FocoActive

FocoActive Addressing the triple burden of malnutrition through behavioural change in food consumption and physical activity in Tanzania

29/08/2024

Shughulisha Mwili wako angalau Dakika 30 kila siku ili kuwa na uzito sahihi na kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa yasiyoambukiza k**a kisukari!

Mbogamboga  na Matunda  ndio Dili
29/08/2024

Mbogamboga na Matunda ndio Dili

05/08/2024

 #
03/08/2024

#

Mchicha  ni Mboga yenye Virutubisho  vingi ikiwemo madini chuma,zink ,vitamin A.Mchicha Husaidia kuboresha afya kupitia ...
03/08/2024

Mchicha ni Mboga yenye Virutubisho vingi ikiwemo madini chuma,zink ,vitamin A.Mchicha Husaidia kuboresha afya kupitia virutubisho Vilivyomo.

Kazi Iendele!!!
26/07/2024

Kazi Iendele!!!

Lishe Bora ni Msingi wa Afya ya Familia
26/07/2024

Lishe Bora ni Msingi wa Afya ya Familia

Wananchi Wakiendelea Kupata Elimu Sahihi juu ya Mtindo wa Ulaji Sahihi Kutoka Kwa Mtaalamu wetu  wa Lishe.Lengo Kubwa ni...
25/07/2024

Wananchi Wakiendelea Kupata Elimu Sahihi juu ya Mtindo wa Ulaji Sahihi Kutoka Kwa Mtaalamu wetu wa Lishe.Lengo Kubwa ni Kuongeza Uelewa Juu ya mtindo wa Ulaji Unaofaa kwa Makundi Yote ya Chakula katika Jamii'.
LISHE BORA NI MSINGI WA AFYA YA FAMILIA!

Addressing  the triple burden of Malnutrition  through  behavioural  change  in food consumption  and Physical  Activity...
24/07/2024

Addressing the triple burden of Malnutrition through behavioural change in food consumption and Physical Activity in Tanzania.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FocoActive posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram