Afya Max

Afya Max Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Max, Doctor, Dar es Salaam.

Wahi sasa Kwa kihuduma bora
20/11/2024

Wahi sasa Kwa kihuduma bora

25/08/2024
10/07/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Musa Elias, Binty Saeed, Mkondi Mkondi

*DALILI(ISHARA) 10 ZINAZOONESHA KWAMBA UNA UJAUZITO* *1.Kuwasha na kuvuta kwa chuchu*Kadiri homoni za mimba zinavyoongez...
05/06/2024

*DALILI(ISHARA) 10 ZINAZOONESHA KWAMBA UNA UJAUZITO*

*1.Kuwasha na kuvuta kwa chuchu*

Kadiri homoni za mimba zinavyoongeza usafirishaji wa wa damu kwenye matiti yako, unaweza kuhisi hali ya kuvuta kuzunguka chuchu zako. Hii inaweza kuwa moja ya dalili za awali za mimba, na muda mwingine kugundulika pia ndani ya wiki au zaidi ya utungaji wa mimba. Mara baada ya mwili wako kuzoea ongezeko la homoni, hali hii itapotea.

*2.Maumivu ya tumbo na kugundua kuchafuka*

Sio kawaida kuchafuka ukiwa na karibia wiki 6 za mimba. Unaweza kugundua rangi ya pinki kwa mbali au madoa ya kahawia katika nguo zako za ndani(chupi) au wakati unakojoa au kuhisi maumivu ya tumbo kwa mbali. Wataalamu hawana uhakika kabisa kwanini dalili hizi zinatokea katika hatua za awali za mimba. Inafikirika kusababishwa na ukuaji wa plasenta. K**a umekumbwa na tatizo la kutokwa damu ambalo sio kawaida, muone daktari mapema ili kuwa katika hali ya uutaepuka

*3.Kujisikia kuumwa*

K**a una bahati utaepuka kichefuchefu kabisa. Hata hivyo,magonjwa ya asubuhi ni moja ya dalili za awali za kawaida za mimba, japo zinaweza kuanza mapema katika wiki ya nne. Unaweza kujisikia kuumwa na kichefuchefu. Hali hii inaweza kukupata mda wowote ndani ya siku, mchana au usiku.

*4.Kukua,kuvimba kwa matiti*

Mara baada ya kufika wiki ya sita ya ujauzito wako, matiti yako yanakua nyeti zaidi. Inakua sawa na jinsi unavyojisikia kabla ya hedhi. Unaweza kugundua kwamba maziwa yako yamekua na kuvimba,na mishipa kuonekana chini ya ngozi. Kukua kwa maziwa ni dalili ya kawaida katika miezi mitatu ya kwanza ya mimba.

*5.Kujisika kuchoka*

Umechoka? Unaweza jikuta unashinda kitandani mda wote kadiri mwili wako unavyojitahidi kukubaliana na uwepo wa mtoto ndani yako, tangu mwanzo wa mimba.

Homoni za mimba za mwili wako ndio zinakufanya kuhisi umechoka, mwenye hasira na hisia kali. Uchovu ni dalili ya kawaida ya mimba, na hutokea zaidi katika kipindi cha kwanza cha mimba na hatua za mwisho za ujauzito.

*6.Uhitaji wa kukojoa k

*KUTOPATA CHOO KWA MUDA MREFU AU KUPATA CHOO KIGUMU(CONSTIPATION)*➡️Hili ni Tatizo la kutopata choo Kwa Muda Mrefu au Ku...
05/06/2024

*KUTOPATA CHOO KWA MUDA MREFU AU KUPATA CHOO KIGUMU(CONSTIPATION)*

➡️Hili ni Tatizo la kutopata choo Kwa Muda Mrefu au Kupata Mara Chache
Lakini Kwa Shida Sana na Nguvu Kubwa huwa inatumika Katika Kuhakikisha Walau hicho Kidogo Kinatoka kwa mafungu K**a Cha Mbuzi

➡️Inasababishwa na mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula
Kwenye tumbo Na Utumbo kutokana na sumu tunazoingiza mwilini kila siku kutoka kwenye vinywaji , Chakula , Dawa , Hewa tunazovuta Pamoja na Mafuta tunayokula

*DALILI ZA TATIZO*
➡️●Kutopata Choo Kila Siku Wakati Unakula milo 3 au Zaidi Kwa siku

➡️●Kupata Choo Kigumu Sana,K**a Cha Mbuzi
●Kutumia Muda Mrefu chooni, kutumia nguvu Sana

➡️●Kupata Gesi,mingurumo tumboni Au Kujamba Na Harufu mbaya Sana inatoka
●kuhisi kijinyama,Kupata miwasho,maumivu sehemu ya haja kubwa

➡️●Maumivu Ya Tumbo,miguu,mabega
●Kupungua Nguvu za Kiume,Kukosa Usingizi

➡️●Kukosa Hamu Ya Kula,Kupata Kiungulia,Harufu Mbaya Kinywani

*●K**a Unapata Choo Chini ya Mara Moja(1) Kwa SIKU Na Unakula Mara Tatu (3) Upo Kwenye Hatari Kubwa Ya Kupata Magonjwa Mengi K**a bawasiri, kansa ya utumbo,upungufu wa nguvu za kiume, harufu mbaya mdomoni,maumivu ya kiuno mgongo n.k*

*SULUHISHO*
Tafadhali K**a Wewe ni Muathirika wa Tatizo lolote kati ya Dalili Ulizoziona hapo Usiache Kuwasiliana nasi Kwa Msaada na Utatuzi wa Tatizo lako.

