DR MASAL

DR MASAL Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DR MASAL, Doctor, TEMEKE, Dar es Salaam.

22/05/2024

Mfahamu Mwanamke Mwenye Nyota Ya Mapacha

MAELEZO YA MWANAMKE WA NYOTA YA MAPACHA (UTWARIDI)

Ni nyota ya UTWARIDI (Mercury) asili yao ni nyota ya kiume ni mwanamke mweupe au mweusi anaenda kwenye rangi ya njano au wekundu ana mashavu ya kupendeza, macho yaliyojazia vizuri, umbo miraba minne, sio mkimbiliaji wanaume, ana shingo kubwa, masikio makubwa, mwema kwa watu wake wa nyumbani anaongea vizuri na Ni mwandishi ambae vyote hivyo vitamfanya awe na bahati ya kumudu vyema familia yake na alama ya kitone cheusi kichwani.

ili aiweke Afya yake yafaa atumie asali na mbogamboga za Aina ya leptsi.

Ataolewa na mtu atakaetoka Katika familia ya kitajiri, kuna maadui wengi sana wanaomfanyia mabaya sana kwa kumuudhi kwajili ya kumuonea wivu, Ni mwenye maguvu mengi kivita kiakili na msomi wa fani mbalimbali.

MUONEKANO WA MWANAMKE WA MAPACHA KATIKA MATUKIO YA MUSHTARA

Atakuwa ni mwanamke mwenye weupe wa kupendeza, ana nywele nzuri, sura pana, mrefu na kanyooka vizuri si mrefu na wala si mfupi Sana ana mwili mkubwa na kifua kipana ameumbiwa mikono miepesi na uwezo mkubwa wa kazi ya ufundi wa kushona, kudarizi na kuremba. Ana bahati katika shughuli za kununua na kuuza kupokea na kutoa.
Mashavu yake yameungana vizuri, yupo fasaha katika kuongea na ana majibu ya haraka atakuwa na hadhi na utukufu.
Ni mwoga wa vitu vyeupe na vyenye rangi ya hudhurungi tumboni kwake kuna alama na mwingi wa maumivu ya mgongo, mabega na kifua.
Na kwenye umri mkubwa atakuwa na upendo mkubwa kwa mume na atakuwa na ridhiki njema kwake udogoni.

MUONEKANO WAKE KATIKA NYOTA YA MIRIYHI

Ni mwanamke mweupe wa kuridhisha mwili uliopanda juu, macho ya kuvutia, anasumbuliwa na kizunguzungu atumie tende na juice ya limao au ndimu. Ana mashavu makubwa ya kadri si makubwa na wala si madogo Sana. Ni mpiganaji mahiri na ataangamiza wabaya wake kwa uwezo wake mkubwa wa mapambano. Analalamika na miguuni, usoni na mikononi, Ni muoga wa kutumbukia baharini. Ni mwenye kuwa na watoto wachache, Atakuwa na ukuu na

13/05/2024

UTABILI WA NYOTA LEO J3 13/05/2024

NG'E
Mwanzo mpya wenye mafanikio unaendelea kwako. Umewaacha nyuma watu kadhaa waliokuwa sumu maishani mwako, ambao walikuwa wanakuzuia kusonga mbele na kukufanya uelemewe. Sasa unaingia katika sura mpya iliyojaa mwanzo mpya wenye mafanikio. Uko huru kutoka kwenye mizigo ambayo ilikuwa inakuleta wewe chini.

MBUZI
Matatizo ya zamani yatajitokeza tena (karma itakupata wewe au mtu mwingine kwa kitu kilichotokea zamani). Kushinda katika baadhi ya mambo. Kushinda changamoto katika mapenzi. Kuamka kiroho. Kitu kipya kinaingia maishani mwako. Ikiwa umepoteza kitu hivi karibuni, kitarudi mara kumi yake. Visa yako kuidhinishwa yaani kukubaliwa kwa wale wanaofanya kazi za kusafiri nje ya nchi. Kukutana na mtu mashuhuri bila kutarajia

MSHALE
Matatizo ya tumbo wiki hii. Hamu (appetite) yako ya kula kuongezeka. Kufikia malengo ya uzito wa mwili na kwenda kwenye mazoezi. Kupata ishara za kimapenzi kutoka kwa mtu. Wivu katika kazi yako au shule. Kupata alama za ufaulu za kushangaza kwa wale wanaosoma. Kufaulu mitihani nautapigiwa simu nzuli yakushangaza na mpenzi wako ambae alikuwa amekususa

