DawaCall

DawaCall Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DawaCall, Health/Medical/ Pharmaceuticals, Dar es Salaam.

Afya yako mtaji wako
06/04/2018

Afya yako mtaji wako

 💊
19/03/2018

💊

30/03/2017
  women's day   /DawaYako
08/03/2017

women's day


/DawaYako

FAHAMU ATHARI WANAZOZIPATA WAKINA MAMA WAJAWAZITO NA WANAONYONYESHA PAMOJA NA WATOTO WAO PINDI WANAPOZIDISHA DOZI YA PAN...
24/02/2017

FAHAMU ATHARI WANAZOZIPATA WAKINA MAMA WAJAWAZITO NA WANAONYONYESHA PAMOJA NA WATOTO WAO PINDI WANAPOZIDISHA DOZI YA PANADOL EXTRA
Baada ya kupata maumivu ya kichwa, aliamua kunywa panadol extra ili kutuliza maumivu. Hakufuata wala kutafuta maelekezo yeyote ya kitaalam kutoka kwa mfamasia wake. Namzungumzia mama wa mtoto mmoja ambae ndo kwanza alikuwa ametoka kujifungua k**a wiki mbili zilizopita. Usiku huo alishangaa kumuona motto wake wa umri wa wiki tatu akikosa usingizi usiku mzima. Hakujua k**a dozi ya dawa aliyokunywa ndo chanzo cha mwanae kukesha macho.

Kiasi cha caffeine ambacho humezwa kwa siku k**a mtu atatumia Panadol extra (paracetamol iliyochanganywa na caffeine) ni kati ya 65 mg (kwenye kidonge kimoja) na 520 mg ( kwenye vidonge 8). Lakini pia hata katika dozi ya 50 mg ya caffeine inaweza kukusababishia mapigo ya moyo kwenda mbio (tachycardia), kuhisi hali ya uoga, na mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida (ectopic beats). Madhara makubwa mara nyingi huanza kuonekana katika dozi > 500 mg, lakini hutegemea na uwezo wako wa mwili na fiziolojia yako.
Wakina mama wajawazito hawatakiwi kutumia zaidi ya 200 mg kwa siku, kwasababu inaweza kuwaongzea hatari ya mimba kutoka (spontaneous miscarriage). Kutumia zaidi ya 300 mg kwa siku pia kunaongeza hatari ya kujifungua kabla ya muda muafaka kufika (preterm delivery) na hupunguza kasi ya ukuaji wa mtu anapokua tumboni (foetal growth retardation).
Caffeine pia husafirishwa kirahisi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kupitia maziwa ya mama na ifahamike kuwa watoto wadogo wanauwezo mdogo wa kumetabolize caffeine. Watoto ambao mama zao wanatumia zaidi 300 mg ya caffeine kwa siku wanakosa uwezo wa kupumzika (jittery) na kukosa usingizi (restless). Kwahiyo hi indo sababu kubwa wamama wanaonyonyesha kulalamika watoto wao kukosa usingizi pindi watumiapo dozi kubwa ya panadol extra au caffeine. Lakini mpaka sasa hivi hakuna madhara ya mda mrefu ya kiafya ambayo yameripotiwa.
Your Health, Our Concern

Besides getting enough rest, these remedies might help you feel better:    Stay hydrated. ...    Rest. ...    Soothe a s...
24/02/2017

Besides getting enough rest, these remedies might help you feel better:

Stay hydrated. ...
Rest. ...
Soothe a sore throat. ...
Combat stuffiness. ...
Relieve pain. ...
Sip warm liquids. ...
Add moisture to the air. ...
Try over-the-counter (OTC) cold and cough medications.

22/02/2017

Utumiaji wa miswaki ya inayotokana na miti shamba (chewing sticks) kwa ajili ya kusafishia kinywa ina historia ndefu kutokana na tamaduni mbali mbali.

21/02/2017



14/02/2017

Methadone ni dawa inayotumika kutibu utegemezi wa dawa zingine za kulevya mfano; he**in, codeine, pethidine na morphine. Dawa hii hutolewa kwa kipimo maalumu

10/02/2017

Watafiti wamefanya chunguzi mbalimbali kwa kutumia wanyama k**a mfano wa kazi amilifu za ubongo wa binadamu ili kufafanua michakato ya kimsingi ya dawa za

08/02/2017

Unaweza ukatumia maji ya baridi kumezea dawa zako. Pindi umezapo dawa kwa kutumia maji ya baridi, mwili umejitengenezea namna ambayo huanza kuyapasha maji hayo

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+225 652 466 430

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DawaCall posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to DawaCall:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram