Mwl Arafumini Mushi

Mwl Arafumini Mushi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwl Arafumini Mushi, Psychologist, arafuminimushi15@gmail. com, Dar es Salaam.

26/07/2024

LIJUE, LIISHI ,ACHA ALAMA KATIKA KUSUDI LA KUUMBWA KWAKO: ✍️

Kwa nini hili somo kwako mda huu,

>Ukombozi wa kwanza wa mtu ni kufahamu kipi sahihi zaidi

>Kuna ongezeko la vijana wengi waliojikuta kwenye pressure ya kimaamuzi kwani kila analoliona likifanywa na wengine na yeye anataka kulifanya na baadae halifanikiwi na kukata tamaa (Dying before death) ~Hongera kwa kulifahamu hili mapema 👋

>lawama nyingi zinapelekwa kwa matendo yasiyo ya kimaadili kwa vijana sababu ni moja tu kukosa (kufahamu, uvumilivu, Imani) katika maono

anaye potea ni yule anaye jua anaelekea wapi na ni rahisi kurekebisha makosa yake

Mambo matano (05) yatakayoweza kukufunulia wewe ni nani /Umebeba nini kwa jamii yako hata taifa kiujumla;

1.Angalia vitu unavyo vipenda /kuvutiwa navyo
(Na ukivibadilisha vinakuwa faida kwa jamii na hatimaye vinaweza kukuingizia kipato)
Mfano;
Uimbaji ,uchoraji ,biashara, ufugaji, ubunifu ......

2.Angalia vitu ambavyo unatamani kuona vinabadilika kwenye jamii lakini kwa sababu ya uwezo wako wa sasa huwezi kufanya hivyo
>ila una imani ukipewa muda na maarifa yakutosha kuhusu hilo jambo unaweza kulifanya
Mfano :Uongozi /siasa

3.Vitu ambavyo unapenda kutumia sana muda wako mwingi
>Zingatia vitu hivi lazima viwe na uwezo wa kukuletea faida na jamii inahitaji/itafaidika navyo utakapo amua kuvibadili Mfano, kuimba ...

4.Jambo ambalo ukilifanya furaha yako ni kuona linakuwa na msaada kwa we wenzako kwanza hata k**a hautalipwa kwa muda huo inabaki kuwa furaha
>Baadhi ya watu kuongoza kikundi cha watu ni rahisi na ndio furaha yao

5.Jambo ambalo unahisi ingekuwa ni maamuzi yako bila msukumo kutoka kwa wazazi,familia/marafiki ungelifanya
>Ndoto nyingi zinapotea kutokana na kushinikizwa kutoka nje

unahitaji uhusiano mkubwa baina yako na Mungu ili Ufanye maamuzi sahihi na salama kwa kesho yako

Stay blessed 🙌

YOUTH FOR HERITAGE

TALENT WITHOUT FEAR OF GOD IS LIKE A POISON IN THE SOCIETY

23/06/2024

KIJANA NA MAFANIKIO YENYE MISINGI YA KI BIBLIA ( *kiroho, Kiuchumi, Kimahusiano na watu/Vitu)*

Ni Swali lipi katika haya umejikuta ukijiuliza bila majibu?
1.Je,huoni utofauti kati ya Jana na leo?
2.watu gani sahihi wakuambatana nao au vitu gani sahihi vya kufanya?
3.watu gani au vitu gani sio sahihi kuambatana navyo ?
4.Maamuzi yapi sahihi/Ufanye kwenye mengi ulipo nayo ?

_Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kuzuia upigaji wa hatua kwenye yale unayoyafanya au kwenye maono uliyo nayo_ ,

1.kutokuwa na mahusiano mazuri na Mungu ,hivyo kushindwa kuwa na mwendelezo mzuri wa taarifa kutoka kwa Mungu (Dhambi ,kukosa muda wakuzungumza na Mungu ...)

*lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia* .(Isaya 59:2)

2.Matumizi ya muda mwingi nje ya eneo lako la utendaji /maono yako mfano kwenye vinavyoburudisha bila kujenga na huwezi kuvibadili kuwa faida mfano, Muda mwingi kwenye kumbi za Mipira ,Movies na music ya kidunia (Nidhamu ya muda)

*Waefeso 5:15-16
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si k**a watu wasio na hekima bali k**a watu wenye hekima;
See then that ye walk circumspectly, not as fools, but as wise,
[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Redeeming the time, because the days are evil.*

3.Maamuzi yasiyo sahihi (maamuzi yasiyo na tija)
Mara nyingi hii imekuwa ikiambatana na mazingira tofauti tofauti mfano,
(woga, kutokujiamini....)
(uliwahi kushindwa ulipojaribu kufanya)
/Marafiki (watakuchukulia vipi ukifanya)

*Waefeso 5:17
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.*

Je,Ufanye nini kuyatatua hayo ?

1.Tengeneza/kuza mahusiano yako na Mungu.
Nitumie njia zipi?(Maombi, Mifungo, Neno, Sadaka, Shukrani na Shuhuda)

*Mithali 3:5-6........>>>

23/06/2024

...............>>>
Je,Ufanye nini kuyatatua hayo ?

1.Tengeneza/kuza mahusiano yako na Mungu.
Nitumie njia zipi?(Maombi, Mifungo, Neno, Sadaka, Shukrani na Shuhuda)

*Mithali 3:5-6
[5]Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote,
Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

[6]Katika njia zako zote mkiri yeye,
Naye atayanyosha mapito yako.

2.Acha kufanya vitu visivyoukomboa muda wako /Visivyokupa shukrani kwenye kesho yako mfano acha kufanya vitu vinavyoishia kukupa burudani ya muda peke yake ..mfano movies na music ya kidunia

*Zaburi 90:12
[12]Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu,
Tujipatie moyo wa hekima.

3.Anza kuwekeza muda wako kwenye vitu vinavyofanana na unapoelekea mfano ,fuatilia (video, Audio,makongamano ,maarifa ) yanayo mwagilia vile ulivyonavyo hatimaye kuvikuza (Tabia ni roho wingi wa uzuri/ubaya wa tabia ulizonazo utategemeana na kiasi chako na ushirika wako kwa Roho Mtakatifu)

*Warumi 12:2
[2]Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

4.Fanya Maamuzi yatakayoweza kukutetea ukiwapekeyako pasipo msaada wa binadamu yeyote isipokuwa Mungu peke yake ```(Rudia kusoma``` )

# Wakati mwingine utahitaji ushauri zingatia ni nani anaye kushauri na yapi ni mapenzi ya Mungu

**Mithali 11:14
[14]Pasipo mashauri taifa huanguka;
Bali kwa wingi wa washauri huja wokovu.

```Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba, na kwa Bwana wetu Yesu Kristo

Stay blessed 🙌

# EMPOWERING YOUTH FOR HERITAGE
```

23/06/2024

IKIJANA NA MAFANIKIO YENYE MISINGI YA KI BIBLIA ( *kiroho, Kiuchumi, Kimahusiano na watu/Vitu)*

Ni Swali lipi katika haya umejikuta ukijiuliza bila majibu?
1.Je,huoni utofauti kati ya Jana na leo?
2.watu gani sahihi wakuambatana nao au vitu gani sahihi vya kufanya?
3.watu gani au vitu gani sio sahihi kuambatana navyo ?
4.Maamuzi yapi sahihi/Ufanye kwenye mengi ulipo nayo ?

_Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kuzuia upigaji wa hatua kwenye yale unayoyafanya au kwenye maono uliyo nayo_ ,

1.kutokuwa na mahusiano mazuri na Mungu ,hivyo kushindwa kuwa na mwendelezo mzuri wa taarifa kutoka kwa Mungu (Dhambi ,kukosa muda wakuzungumza na Mungu ...)

*lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia* .(Isaya 59:2)

2.Matumizi ya muda mwingi nje ya eneo lako la utendaji /maono yako mfano kwenye vinavyoburudisha bila kujenga na huwezi kuvibadili kuwa faida mfano, Muda mwingi kwenye kumbi za Mipira ,Movies na music ya kidunia (Nidhamu ya muda)

*Waefeso 5:15-16
[15]Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si k**a watu wasio na hekima bali k**a watu wenye hekima;

[16]mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu. *

3.Maamuzi yasiyo sahihi (maamuzi yasiyo na tija)
Mara nyingi hii imekuwa ikiambatana na mazingira tofauti tofauti mfano,
(woga, kutokujiamini....)
(uliwahi kushindwa ulipojaribu kufanya)
/Marafiki (watakuchukulia vipi ukifanya)

*Waefeso 5:17
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana. *

Je,Ufanye nini kuyatatua hayo ?

1.Tengeneza/kuza mahusiano yako na Mungu.
Nitumie njia zipi?(Maombi, Mifungo, Neno, Sadaka, Shukrani na Shuhuda)

*Mithali 3:5-6
[5]Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote,
Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

[6]Katika njia zako zote mkiri yeye,
Naye atayanyosha mapito yako.

Address

Arafuminimushi15@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwl Arafumini Mushi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category