Nizam herbs

Nizam herbs Dealers in medicinal plants and food supplement. Tunatibu maradhi sugu kwa kutumia dawa za Asili.

TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA  TENDO. Hili ni tatizo linalohusiana na upungufu wa nguvu za kiume, ambapo mwanaume atapata vi...
20/01/2025

TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO.

Hili ni tatizo linalohusiana na upungufu wa nguvu za kiume, ambapo mwanaume atapata viashiria vifuatavyo;

1. Anashindwa kujizuia kumwaga manii yake, na tukio hilo hutokea haraka sana pindi tu anapoanza tendo.

2. Anashindwa kumfikisha mwenza wake kileleni na yeye kushindwa kuendelea baada ya kumwaga.

3. Kulegea kwa misuli ya uume baaada ya kumwaga manii na kushindwa kufanya vizuri raundi inayofuata.

4. Pia hutoa manii kidogo sana na kuchoka mwili baada ya kumwaga.

5. Hutokea kutoa manii yake hata kabla uume haijangia kwenye uke.

SABABU ZA KUWAHI KUMALIZA TENDO KWA HARAKA SANA.

1. Kushiriki vitendo vya kujichua mara kwa mara, ambapo inasababisha ulegevu wa misuli ya uume. (ma********on)
2. Kushuka kwa kiwango cha vichocheo ( testosteroone hormone). hivyo kupelekea kushuka kwa hamu ya tendo.
3. Kuwa na hofu au uwoga juu kuliendea tendo na mwenza wako kutokana historia ya kushindwa kumridhisha mwenza wako kwa nyakati zilizopita.
4. Upungufu wa mlo wenye viritubishi katika mfumo wa uzazi, mfano uchache madini Zinc ambayo yanasaidia kufungua njia za damu za uume wakati wa tendo na kusaidia uume kusimama imara zaidi.

ZOFE ni dawa yenye kutibu kabisa tatizo hili kwa utaratibu wa dozi ambayo utaelekezwa utapoanza matibabu.

Pia Nizam, Tunatibu maradhi mengine tofauti k**a vile Presha, kisukari, Pumu, matatizo ya Uzazi, mifupa na Maumivu ya kichwa...

mawasiliano: +255657332411

"Jenga afya yako na Asili"

*P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.*P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kw...
09/01/2025

*P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.*

P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS).

Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC ( ambayo kimsingi ni magonjwa ya zinaa)

WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
1. Kupitia ngono zembe
2. Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
3. Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
4. Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
5. Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
6. Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
7. Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
8. Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
9. Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu

DALILI ZA P.I.D
1. Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
2. Uke kutoa harufu mbaya
3. Kuwashwa sehemu za siri
4. Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5. Uke kuwa mlaini sana
6. Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7. Kuvurugika kwa hedhi
8. Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
9. Maumivu wakati wa kukojoa
10. Homa, uchovu na kizunguzungu

MADHARA YA P.I.D
Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi
Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba

Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi

Ugumba kwa mwanamke
kupata kansa ya shingo ya uzazi

JINSI YA KUEPUKANA NA P.I.D

Japo kuwepo na tiba za kujitibu lakini unashauriwa kinga ni bore kuliko tiba hivyo zingatia yafuatayo;-
Epuka kufanya ngono zembe
Usifanye mapenzi baada ya kujifungua au mimba kutoka
Weka tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara.

Kuwa msafi na nguo zako za ndani na kula lishe bora
Epuka kushare nguo za ndani

UNAPOONA DALILI ZA UGONJWA HUU WAHI KUPATA MATIBABU. KWANI UGONJWA HUU NI HATARI NA HUWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA AU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI

Mawasiliano;
0657332411

" jenga afya yako na Asili"

*TATIZO LA HARUFU MBAYA YA KINYWA (BAD BREATH)* Harufu mbaya ni sababu ya tatu kwa watu kutafuta matibabu baada ya kupat...
08/01/2025

*TATIZO LA HARUFU MBAYA YA KINYWA (BAD BREATH)*

Harufu mbaya ni sababu ya tatu kwa watu kutafuta matibabu baada ya kupata maumivu ya meno.

