My health

My health medical & health

02/12/2025

โ€ผ๏ธโ€ผ๏ธHUDUMA YA VIPIMO VYOTE ,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO, ๐ŸฉธUSIFANYE UPASUAJI KWANZA.

GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU,,Ofa hii niya๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
โ–ช๏ธ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
โ–ช๏ธ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa(supplements) tiba lishe

Magonjwa tunayo PIMA NA KUTIBU ni;
โœ…,SUMU MWILINI โœ… Matatizo ya Moyo na INI
โœ…Kansa, โœ…Vidonda vya Tumbo,
โœ…Kisukari โœ…Pumu
โœ…Stroku. โœ…Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
โœ…Matatizo ya mifupa, โœ…Matatizo ya miguu
โœ…Ngozi, โœ…Figo, โœ…Fangasi sugu
โœ…Kupunguza unene, uzito, na matumbo
โœ…Kuongeza kinga mwilini(CD4)
โœ…U.T.I sugu,Gesi
โœ…Bawasiri, โœ…Tenzi dume
โœ…Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0654899612

11/09/2025

โ€œTunafanya vipimo vya afya kwa bei nafuu na majibu ya haraka. Tuma ujumbe WhatsApp sasa upate nafasi yako โ€” ofa ya wiki hii ni punguzo la 20%

02/10/2024

๐Œ๐•๐”๐‘๐”๐†๐ˆ๐Š๐Ž ๐–๐€ ๐‡๐Ž๐Œ๐Ž๐๐ˆ ,(๐‡๐Ž๐‘๐Œ๐Ž๐๐„ ๐ˆ๐Œ๐๐€๐‹๐€๐๐‚๐„

*๐Ÿ”˜Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%*

๐•๐˜๐€๐๐™๐Ž ๐•๐˜๐€ ๐Œ๐•๐”๐‘๐”๐†๐ˆ๐Š๐Ž ๐–๐€ ๐‡๐Ž๐Œ๐Ž๐๐ˆ
*โบ๏ธUwepo wa sumu mwilini*
*โบ๏ธUnbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)*.
*โบ๏ธUmri ukienda sana Kukoma kwa hedhi*
*โบ๏ธUzito mkubwa na Uzito mdogo sana.*
*โบ๏ธMabadiliko ya mazingira*
*โบ๏ธMsongo wa mawazo*
*โบ๏ธUpungufu wa lishe mwilini*
*โบ๏ธMatumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango*.
*โบ๏ธUtoaji wa mimba*

*DALILI* ๐™๐€ ๐Œ๐•๐”๐‘๐”๐†๐ˆ๐Š๐Ž ๐–๐€ ๐‡๐Ž๐Œ๐Ž๐๐ˆ
โ–ถ๏ธUke kuwa mkavu
โ–ถ๏ธMaumivu wakati wa tendo la ndoa
โ–ถ๏ธMaumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi.
โ–ถ๏ธUpungufu wa hamu ya tendo la ndoa.
โ–ถ๏ธMabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja).
โ–ถ๏ธKukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
โ–ถ๏ธUchovu wa mara kwa mara.
โ–ถ๏ธHoma za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara.
โ–ถ๏ธMzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula.
โ–ถ๏ธOngezeko la tumbo na nyama uzembe.
โ–ถ๏ธKuharibika kwa ngozi (chunusi, vipeleโ€ฆ n.k).
โ–ถ๏ธKupata hedhi wakati wa ujauzito
โ–ถ๏ธMwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi.
โ–ถ๏ธMaumivu ya kichwa mara kwa mara.

๐Œ๐€๐ƒ๐‡๐€๐‘๐€ ๐˜๐€ ๐Œ๐•๐”๐‘๐”๐†๐ˆ๐Š๐Ž ๐–๐€ ๐‡๐Ž๐ŒO๐๐ˆ
โžก๏ธKupatwa na maambukizi ukeni mara kwa mara
โžก๏ธKutoshika ujauzito kwa muda mrefu
โžก๏ธMimba kuharibika mara kwa mara
โžก๏ธKukosa mtoto au Ugumba.
โžก๏ธMaumivu wakati wa tendo la ndoa.
โžก๏ธKuwa na tabia na maumbile ya kiume
โžก๏ธUTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara.
โžก๏ธKuziba kwa mirija ya uzazi.
โžก๏ธkupatwa na saratani ya kizazi
โžก๏ธUvimbe kwenye kizazi mwanamke (Fibroids and ovarian cysts).

๐’๐”๐‹๐”๐‡๐ˆ๐’๐‡๐Ž/๐Œ๐€๐“๐ˆ๐๐€๐U

โžก๏ธWanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda
mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na
wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.

โžก๏ธTiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake k**a kawaida.
Lakini hupelekea madhara k**a: Kuongeza uwezekano wa shinikizo la damu,Madhara katika mfumo wa uzazi,Saratani na mengineyo.
โžก๏ธMvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini. Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo; vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo, n.k.

๐Ÿ”˜Namna nzuri ya kutibu tatizo la homoni ni kutumia virutubisho lishe ,,๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” TU๐Š๐”๐’A๐ƒ๐ˆ๐„ ๐๐ˆ๐†๐€ & ๐–๐‡๐€๐“๐’๐€๐๐ ๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐€๐’๐€๐๐“๐„.

*โœ…โœ…HUDUMA ZETU NA TIBA ZITAKUFIKIA POPOTE ULIPO NA MKOA WOWOTE NCHINI TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ* Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0654 899 612 Au bonyeza link yetu ya WHATSAPP https://wa.me/message/PXAHWWAIDPG3E1

17/07/2024

*2. Damu Kuganda*

Mabonge ya damu huzuia mtiririko wa damu, kwa muda au moja kwa moja kabisa. Mabonge ya damu yanaweza kuendelea kila mahali mwilini mwako, lakini kuganda kwa damu kwenye mikono au miguu yako kunaweza kusababisha matatizo ya mzunguko wa damu.

Mabonge ya damu yanaweza kuendelea kwa sababu mbalimbali, na yanaweza kuwa hatari zaidi.

Mabonge ya damu kwenye mshipa ya damu, donge la damu hukua kwenye mishipa iliyo ndani kabisa ya mwili wako, mara nyingi kwenye mguu. Ikiwa una tatizo la mabonge ya damu kwenye mishipa ya vena na donge la damu kwenye mguu wako likapasuka, basi linaweza kupitia sehemu nyingine za mwili wako, ikiwa ni pamoja na moyo au mapafu yako. Inaweza kusababisha kiharusi, mshtuko wa moyo, au kuziba kwa mishipa ya ateri kwenye mapafu.

Dalili za ni pamoja na:

๐Ÿ‘‰. Maumivu
๐Ÿ‘‰. Kuvimba miguu
๐Ÿ‘‰. Joto kwenye neo lililoathirika

Una uwezekano mkubwa wa kuwa na tatizo la mabonge ya damu ikiwa unatumia muda mrefu bila kutembea, kwa mfano, ikiwa una muda mrefu wa kupumzika kitanda.

Hii inapotokea, matokeo yanaweza kuwa mbaya au hata mauti. Matibabu yanapofanyika mapema inaweza mara nyingi kuzuia matatizo makubwa k**a haya.

17/07/2024

*Je, Nini Husababisha Mzunguko Mbaya Wa Damu?*

Kuna sababu nyingi tofauti za mzunguko mbaya wa damu;

*1. Ugonjwa Wa Kusinyaa Kwa Mishipa Ya Ateri*

Ugonjwa wa mishipa ya damu ni aina ya ugonjwa.

Ugonjwa wa mishipa ya damu ni hali ya mzunguko wa damu ambayo husababisha kusinyaa kwa mishipa. Inaweza kusababisha kuwa chanzo cha mzunguko wa damu kuwa hafifu kwenye viungo vyako, hasa miguuni. Katika hali inayohusiana inayoitwa *atherosclerosis* ,
mishipa hukak**aa kwa sababu ya mkusanyiko wa uchafu kwenye mishipa ya damu. Hali zote mbili hupunguza mtiririko wa damu kwenye viungo vyako na inaweza kusababisha maumivu makali sana.

