ELIMU YA AFYA BORA

ELIMU YA AFYA BORA karibun kujua kuhusu afya kma utakuwa n changamoto yoyote kuhusu afya uliza hapa au piga simu +255748730726

07/12/2025

Leo tunazungumzia jambo ambalo wanawake wengi hawalijui: jinsi uzito mkubwa au mdogo kupita kiasi unavyoharibu uzazi kimyakimya.
Mada hii imewasaidia wanawake wengi kuelewa chanzo cha mayai dhaifu, hedhi kuvurugika, na kuchelewa kupata mimba.

Katika video hii utaelewa:
✔ Kwa nini mafuta ya mwili ni “kiwanda cha homoni”
✔ Jinsi unene au udhaifu unavyosimamisha ovulation
✔ Sababu mayai yanakuwa dhaifu
✔ Hatua za kurejesha uzazi wako
✔ Nani yuko kwenye hatari zaidi

K**a una changamoto ya kupata ujauzito, hema karibu tusome mwili wako pamoja.
Acha uzito wako kwenye comment nikupe ushauri wa bure.

🇬🇧 English Version

Today we are discussing a topic many women don’t know: how being overweight or underweight quietly damages fertility.

This topic has helped many women understand the root causes of weak eggs, irregular periods, and delayed conception.

In this video you will learn: ✔ Why body fat acts as a “hormone factory”
✔ How excess or low weight can stop ovulation
✔ Why eggs become weak
✔ Steps to restore your fertility
✔ Who is at the highest risk

If you are struggling to conceive, stay close — let’s study your body together.
Drop your weight in the comments and I will give you free personalized advice.

🇸🇦 النسخة العربية

اليوم نتحدث عن موضوع لا تعرفه الكثير من النساء: كيف يمكن لزيادة الوزن أو نقصه أن يدمّر الخصوبة بهدوء ودون أن تلاحظي.

هذا الموضوع ساعد الكثير من النساء على فهم الأسباب الحقيقية لضعف البويضات، اضطراب الدورة الشهرية، وتأخر الحمل.

في هذا الفيديو ستتعرفين على: ✔ لماذا تُعتبر دهون الجسم “مصنعًا للهرمونات”
✔ كيف يُوقف الوزن الزائد أو النحافة الشديدة عملية التبويض
✔ أسباب ضعف البويضات
✔ خطوات لاستعادة خصوبتك
✔ ومن هن الأكثر عرضة للخطر

إذا كنتِ تعانين من صعوبة في الحمل، تابعي معنا — دعينا نقرأ جسمك معًا.
اكتبي وزنك في التعليقات وسأقدم لكِ نصيحة مجانية مخصّصة لك.

MWAMBIE MUMEO AACHEE KUTUMIA DAWA ZA VI**RA NA VUMBI LA CONGO.IMEANDALIWA NA  Dr khalifa rahbiKatika karne hii ya 21 mat...
22/10/2025

MWAMBIE MUMEO AACHEE KUTUMIA DAWA ZA VI**RA NA VUMBI LA CONGO.

IMEANDALIWA NA Dr khalifa rahbi

Katika karne hii ya 21 matumizi ya vidonge vya kuongeza nguvu za kiume yameongezeka kwa kasi kubwa si kwa vijana tu Bali hata kwa wazee.
Kutokana na hili wengi hutumia vidonge kwa ajili ya kuridhisha wapenzi wao,Baadhi ya dawa hizo ni MAARUFU SANA Mfano Vi**ra huleta athari ambazo siyo nzuri kiafya.

JINSI ZINAVYOFANYA KAZI.
Dawa hizi husababishwa mishipa ya damu kutanuka na kupelekea damu kupita kirahisi na pia kuongeza mzunguko wa damu kwenda katika sehemu za siri za mwanaume kupelekea uume kusimama kwa mda mrefu zaidi.

MADHARA YA DAWA HIZI NI.
🍎mapigo ya moyo kwenda kasi.
🍎maumivu ya kifua na mgongo.
🍎maumivu katika sehemu za siri pale uume unaposimama mda mrefu.
🍎kusikia kizunguzungu na maumivu ya kichwa.
🍎kutoona vizuri au kupoteza uwezo wa kuona.

NJIA MBADALA ZA KUPAMBANA NA TATIZO HILI.
👉🏽 punguza mawazo na kuwa katika hali ya utulivu wakati wa kushiriki na mwenza wako.
👉🏽fanya mazoezi pamoja na kupunguza uzito ili kupunguza mafuta mwilini ambayo mda mwingi huzuia damu kusambaa vizuri.
👉🏽Tafuna vitunguu swaumu pamoja na tangawizi au kunywa maji yake asbuh,mchana na jioni kwa wiki 2 mfululizo.
👉🏽kunywa maji ya kutosha.
👉🏽Tumia matunda k**a tango,tikiti,ndizi,parachichi,Karoti na karanga.
👉🏽epuka pombe kupita kiasi.
👉🏽Tibu magonjwa yakusumbuwayo yanayopelekea tatizo hili k**a BAWASIRI,KISUKARI,VIDONDA VYA TUMBO,MATATIZO YA MOYO,UZITO MKUBWA,ACHA PUNYETO,NA UDHAIFU WA MFUMO WA CHAKULA.n.k

N.B Nguvu za kiume ni suala mtambuka sana kwa hiyo dawa pekee ni kujijali diet na matunda elekezi utapona kabisa na utakuwa sawa na utasave ela yako,Na k**a utakuwa NA manii chache zisizo na uwezo wa kutungisha mimba tumia matunda niliyoelekeza na mafuta ya samaki,mhogo mibichi,karanga mbichi na mbegu za maboga. au tumia MFALME PLUS na coffee za asili kabisa upone juu ya ttz lako

NIKUACHE NA MASWALI MACHACHE LEO

🤔Je punyeto ina madhara?
🤔Tangu uanze punyeto mpaka sasa kuna mabadiliko au madhara yoyote?
🤔Je umejaribu Mara ngapi kuacha punyeto lakini unarufia pale pale?

Kwa majibu juu ya maswali hayo wasiliana nasi kwa maelezo zaidi
📞💬 0748 739 726

18/04/2025

Wewe mwanamke ambaye umechoka
Kudharauliwa na kusemwa
Kisa haujabahatika kubeba ujauzito
Leo nimekuletea suluhisho la tatizo lako
Hili suluhisho limesaidia wengi k**a wewe
Waliokua na changamoto ya Hormonal Imballance
Ambao hawapati hedhi
Wenye P.I.D Sugu
Kutopevusha mayai
Uke mkavu, n.k
Nipigie simu kwa namba: 0748739726
Au nitumie ujumbe what's app kwa kubonyeza link hiyo hapo chini
Watu wanapona hiyo shida yako na wanatimiza ndoto zao
Usikubali kuchekwa na kusemwa kila siku
Nipigie simu nikuaidie
Napatikana Mwenge, Tanzanite-Tower, Dar es Salaam

03/04/2025
11/02/2025

Call 0748739726

Kuna kulia kwa aina MBILI.1. Kulia kwasababu ya matatizo au changamoto2. Kulia kwasababu ya FURAHA🫃🫃🫃 Nakuombea kwa Mung...
11/02/2025

Kuna kulia kwa aina MBILI.

1. Kulia kwasababu ya matatizo au changamoto
2. Kulia kwasababu ya FURAHA🫃🫃🫃

Nakuombea kwa Mungu wewe ambaye umekuwa na kilio Cha uchungu.