Pumzi mbaya ni shida ya kawaida ambayo husababisha watu wengine kuwa na wasiwasi sana na kutokuwa na amani. Ingawa, mara nyingi watu hawajui kuwa vinywa vyao vinanuka, lakini wale walio karibu nao wanaweza kuisikia.

Humfanya mtu aone aibu haswa wakati anajua mdomo wake unatambulika kwa harufu nyingi.

Harufu ya mdomo inaweza kusikika ukiwa mbali ya mita nne mara nyingi.

Ni nini kinachosababisha harufu mbaya ya kinywa?
Pumzi mbaya inaweza kutokea ikiwa mdomo haujaoshwa vizuri, na wakati mwingine inaweza kuwa sababu ya ugonjwa.

Pia, kuna aina fulani ya vyakula ambavyo vinaweza kusababisha harufu mbaya ya kinywa.

1. Sababu kuu ikiwa ni usafi duni wa kinywa.
2. Kuacha mabaki ya chakula husababisha shida hiyo
3. Kuoza kwa meno
4. Kuweka kinywa chako kuwa kikavu
5. Kuvuta bangi au sigara kunaweza kusababisha harufu mbaya mdomoni.

_Je! Unawezaje kutatua tatizo hili?_

Njia ya kwanza ya kukabiliana na harufu mbaya ni kuweka kinywa chako safi kwa kupiga mswaki mara kwa mara baada ya kula na wakati wa kulala.

Pia Tumia chai ya mbegu za Shamari (unga wake au mbegu zake ) utakusaidia kuondoa tatizo la harufu mbaya mdomoni.

Zingatia; _hali hii hujitokeza mara kwa mara bila ya kuisha ikiwa una vidonda vya mdomo, koo au kwenye tumbo (yaani vya tumbo)_

Mawasiliano; 0657332411.

"Jenga afya yako na asili"

25/12/2024
PREMATURE EJ*******ON. This is a disorder related to male reproductive system, where a man will have the following indic...
24/12/2024

PREMATURE EJ*******ON.

This is a disorder related to male reproductive system, where a man will have the following indicators;

1. He can't stop himself from ej*******ng, and it happens very quickly as soon as he starts the intimacy.

2. He fails to bring his partner to or**sm and fails to continue after ej*******on.

3. Relaxation of the p***s muscles after ej*******on and failure to do well the next round.

4. It also produces very little s***m and makes the body tired after ej*******on.

5. He happens to release his s***m even before the p***s enters the va**na.

REASONS FOR PREMATURE EJ*******ON.

1. Participating in frequent ma********on, where it causes the relaxation of the p***s muscles.
2. Decrease in the level of testosterone hormone thus leading to a decrease in desire for action.
3. Being afraid or nervous about intimacy due to a history of failing to satisfy your partner in the past.
4. Deficiency of a diet with nutrients related to reproductive system, for example a lack of zinc contents, which helps to open the blood vessels of the p***s during the act and help the p***s to stand more firmly.

ZOFE is a drug that completely cures this problem with the dosage regimen that will be directed when you start treatment.

Also Nizam, We treat other different diseases such as Hypertension, diabetes, Asthma, reproductive problems, bones and headaches...

contact: +255657332411

"Build your health with Nature"

Symptoms for constipation;1. get so much pain during defecation.2. Having a very dry stool,  into pieces like stones.3.H...
24/12/2024

Symptoms for constipation;
1. get so much pain during defecation.

2. Having a very dry stool, into pieces like stones.

3.Having a defecation but either feel some remain inside after all or failure to withdraw a stool for a couple of days.

4.Stay for a while waiting for stool to come out.

5. This become chronic if may persist for more 3 to 7 days.

" Build your health with nature"

Contact us +255657332411.

Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na hupele...
13/12/2024

Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na hupelekea wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa.

Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.
Mara nyingi tatizo hili howapata watu kuanzia umri wa miaka 25 — 70.

Kuna aina mbili za bawasiri:

Bawasiri ya Ndani:

Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla ya Kutokea nje

Huanza kwa mtu kukosa choo, Maumivu wakati wa kujisaidia

Pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wakati wa kujisaidia

Bawasiri ya Nje:

Hii ni Bawasiri ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa. Hutokea nje baada ya bawasiri ya ndani kujiimarisha zaidi.

Sababu zinazopelekea kupata Bawasiri.

Kufanya mapenzi kinyume na maumbile,

Ujauzito,

kuhara kwa mda mrefu,

Kutopata choo kwa mda mrefu.

Dalili za Ugonjwa wa Bawasiri.

Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda fulani.

Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa kujisaidia. Kitendo hiki huongeza msuguano katika mishipa ya ndani ya tundu la haja kubwa.

Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Uvimbe huu unaanza kuota k**a upele na huambatana na miwasho na maumivu makali.

Kujitokezea kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa.

Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana

Kupumua na kushindwa kuzuia kinyesi wakati ukipumua(kujamba na kutoa haja kubwa)

Madhara ya Ugonjwa wa Bawasiri

Upungufu wa damu mwilini

Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.

Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda

Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote. Yaani Mwanamke na Mwanaume. Kuathirika kisaikolojia na hupelekea kuptojiamini katika hadhara ya watu hasa pale miwasho inapoanza.

Kuvuja damu, maumivu ya mda mrefu na hupelekea kushindwa kukaa.

Maumivu ya mgongo ya mara kwa mara na kiuno.

Karibu Nizam medical herbs.Tunahusika na matibabu yatokanayo na mimea ya asili (mimea tiba) dhidi ya maradhi mbali mbali ya binadamu, K**a vile; kisukari, Presha, matatizo ya Uzazi, Vidonda vya tumbo, ganzi ya miguu, maumivu ya kichwa (au kipanda uso), maradhi ya Ngozi n.k

Tunapatikan Ukonga- Dar es salaam.

Mawasiliano : +255657332411.

Chunusi ni ugonjwa wa kawaida wa ngozi ambao huathiri 85-100% ya watu wakati fulani katika maisha yao.  Inajulikana kwa ...
04/12/2024

Chunusi ni ugonjwa wa kawaida wa ngozi ambao huathiri 85-100% ya watu wakati fulani katika maisha yao. Inajulikana kwa namna ya vipele vidogo au vikubwa kiasi vyenye kuuma unapojaribu kutumbua. Vipele vya chunusi hutokana Ongezeko la mafuta ( sebum) kwenye tabaka fulani la ngozi, hali hii huzalisha madoa meusi kwenye ngozi kupoteza mvuto wa ngozi ya mtu. Maeneo yanayoathirika zaidi ni pamoja na uso, sehemu ya juu ya kifua, na nyuma.

sababu za zinazopelekea chunusi:
Ongezeko la sebum kwenye ngozi ambalo huchagizwa zaidi na vichocheo vya mwili ( hormones), ambayo ni Androgen hormone.

Propionibacterium, huyu ni bacteria ambaye anasababisha kutokea kwa chunusi nyingi kwenye ngozi.

Zipo pia sababu za kurithi ambazo kimsingi watu dawa wanatumia nyingi na wanashindwa kupona mpaka pale zinapoondoka zenyewe au kupata au highly skin care.

Sababu za kimazingira, kutumia vipodozi visivyoendana na ngozi yako, kusugua sana ngozi ukiamini unatoa chunusi kumbe ndio unaongeza tatizo.

Tiba Asili inalo jawabu dhidi ya magonjwa ya ngozi ikiwemo hili la chunusi, karibu upate tiba sahihi.

"Build your health with nature"

Mawasiliano:
+255657332411

TATIZO LA CHOO KIGUMU ( CONSTIPATION).Sheria ya kibailojia, mtu anapokaa kwa siku 3 au zaidi basi mtu huyo anaingia kwen...
02/12/2024

TATIZO LA CHOO KIGUMU ( CONSTIPATION).

Sheria ya kibailojia, mtu anapokaa kwa siku 3 au zaidi basi mtu huyo anaingia kwenye kundi la watu wenye changamoto ya *Choo kigumu*

Dalili za choo kigumu.
1. Kupata maumivu wakati wa haja kubwa.
2. Kupata choo kikavu sana, kiasi k**a vijiwe au choo cha mbuzi.
3. Unakwenda haja kubwa lakini unashindwa kutoa uchafu wote, na unahisi uchafu umebaki ndani.
4. Kukaa zaidi ya siku 3 bila kupata choo kikubwa.
5. Kukaa muda mrefu chooni kusubiri choo kitoke, unapata kdg sana au hakitoki kabisa mpaka muda mwingine.

Hizo ni Dalili kuu kuhusu choo kigumu, kwahiyo unadalili moja wapo kati ya hizo inafaa ufike kwenye kituo cha afya ili kuanza tiba.

Pia ziko dhana ambazo hazina ukweli wowote kibailojia.
1. Ni lazima kupata choo kila siku.
2. Uchafu ( au kinyesi) kinapokuwa mwilini muda mrefu bila kutolewa kinaweza kupunguza siku za kuishi.

Madhara makubwa ya Choo kigumu ni kupata Tatizo la *Bawasiri*.

Vitu ambavyo ukivifanya vinaweza kupelekea tatizo la choo kigumu.
1. Kuto kula matunda mara kwa mara.
2. Kuto kunywa maji ya kutosha kulingana na uzito wako.
3. Kuto kufanya mazoezi au kujishuhulisha na kazi ndogo ndogo zenye kupasha misuli joto.
4. Kujihisi haja kubwa na kupuuzia bila ya kwenda kuitoa.
5. Matumizi yaliyokithiri ya dawa za kupata choo. Inafikia muda zinazoeleka mwilini na haziwezi tena kukusaidia kupata choo.

Tatizo hili tunalitibu kwa kutumia dawa za asili zilizotokana na mimea tiba.

Karibu Nizam medical herbs.Tunahusika na matibabu yatokanayo na mimea ya asili (mimea tiba) dhidi ya maradhi mbali mbali ya binadamu, K**a vile; kisukari, Presha, matatizo ya Uzazi, Vidonda vya tumbo, ganzi ya miguu, maumivu ya kichwa (au kipanda uso), maradhi ya Ngozi n.k

Tunapatikan Ukonga- Dar es salaam.

Mawasiliano : +255657332411.

URINARY TRACT INFECTION (UTI)Huku mataani imezoeleka kuitwa yutiyai ambayo kitaalamu hujulik**a Maambukizi ya bacteria k...
17/11/2024

URINARY TRACT INFECTION (UTI)

Huku mataani imezoeleka kuitwa yutiyai ambayo kitaalamu hujulik**a Maambukizi ya bacteria katika njia ya mkojo (yaani UTI).

Maambukizi ya bacteria katika njia ya mkojo yanayoathiri au kushambulia *Figo*, *njia za mkojo* , na *kibofu cha mkojo* ambayo ndio husababisha mgonjwa kujihisi anaumwa.

Homa hii huumwa sana wanawake wenye umri kati ya miaka 20 hadi 50.

Bahati mbaya sana siku za hivi karibuni watu wengi wanachanganya kati ya UTI na STI...yaaani yutiyai na magonjwa ya zinaa k**a vile gono. Licha ya baadhi ya dalili kufanana lakini maambukizi yanatofautiana kulingana na aina ya bacteria aliye shambulia. Kwahiyo ni muhimu kupima ili kujua unaumwa yutiyai au magonjwa ya zinaa.
Hii inatokea kwasababu watu wengi wanalalamika kwamba yutiyai zao haziponi, bahati mbaya mtu ana ugonjwa wa zinaa alaf anatumia dozi ya yutiyai au Anaumwa ugonjwa wa zinaa alaf anatumia dozi ya yuyati.

UTI (yutiyai) inaweza kuwa sugu iwapo inajirudia rudia ikiwa mtu ameumwa kwa miaka 2 au zaidi na ikiwa inajirudi kila baada ya miezi 3, 4 au 6.

UTI sugu inaweza kuharibu figo ikiwa imedumu muda mrefu bila ya kutibiwa.

UTI sugu kwa wanaume inapelekea kubana njia ya mkojo na kuwa nyembamba sana au kuziba na hivyo kusababisha kuzaliana kwa bacteria aina nyingine ambao wanasababisha magonjwa ya zinaa.

Pia UTI sugu ni chanzo moja wapo cha kupata mtoto njiti (premature infants). Bacteria hushambulia mimba ambayo inaathiri ukuaji wa mtoto tumboni na hivyo kujifungua kabla ya wakati.

NJIA ZA KUJIKINGA NA UTI.
1. Kunywa maji ya kutosha kila siku.
2. Jitibu kwa wakati unapopata maambukizi
3. Nenda chooni haraka sana unapopatwa na haja ndogo. Usibane mkojo.
4. Kwa wanawake jisafishe na maji sio kitambaa baada ya haja ndogo. Na pia anzia kusafisha kwenye uke na umalizie kwenye tundu haja kubwa na sio kinyume chake.
5. Safisha au nawa (uke au uume) na maji safi kila unapomaliza tendo. Taulo au kitambaa peke yake halitoshi.

Dalili za UTI
1. Maumivu makali ya kiuno.
2. Maumivu makali tumbo chini ya kitovu.
3. Maumivu makali wakati kukojoa kuhisi k**a moto hivi.
4. Kupata mkojo rangi njano sana kwa zaidi ya siku 3 mfululizo.
5. Maumivu ya kichwa na joints ( yaani magoti)
6. Kuhisi maumivu upande mmoja wa tumbo ( *kulia*) ambapo ndio kuna figo.

Karibu Nizam medical herbs.
Tunahusika na matibabu yatokanayo na mimea ya asili (mimea tiba) dhidi ya maradhi mbali mbali ya binadamu, K**a vile; kisukari, Presha, matatizo ya Uzazi, Vidonda vya tumbo, ganzi ya miguu, maumivu ya kichwa (au kipanda uso), maradhi ya Ngozi n.k

Tunapatikan Ukonga- Dar es salaam.

Mawasiliano : +255657332411.

Tunatibu tatizo la Fibroids, Endometriosis na Ovarian cysts... Hizi zote ni aina uvimbe zinazoweza kujitokeza katika mfu...
31/10/2024

Tunatibu tatizo la Fibroids, Endometriosis na Ovarian cysts... Hizi zote ni aina uvimbe zinazoweza kujitokeza katika mfumo wa uzazi wa mwanamke.

Mawasiliano:
0657 332 411

TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA  TENDO. (Premature ej*******on) Hili ni tatizo linalohusiana na upungufu wa nguvu za kiume, am...
30/10/2024

TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO. (Premature ej*******on)

Hili ni tatizo linalohusiana na upungufu wa nguvu za kiume, ambapo mwanaume atapata viashiria vifuatavyo;

1. Anashindwa kujizuia kumwaga manii yake, na tukio hilo hutokea haraka sana pindi tu anapoanza tendo.

2. Anashindwa kumfikisha mwenza wake kileleni na yeye kushindwa kuendelea baada ya kumwaga.

3. Kulegea kwa misuli ya uume baaada ya kumwaga manii na kushindwa kufanya vizuri raundi inayofuata.

4. Pia hutoa manii kidogo sana na kuchoka mwili baada ya kumwaga.

5. Hutokea kutoa manii yake hata kabla uume haijangia kwenye uke.

SABABU ZA KUWAHI KUMALIZA TENDO KWA HARAKA SANA.

1. Kushiriki vitendo vya kujichua mara kwa mara, ambapo inasababisha ulegevu wa misuli ya uume. (ma********on)
2. Kushuka kwa kiwango cha vichocheo ( testosteroone hormone). hivyo kupelekea kushuka kwa hamu ya tendo.
3. Kuwa na hofu au uwoga juu kuliendea tendo na mwenza wako kutokana historia ya kushindwa kumridhisha mwenza wako kwa nyakati zilizopita.
4. Upungufu wa mlo wenye viritubishi katika mfumo wa uzazi, mfano uchache madini Zinc ambayo yanasaidia kufungua njia za damu za uume wakati wa tendo na kusaidia uume kusimama imara zaidi.

ZOFE ni dawa yenye kutibu kabisa tatizo hili kwa utaratibu wa dozi ambayo utaelekezwa utapoanza matibabu.

Pia Nizam, Tunatibu maradhi mengine tofauti k**a vile Presha, kisukari, Pumu, matatizo ya Uzazi, mifupa na Maumivu ya kichwa...

mawasiliano: +255657332411

"Jenga afya yako na Asili"

Address

Ukonga
Dar Es Salaam
022

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nizam herbs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category