09/08/2023
DR.BONYE FOUNDATION INASIMAMA NA JAMII KATIKA KILA HATUA YA KIMAENDELEO,IMEKABIDHI MIFUKO YA CEMENT KWAAJILI YA KUSAIDIA UKARABATI WA OFISI KATIKA SHULE YA SECONDARY BOKELA, MANG'ULA WILAYA YA KILOMBERO ππ