Mwaka huu kabla haujaisha ulie kwasababu ya furaha ya kuwa mama kija🫃🫃 na hatimaye Unyonyeshe mtoto wako👩‍🍼👩‍🍼👩‍🍼👩‍🍼

Tuwasiliane leo

25/11/2024
SIFA ZA MWANAMKE MWENYE UWEZO WA KUBEBA MIMBA NA KUJIFUNGUA SALAMA✍️ Hii ni baada ya kupokea Changamoto na malalamishi m...
05/11/2024

SIFA ZA MWANAMKE MWENYE UWEZO WA KUBEBA MIMBA NA KUJIFUNGUA SALAMA

✍️ Hii ni baada ya kupokea Changamoto na malalamishi mengi kutoka kwa akina mama hasa wanaotafuta watoto.
Zipo sifa kadhaa zitakazokufanya wewe mwanamke uweze kubeba mimba na kujifungua salama...

👉 Mji wa mimba uwe salama.
Tunapozungumzia usalama wa mji wa mimba tugusa maeneo ya nje na ndani ya mji wa mimba. Ikiwemo kutokua na Changamoto k**a UVIMBE nje na ndani ya mfuko wa mimba.

👉 Uwiano sawa wa hormones (projesterone & Oestrogen).
Hormones zikiwa katika uwiano sawa inakua ni rahisi zaidi kuweza kubeba mimba na kulea mimba hadi kujifungua.
Kutokua sawa kwa hormones kunapelekea kukosa hedhi ukiwa bado katika wakati wa kuzaa. Pia inaweza pelekea kupata damu nyingi na kwamda mrefu wakati wa hedhi

👉 Usalama wa mirija ya uzazi(fallopian tube).

Wanawake wengi wamekua wakikubwa na hii Changamoto ya mirija kuwa na Changamoto ikiwepo
‼️kuziba kwa mirija.
‼️ Mirija kujaa maji.
Uwezo wa mwanamke kubeba mimba unahitaji usalama wa mimba wasiliana nasi kwa namba #0748739726

*Faida za kutumia Yoni Detox Pearls* Kutibu u.t.i sugu na PIDKuondoa harufu mbaya ukeni Kuondoa uchafu mweupe ukeniMaumi...
07/07/2023

*Faida za kutumia Yoni Detox Pearls*
Kutibu u.t.i sugu na PID
Kuondoa harufu mbaya ukeni
Kuondoa uchafu mweupe ukeni
Maumivu makali wakat wa hedhi
Kutibu hedhi nzito isivyo kawaida

Tupigie leo
Tunapatikana mwenge mpakan 0748739726

*HIZI NDIZO DALILI ZA HEDHI ISIYO YA KAWAIDA ISIYOTAKIWA KUCHUKULIWA POA HATA KIDOGO*      🔨Damu kutoka muda mrefu isiyo...
07/07/2023

*HIZI NDIZO DALILI ZA HEDHI ISIYO YA KAWAIDA ISIYOTAKIWA KUCHUKULIWA POA HATA KIDOGO*


🔨Damu kutoka muda mrefu isiyo kawaida wengine kufikisha week mbili ,mwezi mmoja au hata mieiz kadhaa 🔨Damu kutoka kwa wingi kusiko kawaida ,ped kujaa mda MFUPI baada ya kubadilisha
🔨Damu kutoka mala mbili kwa mwezi
🔨Damu kutoka nzito yenye mabonge mabonge
🔨Damu kukata yaani kukaa miezi kadhaa bila kupata hedhi inawezekana mieiz miwili ama sita
🔨Damu ya hedhi kutoka na kuambatana na harufu kali yenye mnuko mbaya kupita kiasi .
🔨Damu ya hedhi kutoka K**a udongo udongo na chache Sana
🔨Damu kutoka K**a matone matone ndani ya siku mbili au siku moja na kukata

NB:NI WEWE UNAPATA CHNGAMOTO HIZO. Piga simu/Wh0748 739 726ata msaada +255748739726

Address

Tanzanite Tower Mwenge Dar Ess Salam
Dar Es Salaam

Telephone

+255748739726

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ELIMU YA AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to ELIMU YA AFYA BORA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram