24/09/2025
Uongozi wa huduma za afya wa Dr. JJ Dispensary iliyoko Rolihondo-Kibaha Pwani unakaribisha maombi ya kazi katika fani zifuatazo;
1. Midwifery nurse (1)
2.Pharmacist (1)
3.Laboratory Technician (1)
NB. Waombaji wote wawe na leseni hai.
Watakaokidhi vigezo wataanza kazi kwa kujitolea kisha wataajiliwa rasmi.
Kwa maelezo zaidi piga simu namba; 0687815444