi ya siku 14 tu unapona changamoto zote nilizo orodhesha hapo juu
Dawa hii ni kimiminika baada ya kuchukua nitakupa maelekezo jinsi inavyotumika.

🚫ONYO
Mama mjamzito harusiwi kabisa kutumia dawa hii.
K**a upo period subiri umalize siku zako kisha uendelee na dozi hii.


WANAWAKE WOTE WANAOPENDA TABASAMU LENYE AFYA NDANI YAKE WANATUMIA DAWA HII.
Imetengenezwa kwa vyakula matunda na mimea mbalimbali hivyo haina kemikali wala athari zozote.

Nipigie kupata dawa hii kwa punguzo kubwa la bei
Kumbuka Offer ni siku 2 tu.

Dkt. Emmanuel Theophilo
0767595644

https://youtube.com/-Emmanuel-Tz?si=ARYmQJgM1D36ChXC
YouTube

24/04/2024
17/04/2024

KARIBU BF SUMA UBADILISHE MAISHA YAKO
Tunapatikana mwenge complex

Jumatano 9:00 asubuhi
Juma-mosi 9:00 asubuhi
Jumapili 12:00 Mchana

Kazini kwetu Kuna kazi njoo ujiunge nasi na uwe na uwezo wa kuingiza 100, 000 Hadi 300,000 kwa wiki.

Na mwisho wa mwezi utapokea kamishina nzuri k**a malipo yako.

About_BF SUMA
BF SUMA ni kampuni ya kimarekani ilioanzishwa mwaka 2006 kwa lengo la kuboresha maisha ya watu kampuni yetu imejikita katika mambo mawili 1 Afya na 2uchumi

1.AFYA~Kampuni inazalisha dawa lishe zinazotibu Magonjwa mbalimbali yatokanayo na upungufu wa Kinga za mwili, vitamin na life style tuayoishi.
K**a:~
Kisukari
Magonjwa ya moyo
Vidonda vya tumbo,
Nguvu za kiume
Pressure nk.
Kupitia dawa hizi binafsi nimewasaidia watu wengi kutatua matatizo yao ya kiafya.

2.UCHUMI Kampuni yetu imeandaa mfumo mzuri ambao umewasaidia watu wengi sana kumiliki biashara zao na kuingiza kipato kikubwa sana
Mf. John alianza biashara hii mwaka 2012
Mpka sasa 2024 anauwezo wa kuingiza M87 Kila mwezi pia watu wengi sana wameninufaika na biashara hii....

Kumbuka kujiunga na biashara hii ni TSH 150,000 tu
Je ungependa kujielimisha zaidi uone k**a inaweza kukufaa?

Nipigie 0767595644
WhatsApp 0621217832
Dkt. Emmanuel Theophilo

16/04/2024

JE! UNASUMBUKA NA MATATIZO YA UZAZI?
Na umepoteza matumaini ya kupona?
Nipigie 0767595644
Upate dawa kwa punguzo kubwa.

Matatizo ya uzazi
K**a:-
1=> P.I.D ( Plvic Inflammatory disease)
yani maambukizi ktika via vya uzazi.
2=> U.T.I za mara kwa mara.
3=> Hedhi kuvurugika
4=> Kutoshika mimba au mimba kuharibika.
5=> Tatizo la ugumba.
6=> Mirija ya uzazi kujaa maji au kuziba
7=> Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya ukeni.
8=> Kupata miwasho ukeni. (Fangansi)
9=> Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
10=> Maumivu wakati wa hedhi (Chango ya uzazi)
11=>Kukosa utete, kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa na kupoteza hisia kabisa.
12=> Uvimbe kwenye kizazi n.k

PATA DAWA KWA BEI YA PUNGUZO KUBWA
Nipigie 0767595644 au 0621217832


Dawa zetu ni za uhakika tuna idadi kubwa ya wanawake ambao tumewahudumia na wamepata matokeo ya kudumu popote ulipo dawa itakufikia Asante🙏🏾

16/04/2024

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO MADHARA NA TIBA

0767595644
PATA DAWA KWA PUNGUZO KUBWA.

ZIJUE DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Ambazo ni pamoja na;

1) Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula.

2) Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo.

3) Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa.

4) Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu.

5) Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu.

6) Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito.

7) Kushindwa kupumua vizuri.

YA VIDONDA VYA TUMBO

1) Kansa ya tumbo (Gastric cancer).

2) Kutoboka kwa kuta za tumbo (Gastro-intestinal perforation).

3) Kuvuja damu kwa kuta za tumbo (Gastro-intestinal bleeding).

4) Kutapika damu (hematemesis).

5) Upungufu wa damu (anaemia).

6) Kujisaidia kinyesi cheusi k**a cha mbuzi (black orTarry stool).

7) Kuvurugika kwa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula (obstructed digestion).
8) Kukosa hamu ya kufanya mapenzi
9) Kupunguza nguvu za kiume n.k

K**A UMESUMBUKA NA TATIZO HILI LA VIDONDA VYA TUMBO TAFADHARI TUPIGIE KUPATA TIBA SASA.

TIBA yetu ni ya uhakika unakula dozi siku 60 tu.
Vidonda vya tumbo vina pona kabisa dawa zetu hazina kemikali zimetengenezwa kwa vyakula na matunda.

Tupigie 0767595644 au 0621217832

03/04/2024

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

PATA DAWA KWA PUNGUZO KUBWA MSIMU HUU
Dtk. Emmanuel Theophilo

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni k**a;

🌈.Kuwahi kufika kileleni
🌈.Kukosa hamu ya mapenzi
🌈.Kushindwa kurudia tendo la ndoa
🌈.Maumbile ya uume kuwa madogo/kusinyaa
🌈.Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
🌈.Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;
🌈.Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
🌈.Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
🌈.Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
🌈.Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

TAFADHALI BONYEZA WHATSAPP BATON
au nipigie 0767595644
Upate dawa kwa punguzo KUBWA
Dkt. Emmanuel Theophilo

Nipigie 0767595644 nikupe elimu zaidi
05/03/2024

Nipigie 0767595644 nikupe elimu zaidi

Address

Tanzania

7319

Telephone

+255767595644

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dkt. Emmanuel &Fursa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram