17/09/2025
TAHADHARI: Piga *106 # ili Kuhakiki Namba zako baada ya Kupata Huduma toka kwa Mawakala hasa wa Mtaani, zisizojulikana zifute haraka kwani zinaweza kukuletea Shida hapo baadaye. Kuwa makini, Mawakala wasio Waaminifu ni wengi..!!
Pia, Tambua Usajili wa Laini ya Simu hauchukui zaidi ya Dakika 3 hadi 5 k**a hakuna Changamoto ya Mtandao (Network) au Mfumo (System). Zaidi ya hapo ni FRAUD..!!
Kuwa makini na Wakala anayekupa Huduma.
Jipatie Bando za Yas SME uweze Kupiga Simu Mitandao yote, Kuperuzi na Kustream kwa Kasi ya 4G+/5G kutoka Yas!
Pia, Mi-Fi za Yas zinapatikana
Huduma inakufikia Popote ulipo ndani ya Jiji la Dar es Salaam
Wasiliana Nasi: +255 (0) 793 190 170
Follow kwenye Facebook, Instagram au TikTok