Dozi Lishe
- Home
- Tanzania
- Dar es Salaam
- Dozi Lishe
Nasaidia Kina Baba & Mama Kupungua
Bila Mazoezi Magumu Wala Kujinyima Kula
Dozi ~ Tsh 55,000/= | Usafiri 5000/=
📞 0766 720 120
📍 Dar, Makumbusho
Address
Mlimani Tower
Dar Es Salaam
Website
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Dozi Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Category
Story Yangu
Habari Jina langu Ni Amani Longishu ni Mtengeneza maudhui ya Kibiashara na Mitindo ya kimaisha Katika mitandao mbalimbali ya kijamii, Miaka kadhaa iliyopita nilipitia changamoto ya kuwa na uzito mkubwa hadi kupelekea Shinikizo la damu kuwa juu, nilikua siwezi kukanyaga chini nikiwa peku kutokana na uzito mkubwa.
Baada ya kuamua kubadilisha maisha yangu hali ya mwili wangu ilibadilika na kuwa mwenye afya bora na uzito wa kawaida na pia niliondokana na hatari ya kupata magonjwa mara kwa mara.
Katika Ukurasa huu nitakwenda kukusaidia kuishi maisha bora kupitia mazoezi na lishe bora ili kupiga vita Uzito kupita kiasi na magonjwa mengine nyemelezi.
MISSION YANGU