11/12/2025
UNGANA NASI KATIKA KAMPENI YA KITAIFA YA KUCHANGIA DAMU INAYOENDELEA.
Tunaingia msimu wa mwishoni mwa mwaka… wakati wa kusherehekea kwa upendo na kuokoa maisha.
Toa kwa moyo. Changia damu sasa. ❤️
📅 08–12 Desemba 2025
📍 Vituo vya damu salama, hospitali za rufaa, mikoa, wilaya, maeneo ya wazi na kambi za jeshi kote nchini.
Kila tone lako linaweza kuwa sababu ya mtu kuendelea kuishi.