MIZANI
Ukweli fulani unakuja. Unafichua au unazungumza kitu bila kuficha au kitu ambacho kimefichuka kutoka kwa mtu. Baadhi yenu mnaweka mipaka na mtu ambaye amekuwa akijaribu kuvuka mipaka yako na kutaka kukupanda kichwani. Baadhi yenu mtakuwa na furaha sana ya mafanikio na uwazi fulani. Kuna kitu hasa kinakufurahisha sana na hiki kimekuwa ni kitu ambacho umekuwa ukikisubiri kwa muda mrefu. Hatimaye kimefika! Matamanio yako ya kifedha yatatimia. Hasa ikiwa ulihisi shida ya kifedha, kuna habari njema inakaribia kuingia.

MAPACHA
mambo yakawa mazuri kuna kitu ama ahad ulikuwa Ukiisubiria yaweza kuleta majibu mazuri siku ya leo. Pia utaandamwa na majukumu ambayo yatahitaji fedha kutinia hivyo chunga vzur matumzi yakeo Mwenzio ni mtu wa kukurupuka na jazba katika mapenz ula ukarbu wako na imani yako kwake huwenda ikambadilisha na kuwa mtu mwema.

28/03/2024

Nyota zinazoendana kimapenzi

NYOTA ZINAZOENDANA KWENYE MAPENZI

Naam tunaendelea na somo letu la mahusiano kinyota hii ina faida kubwa kuweza kunusuru migogoro ya hapa na pale ndani ya familia zetu au mahusiano yetu.

KAA (D,P) na SAMAKI (L, X)

KAA na SAMAKI ni nyota mbili za maji baridi na kwa kawaida wana muunganiko mkubwa. Wanafanya kazi vizuri kwa pamoja kwasababu wao wawili binafsi wanaelewana vizuri.
Nyota hizi Zina ucheshi (sense of humor) wa nguvu ambao unawafanya kwa kiurahisi waweze kutengeneza dhamana imara (solid bond) ambayo itadumu. Kufanya hata Mambo yawe mazuri, wana muunganiko sambamba sana wa sifa binafsi ambazo zinaratibu (coordinate) kwa pamoja. Samaki ni mwenye mahusiano mengi na wengine, wakati KAA wao hujitolea kwa kuwalea watu binafsi ambao wapo mikononi mwao.

SIMBA (E, Q) na MSHALE (I,U)

Shauku au hamu (passion) kati ya Simba na MSHALE kibinafsi yapo juu Sana. Nyota zote mbili hufurahia maisha yao kwenye kiwango Cha juu. Wao wawili binafsi ni wenye shauku kuhusiana na wanachokitaka katika ulimwengu huu na wanafarijika sana. Nyota zote mbili zinaashiria au zina ASILI YA MOTO na una kina cha uelewano miongoni mwao. Dhamana kati ya nyota hizi kibinafsi ni zenye kuvutia mno.

MASHUKE (F,R) na NG'OMBE (B,N,Z)

K**a zilivyo zote mbili ni ASILI YA udongo, MASHUKE na NG'OMBE Ni waelewa kweli sababu ambayo inafanya uhusiano wao kuwa imara na kutulia na tabia za utulivu.
Wote wawili kibinafsi ni wakarimu na waaminifu wao kwa wao. Sababu hii inafanya mahusiano yao kudumu.
Huwezi kuja kukuta NYOTA nyingine mbili ambazo zinajitolea wao kwa wao k**a MASHUKE na NG'OMBE.
Sio tu wana ukarimu mwingi na uaminifu lakini pia Wana sifa (characteristics) na thamani zilizo sawa.

21/03/2024

TIBA ASILI JITIBU UKIWA NYUMBANI KUPITIA TIBA ASILI NA MIMEA YETU

TUNZA ASILI UWE JASILI

21/03/2024

Follow this link to join my WhatsApp group:

21/03/2024

USOMAJI NYOTA LEO 21/3/2024

MBUZI

Utakuwa unafanya kitu kipya juu ya mwonekano wako, naona hii ikitokea ghafla. Unaweza kuamka na kujisikia tu kutaka kitu kipya cha tofauti. Matokeo yatakufanya uwe na furaha sana. Mwenye nyota ya asili ya udongo mwenzio (Mashuke, Mbuzi, Ng'ombe) anataka kuimarisha uhusiano wenu, kupeleka mambo kwenye ngazi inayofuata. Kushughulika na mengi kichwani kwako, baadhi yenu mnaweza kuwa na mengi kichwani mwenu.