Kupungua kwa mtiririko wa damu miguuni kunaweza kusababisha:

๐Ÿ‘‰. Kufa ganzi
๐Ÿ‘‰. Uchovu wa mwili
๐Ÿ‘‰. Maumivu makali
๐Ÿ‘‰. Kuvimba kwa miguu

Pasipo kufanya matibabu, kupungua kwa mtiririko wa damu na uchafu kujazana kwenye kuta za mishipa ya damu kunaweza kusababisha ugonjwa wa kiharusi. Mishipa yako ya ateri ndiyo mishipa mikuu ya damu inayopeleka damu kwenye ubongo wako. Ikiwa uchafu hujilimbikiza kwenye mishipa ya moyo wako, basi fahamu kabisa kwamba uko katika hatari ya kupata mshtuko wa moyo.

17/07/2024

Mzunguko mbaya sio hali yenyewe, lakini inaweza kusababishwa na magonjwa mbalimbali. Vyanzo halisi ni unene, ugonjwa wa moyo, sukari, na matatizo ya mishipa. Ikiwa una dalili za mzunguko mbaya wa damu, ni muhimu kutibu vyanzo vyake vya msingi badala ya kutibu dalili tu.

*Je, Dalili Za Mzunguko Mbaya Zinakuwaje?*

Dalili za kawaida za mzunguko mbaya wa damu ni pamoja na:

๐Ÿ‘‰. Kuhisi muwashowasho
๐Ÿ‘‰. Kuhisi ganzi
๐Ÿ‘‰. Miguu kuuma
๐Ÿ‘‰. Misuli kuchomachoma
๐Ÿ‘‰. Maumivu Ya kuchomachoma

Kila hali ambayo inaweza kusababisha mzunguko mbaya wa damu pia inaweza kusababisha dalili za kipekee. Kwa mfano, watu walio na ugonjwa wa kuziba au kusinyaa kwa mishipa ya ateri wanaweza kuwa na shida ya kupungukiwa na nguvu za kiume pamoja na maumivu ya kawaida, kufa ganzi, na kuwashwa au kuwaka moto.

17/07/2024

*VYANZO NA DALILI ZA MZUNGUKO MBAYA WA DAMU MIKONONI NA MIGUUNI*

Mfumo wako wa mzunguko wa damu hutuma damu, hewa ya oksijeni na virutubisho katika mwili wako wote. Wakati mtiririko wa damu unapopungua kwenye sehemu fulani ya mwili wako, sehemu hiyo hushindwa kupokea virutubisho muhimu, na inaweza kupata dalili za mzunguko hafifu wa damu.

Mzunguko mbaya unaweza kupelekea kuwapo kwa mtiririko hafifu wa:

๐Ÿ‘‰. Kwenye mishipa ya ateri ambayo hupeleka damu kwenye mikono na miguuni,

๐Ÿ‘‰. Mishipa ya vena ambayo hubeba damu na kurudisha kwenye moyo

๐Ÿ‘‰. Mfumo wa limfu, ambao hutoa maji maji kwenye tishu.

Mzunguko mbaya wa damu unaweza kuathiri mwili mzima, lakini makala hii italenga kwenye mtiririko wa damu kwenda na kutoka kwenye sehemu, k**a vile, miguu, na mikono.

10/05/2024

KARIBU UPATE SULUHISHO LA KUDUMU LA MAGONJWA SUGU BILA UPASUAJI NA HUDUMA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA TSH 20,000 TU! Bure kumuona daktari pamoja na ushauri,ofisi zetu zipo mikoa yote karibuni sana.https://wa.me/message/PXAHWWAIDPG3E1

05/05/2024

Karibu kwenye page yetu ya Afya kwa ajili ya kujifunza masuala ya Afya na changamoto moto mbalimbali za kiafya

Address

Karakata
Dar Es Salaam
MEDICALCENTRE

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when My health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram