04/04/2024
πππ‘π¦π π¬π ππ¨ππππ π£π¨π‘π¬ππ§π’:
Punyeto ni tabia k**a zilivyo tabia nyingine k**a kunywa pombe,kubeti nk ambayo unaweza kuianza kuendelea nayo au kuiacha.
Kutokana na madhara yake nimeona nikupe mbinu hizi namna ya kuacha tabia hiyo;
1 ππππ ππ¨ππ‘πππππ π£π’π₯π‘
Hizi ni video ambazo zimekua chanzo kikubwa cha punyeto kwa watu wengi kinachotokea ni kwamba zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako.
2 ππππ πππ ππ¨π§π’ππ‘πππππ π£π’π₯π‘:
Bafuni ndio sehemu ambayo hutumika sana na watu wengi kupiga punyeto,namna ya kujizuia kupiga punyeto ukiwa bafuni fanya hivi
Oga haraka haraka,
Oga maji ya baridi
Jizuie kuchezea uume wako kwa sabuni
3 π¨π¦ππ£ππ‘ππ ππ¨πππ π£ππππ π¬πππ’ π‘π¬π¨π πππ‘π:
Mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, jichanganye na watu wengine,piga stori za mambo mengine.
4 ππππ πππ π§ππππ π¬π ππ¨π£πππ πππ π πͺππ¦ππ’:
Siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, k**a unaacha acha mara moja.
5 π§πππ¨π§π π π£ππ‘ππ:
Ukiwa na mpenzi itakusaidia unapokua na hamu badala ya kujichua basi unakua naye hivyo itakupunguzia ile hali ya kutaka kujichua kila mara.
6 ππ¨π ππππ:
Hii itakufanya uwe bize na mambo mengine pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.
7 ππ¨π ππ¨ππ π πππππ₯π π¬πππ:
Punyeto ina madhara mabayo kila mpiga punyeto hua anayapata muda huo huo k**a uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuacha kupiga punyeto.
Usisahau kuwasiliana nasi tusuluhishe mapema sana
Call / Whatsapp: +255 787 289635
Usisahau Kutufollow Ken Uzazi Tanzania kwa Suluhisho lililobora