NDOO

Tarajia mawasiliano kutoka kwa ex wako hivi karibuni. Mtu ambaye amejaribu ku move on kutoka kwako na wewe hutaki kusikia chochote au kufanya chochote naye, lakini si hivyo mtu huyu anavyotaka. Mtu huyu anahisi kukwama kiakili na anataka kurekebisha mambo na wewe. Mtu huyu angeweza kuchagua vitu vingine vingi kuliko wewe na wewe ndiye uliyejaribu kumpenda na kumuonyesha njia tofauti. Utengano huu umemfungua macho yake kwa kiasi fulani. Na kadri unavyoendelea na maisha yako na kutowasiliana naye inamchochea sana mtu huyu kutaka kukutafuta zaidi.

SAMAKI

Ndio, unapaswa kumkataa huyo rafiki uliyekuwa na wasiwasi naye kwa muda mrefu, nyie wawili mko katika viwango tofauti sasa hivi. Jihadhari na huyo mwenye nyota ya Punda na nia zake kwako (kimapenzi). Wakati mwingine unahitaji kuwa mtu mzima na kuomba msamaha kwa wengine. T ana mambo mengi ya kukuambia lakini anahitaji muda wa kufikiria kabla ya kukukabili.

PUNDA

Unaingia katika msimu wako ambapo unakaribia kupata ushindi baada ya ushindi. Mafanikio juu ya mafanikio. Baraka usiyoitarajia inakuja kwako kwa sababu ni wakati wako. Habari njema zinakuja kupitia simu au ujumbe wa maandishi (text). Kujifunza kuamini tena, kupata marafiki wapya na miunganisho mipya. Kuhisi kushindwa lakini endelea, usikae tamaa hata iweje.

NG'OMBE

Kupokea vyanzo tofauti vya mapato, kuwa makini na pesa zako, dhibiti matumizi yako. Baadhi yenu mnaweza kutarajia kupewa umakini (attention) sana na watu. Usimuamini huyo mwenye nyota ya asili ya maji (Ng'e, Kaa, Samaki) unaweza kuwa ushapata isha

Jinsi ya Kuwatambua Wachawi Katika Familia Yako na Kuwazuia Wasikusumbue Kwa Kutumia Fanta Tu.👇👇 Unachohitaji kupata ni ...
21/03/2024

Jinsi ya Kuwatambua Wachawi Katika Familia Yako na Kuwazuia Wasikusumbue Kwa Kutumia Fanta Tu.👇👇

Unachohitaji kupata ni chupa ya Fanta hii ni kwasababu Fanta ina faida nyingi za kiroho ambazo hazijulikani na watu wengi.

jinsi ya kutumia Fanta kuwatambua wachawi katika familia yako na kuwazuia wasikutie wasiwasi. Fanya yafuatayo

Kwanza kabisa, nenda kwenye duka lolote wanalouza vinywaji na nunua chupa ya Fanta.

Baada ya hayo, subiri hadi saa nane usiku

nenda utafute mahali ambapo hakuna nyasi au magugu.

Fungua chupa ya Fanta na usome maneno haya:👇👇

"Mchawi yeyote katika familia yangu iwe upande wa mama yangu au upande wa baba yangu ambaye ananinyanyasa, ninapoweka kinywaji hiki (Fanta) chini, mchawi lazima afunuliwe kwangu na anapaswa kuzuiwa kuninyanyasa."

Ukimaliza kisomo, mwaga Fanta na urudi nyumbani kwako lakini hakikisha huangalii nyuma hadi uingie kwenye chumba chako.

Kisha subiri uone kitakachofuata lakini usisahau kunishukuru baadaye.

Tahajia hii Unaweza kuifanya popote pale unapo

21/03/2024

Tafuta Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.

Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.

Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa k**a dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.

Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi

MATUMIZI:
Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala

Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za upungufu wa nguuuvu za kiume
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko ktk tendo la ndoa.

Unaweza kutumia Tiba Asili ambayo tumekuandalia Tayari

Unaitumia kwa siku 25 na kumaliza kabisa tatizo la ngu*vu za kiume

Karibu AsiliYetuAfrika

Address

TEMEKE
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DR MASAL posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to DR MASAL:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category