Dawa Na Afya Tz

Dawa Na Afya Tz Karibuni kwenye ukurasa wetu kwa msaada zaidi juu ya afya yako pamoja na Elimu ya dawa, usisite kutuandikia kwa msaada zaidi. karibu na pia mkaribishe mwenzako.

Jitahidi kunywa dawa ya minyoo angau mara 3 kwa mwezi, hii inatokana na aina ya vyakula tunavyokula.
22/08/2025

Jitahidi kunywa dawa ya minyoo angau mara 3 kwa mwezi, hii inatokana na aina ya vyakula tunavyokula.

13/11/2024

Karibu kwa Order bei ya jumla.🔥

Kwa mawasiliano zaid tucheki
0676262595/0683925200

Heri ya siku za mwisho wa wiki!!Siku hizi hebu amuakufanya mambo yatakayokupa furaha na kuimarisha afya yako, pata muda ...
28/10/2023

Heri ya siku za mwisho wa wiki!!
Siku hizi hebu amuakufanya mambo yatakayokupa furaha na kuimarisha afya yako, pata muda fanya haya:-

1. Mazoezi ya viungo
2. Sikiliza muziki uupendao
3. Pika chakula ukipendacho
4. Badala ya kwenda bar kulewa basi jumuika na familia au uwapendao.

JE, unafahamu dawa hii.!?
24/09/2022

JE, unafahamu dawa hii.!?

DIABETES ALERT 💊⚠️Make sure you manage your Diabetes well to avoid complications that would be life threatened phenomeno...
23/11/2021

DIABETES ALERT 💊⚠️

Make sure you manage your Diabetes well to avoid complications that would be life threatened phenomenon.

🌱SPINACH: ni mboga yenye wingi wa vitamini B-9 ambayo ni muhimu kwa mjamzito kwani husaidia kuzuia kasoro za uzazi kwa w...
22/07/2021

🌱SPINACH: ni mboga yenye wingi wa vitamini B-9 ambayo ni muhimu kwa mjamzito kwani husaidia kuzuia kasoro za uzazi kwa watoto k**a vile mgongo wazi.

Pia spinachi ina vitamini B-6 ambayo ni muhimu kwa ubongo wa mwanao anayekua ndani yako na hata baada ya kuzaliwa.

BORESHA LISHE YA MTOTO WAKO.💥KIINI CHA YAI kina virutubisho vingi kwa watoto k**a vitamin na madini chuma ambayo huimari...
25/06/2021

BORESHA LISHE YA MTOTO WAKO.💥

KIINI CHA YAI kina virutubisho vingi kwa watoto k**a vitamin na madini chuma ambayo huimarisha ubongo na mfumo wa fahamu wa mtoto.
Pia huimarisha kucha, macho, ngozi, nywele na kuzalisha homoni za ukuaji na furaha kwa mtoto.
Unaweza kumpa chenyewe au kuchanganya kwenye uji.

Je Wejua..!! ⚠️Sehemu ya nje ya meno ndiyo kitu kigumu zaidi katika mwili wa binadamu. Muundo wa meno yako pia haufanani...
21/06/2021

Je Wejua..!! ⚠️

Sehemu ya nje ya meno ndiyo kitu kigumu zaidi katika mwili wa binadamu. Muundo wa meno yako pia haufanani na muundo wa meno ya watu wengine wote duniani. Hizi ndiyo sababu kuu mbili ambazo madaktari hutumia mabaki ya meno kutambua mtu aliyekufa na mwili wake kuharibika.

TAHADHARI KWA MTOTO: Kamwe usimtingishe au kumrusha hewani mtoto wako mchanga iwe kwa kumfurahisha au kuchanganyikiwa kw...
05/05/2021

TAHADHARI KWA MTOTO:

Kamwe usimtingishe au kumrusha hewani mtoto wako mchanga iwe kwa kumfurahisha au kuchanganyikiwa kwani unaweza sababisha kuvuja kwa damu kwenye ubongo wake na hata kifo. Hivyo, ikiwa unataka kumuamsha usimtingishe bali furahisha miguu au mashavu yake kwa upole.

Afya ya mahusiano..✔️Tafiti zimedai kukumbatiana hasa ngozi kwa ngozi hufanya wahusika kuwa na amani ya akili na moyo ki...
16/04/2021

Afya ya mahusiano..✔️

Tafiti zimedai kukumbatiana hasa ngozi kwa ngozi hufanya wahusika kuwa na amani ya akili na moyo kitu kinachowasaidia kupata usingizi haraka ikilinganishwa na wasiokumbatiana.

Dondoo za Afya..!!• Ni kawaida kwa wanawake kuhisi  maumivu wakati wa kujamiiana na mara nyingi hii hutokana na mwanamke...
15/04/2021

Dondoo za Afya..!!

• Ni kawaida kwa wanawake kuhisi maumivu wakati wa kujamiiana na mara nyingi hii hutokana na mwanamke kutolainika sawasawa wakati wa kujamiana lakini maumivu ya kupindukia ambayo husababisha karaha na hali inayopelekea wanawake kuchukia tendo la ndoa sio kawaida.

•lakini pia zipo sababu zinazopelekea maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke ambazo sio za kawaida, hii utokana na maambukizi, PID, endometriosis, kuvimba kwa kuta za uke nk.

Tuandikie k**a unalo tatizo k**a hilo kwa ushauri na msaada zaidi.

AFYA CHECK weekend..✔️Utafiti mmoja wa kina unaonyesha kuwa watoto na watu wazima wanao lala muda mfupi wana uwezekano m...
11/04/2021

AFYA CHECK weekend..✔️

Utafiti mmoja wa kina unaonyesha kuwa watoto na watu wazima wanao lala muda mfupi wana uwezekano mkubwa wa kupata uzito/unene kupita kiasi. Hivyo ikiwa unajaribu kupunguza uzito wako kupata usingizi wa kutosha ni muhimu sana.

Ushauri : lala kwa masaa yasiyopungua saba mpaka nane kila siku kwa afya yako.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dawa Na Afya Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dawa Na Afya Tz:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category