12/11/2025
Unakaribishwa katika idara yetu ya Kinywa na Meno, karibu kwa uchunguzi wa afya ya kinywa na meno, kusafisha meno, kung’oa jino, kuweka mpangilio mzuri wa meno (braces), nk. Kliniki hii inapatikana kila siku, Jumatatu mpaka Jumapili. Kwa msaada zaidi au maulizo tafadhali tupigie.
_____________________________________