28/10/2025
Dalili zifuatazo za ugonjwa huu wa ngozi hutokea kwa watu wazima:
- vipele ambavyo vina magamba zaidi kuliko vinavyotokea kwa watoto
- vipele ambavyo kwa kawaida huonekana kwenye mikunjo ya viwiko au magoti au sehemu ya shingo.
- vipele vinavyofunika sehemu kubwa ya mwili
- ngozi kuwa kavu sana kwenye maeneo yaliyoathirika
- vipele ambavyo huwashwa sana n.k
Je,Una tatizo hilo na hujapata Tiba,Kwa Ushauri zaidi na Tiba tuwasiliane +255758286584.