Tunatibu kwa Tibalishe zilizothibitishwa ubora wake kwenye kutatua Changamoto hii

Wasiliana Na Dr. FUMBUKA M FUMBUKA

Piga Simu 0766104869

23/03/2024

*UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU??* 👇👇
Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuatazo;

1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Je una dalili hizi tunayo tiba inaitwa FEMICARE kwa ajili ya wanawake ambayo itakusaidia kutibu fangasi sugu eneo la siri.

Kwa msaada wa hitaji lako kuhusu tiba hii tupigiee,,

*"AFYA YAKO NI MTAJI WAKO, ELIMIKA NA CHUKUA HATUA*

DALILI ZA MTU MWENYE MSHIPA WA  NGIRI/HERNIA & UHUSIANO ULIOPO KATI YA NGIRI (HERNIA) NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME_____...
23/03/2024

DALILI ZA MTU MWENYE MSHIPA WA NGIRI/HERNIA & UHUSIANO ULIOPO KATI YA NGIRI (HERNIA) NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
______________________________________________
Dr.Fumbuka
WhatsApp:⤵️⤵️
wa.me/255766104869
_______________________________________________
Dalili za ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵

1📎Kubana tumbo hasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu/vyakula vya baridi.
2📎Kupiga miungurumo tumboni.
3📎Kujaa gesi tumboni.
4📎Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5📎Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.
6📎Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7📎Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8📎Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9📎Nuru ya macho hupotea taratibu.
10📎Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11📎Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12📎Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13📎Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14📎Uume kusimyaa na kunywea k**a wa mtoto

15 📎Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi

16📎 Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

17📎 Tumbo kujaa na kuonekana k**a una kitambi kumbe ni gas.

18📎 Ukila vyakula vyevye sukari nying k**a soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas

19📎 Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)
______________________________________________
UHUSIANO ULIOPO KATI YA NGIRI (HERNIA) NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
______________________________________________
⚫ Hernia (Ngiri) ni miongoni mwa matatizo makubwa sana ambayo hupelekea upungufu wa nguvu za kiume kwa haraka sana.

⚫ Mwanaume anapopata Hernia (Ngiri),maeneo ambapo ngiri hutokea mara nyingi huwa na muunganiko na miriji ya damu pamoja na Neva ambazo hufanyakazi ya kutoa na kupeleka taarifa kwenye korodani na uume (p***s) pia kupeleka da

20/03/2024

INTERNATIONAL

UKE MKAVU♀️

LIJUE TATIZO LA UKE MKAVU

UKE MKAVU:Ni tatizo linalo sababishwa na upungu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi(HORMONE IMBALANCE)

UKE MKAVU:Ni tatizo linalo wasumbua akina dada na wanawake wengi ni uke usio na ute wa aina yoyote Haijalishi MWANAMKE Ameandaliwa kwa muda gani hapati Ute WA Uke Wala WA UZAZI

DALILI ZINAZOWEZA Ambatana NA Uke MKAVU NI;

♀️. Maumivu wakati wa ngono

♀️. Kusinyaa kwa kuta zauke

♀️. Kutokwa na damu wakati wa tendo

♀️. Kupoteza hamu ya tendo kutokana na maumivu

♀️. Maumivu ya uke wakati wa kufanya mazoezi kutembea, kukaa au kusimama

♀️. Kubadilika kwa mwonekano wa uke na mashavu ya uke

♀️. Kubadilika kwa tabia ya ute unaotoka ukeni

♀️. Kupata hisia za kuungua ukeni

♀️. Msongo wa mawazo na kuhisi mabadiliko makubwa mwilini mwako

VISABABISHI VYA UKE KUWA MKAVU KWA MWANAMKE

Vipo visababishi mbalimbali vinavyoweza kupelekea uke kuwa mkavu ambavyo vinafahamika ambavyo ni;

🔥. Kupungua kwa kiwango cha homoni estrogen kwenye damu

🔥. Hali na mambo yanayoweza kupelekekea kushuka kwa homoni hii ni;

🔥. Kunyonyesha kwa wakati huu

🔥. Kutoka kujifungua

🔥. Kuvuta sigara

🔥. Kutibiwa kwa dawa za saratani kwenye o***y

🔥. Madhaifu ya kinga z amwili

🔥. Komahedhi

🔥. Kukaribia kipinid cha koma hedhi

🔥. Kufanyiwa upasuaji wa kutolewa o***y

🔥. Kutumia dawa za kuzuia uzalishaji wa estrogen

🔥. Kusafisha ndani ya uke kwa maji na sabuni zenye kemikali

Sindrome ya sjogren’s

🔥. Matumizi za kuzuia aleji na homa baridi

MADHARA YA UKE MKAVU

♨️Kuto shika mimba

♨️Kupata michubuko ukeni hvyo n rahisi kuambukizwa magonjwa k**a kaswende,gonorea, HIV n.k

♨️Kuto furahia tendo

♨️Kutokwa damu katkat ya mwezi

KARIBU ETERNAL_ Kwa Kutatua chanzo cha changamoto Kwa Kutumia Nnjia Sahihi Na Salama Kwa Kutumia VIRUTUBISHO LISHE kutoka CHINA Pharmaceuticals company

0766104869
0788137469
WhatsApp,Call And Text

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Max posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category