08/11/2024
βͺοΈFAHAMU VIZURI MISULI HII INAYOSHIKILIA UUME NA KUUFANYA UUME USIMAME K**A MSUMARI ZAIDI KWA MUDA MREFU PASIPO KULEGEA AU KUSINYAA.
K**a tunavyofahamu kuwa uume hauna mfupa, na ili usimame misuli na mishipa huwa inatanuka baada ya damu kutililika kwenye sehem hizo na hapo sasa ndipo huufanya huu uume uweze kusimama.
β‘οΈ Katika Uume kuna sehemu inaitwa *Corpus cavernosum* ni msuli muhimu sana unaojenga uume.
Ni msuli mkubwa unaojaa damu kwa asilimia 90 pale uume unapokuwa umesisima.
Msuli huu ukiwa na afya njema huufanya uume uwe na uwezo wa kusimama vizuri na kwa muda mrefu bila kusinyaa haraka.
β‘οΈ *Pelvic floor muscle:* Ni msuli ambao umeshikilia Uume ,Wakati uume unasimama ndio unawezesha Mwanaume kusimamisha uume wake muda Mrefu .
Msuli huu ukiwa Ni Dhaifu hupelekea uume kusimama kwa muda mfupi, unalegea hatimaye uume unasinyaa .
βͺοΈ Msuli huu wa Pelvic umeunganisha uume na tundu la haja kubwa na sehemu ya mwanzo ya Uti wa Mgongo.
*βͺοΈKuna vitu ambavyo hulegeza msuli huu na kuufanya kuwa Dhaifu ;*
1. BAWASILI-kutokwa na vinyama sehemu za haja kubwa.
2. KUPATA CHOO KIGUMU ,Yani ukienda chooni unatumia nguvu nyingi kusukuma haja kubwa.
3. KUJICHUA/ PUNYETO.
Punyeto pia husababisha msuli huu kulegea ,na Dalili inaonyesha Wakati wa kutoa mbegu za kiume Yani shahawa utakuta hazitoki kwa kasi ,haziruki zinafanya kudondoka K**a matone ya mvua.Yani zinadondoka tu.
Huu msuli wa pelvic floor ukiwa imara, shahawa zinatoka kwa Kasi na kwa nguvu pia zinaruka mbali na kwa Presha kubwa .
Msuli huu k**a ukilegea, shahawa zinatoka kwa uvivu , zinadondoka tu chini.
4. UZITO MKUBWA/ KITAMBI PIA HULEGEZA MSULI HUU.