Tiba vipimo na ushauri

Tiba vipimo na ushauri Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba vipimo na ushauri, Medical and health, Dar es Salaam.

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZOShirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO...
20/08/2025

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

Shirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU
Ofa hii niyaπŸ‘‡πŸ‘‡
β–ͺ️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
β–ͺ️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
βœ… Matatizo ya Moyo na INI
βœ…Kansa,
βœ…Vidonda vya Tumbo,
βœ…Kisukari
βœ…Pumu
βœ…Stroku.
βœ…Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
βœ…Matatizo ya mifupa,
βœ…Matatizo ya miguu
βœ…Ngozi,
βœ…Figo,
βœ…Fangasi sugu
βœ…Kupunguza unene, uzito, na matumbo
βœ…Kuongeza kinga mwilini(CD4)
βœ…U.T.I sugu,Gesi
βœ…Bawasiri,
βœ…Tenzi dume
βœ…Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
πŸ‘‰ Kuosha
πŸ‘‰ Kulinda/ Kukinga
πŸ‘‰ Kujenga
πŸ‘‰ Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0754655910 https://wa.me/message/EHZNFWNEPCJNN1

KWA MATATIZO YOTE YA UZAZI KWA KINA MAMATUNA TIBA KWA WANAWAKE WANAOSUMBULIWA NA MATATIZO YAFUATAYO'πŸ“ŒMvurugiko wa homoni...
11/08/2025

KWA MATATIZO YOTE YA UZAZI KWA KINA MAMA

TUNA TIBA KWA WANAWAKE WANAOSUMBULIWA NA MATATIZO YAFUATAYO'
πŸ“ŒMvurugiko wa homoni
πŸ“ŒHedhi isiyo na mpangilio
πŸ“ŒUke mkavu
πŸ“ŒMirija kuziba/kujaa maji
πŸ“ŒHedhi isiyoisha
πŸ“ŒUvimbe kwenye kizazi
πŸ“ŒKutoshika ujauzito/ugumba
πŸ“ŒKukosa hedhi kipindi kirefu
πŸ“ŒWale wote waliothiriwa na matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
πŸ“ŒMimba kuharibika
πŸ“ŒKupata hedhi yenye mabongemabonge
πŸ“ŒMaumivu wakati wa tendo la ndoa
πŸ“ŒUke kutoa maji/harufu mbaya
πŸ“ŒP.I.D
πŸ“ŒKukosa hamu ya tendo la ndoa
πŸ“ŒUchafu katika mfumo mzima wa uzazi
πŸ“ŒFangasi za ukeni
πŸ“ŒMasundosundo/Vigwaru
πŸ“ŒU.T.I sugu n.K Hizi sababu ambazo zinafanya usishike Mimba
π—§π˜‚π—½π—Άπ—΄π—Άπ—²
0754655910 https://wa.me/message/EHZNFWNEPCJNN1

06/08/2025
GCAT HOSPITAL   Ni Mabingwa wa Kutatua Changamoto za Mifupa na Maungio kwa kutumia Virutubisho Lishe (Diatery Supplement...
31/07/2025

GCAT HOSPITAL Ni Mabingwa wa Kutatua Changamoto za Mifupa na Maungio kwa kutumia Virutubisho Lishe (Diatery Supplements) Visivyo na Kemikali Kwa 98% Hii ni Baada ya kufanya vipimo vya mwili mzima na kugundua watu wengi wanasumbuka na Changamoto za Mifupa na Maungio kwa muda mrefu na wametumia Dawa nyingi Mno bila Mafanikio 😒
Tumekuandalia Program Maalum ya vipimo kwa Elfu 30,000/ Kwaajili Yako wewe Unayesumbuliwa na Changamoto za Mifupa na Maungio.

π——π—”π—Ÿπ—œπ—Ÿπ—œ 𝗭𝗔 π— π—œπ—™π—¨π—£π—” 𝗑𝗔 π— π—”π—¨π—‘π—šπ—œπ—’ πŸ‘‡
🌿 Kusagika kwa Pingili za Mgongo
🌿 Maumivu Makali ya Kiuno na Mgongo
🌿 Mifupa Kusagana
🌿 Miguu Kuwaka Moto
🌿 Kuhisi Ganzi
🌿 Maumivu ya Shingo, Kiuno
🌿 Kukosa Uteute kwenye Magoti
🌿 Kushindwa Kutembea n.k

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’π—¦π—”π—•π—”π—•π—œπ—¦π—›π—” π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 π— π—œπ—™π—¨π—£π—” (π—’π—˜π—§π—˜π—’π—£π—’π—₯π—’π—¦π—œπ—¦) πŸ‘‡
✍️ Magonjwa ya figo.
✍️ Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye (Menopause) kikomo cha hedhi
✍️ Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
✍️ Anorexia uzito mdogo kupita kiasi APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoezi kupita kiasi.

𝗔𝗧𝗛𝗔π—₯π—œ π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’π—¦π—”π—•π—”π—•π—œπ—¦π—›π—ͺ𝗔 𝗑𝗔 π—–π—›π—”π—‘π—šπ—”π— π—’π—§π—’ 𝗭𝗔 π— π—œπ—™π—¨π—£π—” 𝗑𝗔 π— π—”π—¨π—‘π—šπ—œπ—’ πŸ‘‡
πŸ€ Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
πŸ€ Kupinda Mgongo wakati wa Uzeeni
πŸ€ Maumivu makali ya Mifupa hasa Katika uti wa mgongo, Mabegani, Kifuani na katika Nyonga.
πŸ€ Ulemavu wa Kudumu
πŸ€ Kupata Tatizo la Kiharusi (Stroke)
πŸ€ Kifo πŸ˜₯

π—žπ—ͺ𝗔 π—§π—œπ—•π—” 𝗑𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨π—₯π—œ π—­π—”π—œπ——π—œ
Tembelea hospital zetu Zilizopo Nchi Nzima au Tupigie Sasa Kupitia
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ+255754655910 https://wa.me/message/EHZNFWNEPCJNN1

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba vipimo na ushauri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram