Dr.elisha

Dr.elisha Afya Bora,kipato endelevu.amani na upendo

KITUO CHA AFYA - Gcat health care internationalNi taasisi inayomilikiwa na Wachina ambayo ina madktari waliobobea na vif...
21/10/2024

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambayo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana. Kwa elfu 30,000/= tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari

Njoo ujipatie tibalishe na kupona ni uhakíka kabisa karibuni sana.
Mawasiliano
0763235028

NJIA SALAMA YA KUTIBU UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE     Wanaume wengi wanashindwa kutungisha mimba na wanawake Kutoshik...
21/10/2024

NJIA SALAMA YA KUTIBU UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE
Wanaume wengi wanashindwa kutungisha mimba na wanawake Kutoshika Mimba kutokana na changamoto mbalimbali. Swala la uzazi sio la upande mmoja tu wa mwanamke pia wanaume wengi hawana uwezo wa kutungisha mimba. ✍🏻✍🏻
Tumewasaidia wanaume na wanawake wengi sana kutibu tatizo la ugumba na wamepata watoto. Na wengi wao walikuwa na changamoto k**a hizi👇
✅Kuwa na mbegu chache
✅Kuwa na uvimbe kwenye kizazi au kwenye mayai
✅Mbegu kuwa na uwezo mdogo wa kuogelea.
✅ Mvurugiko wa homoni/ Homone imbalance
✅ Kutokurudia tendo la ndoa
✅ Mirija ya uzazi kuziba
✅ Upunguvu wa nguvu za kiume
✅Kukosa hamu ya tendo la ndoa
✅Dhakari kusimama kwa ulegevu.
✅ Kukosa hedhi/Period
✅ Saratani ya shingo ya kizazi
✅Kuhisi maumivu wakati wa tendo.
✅ Kukosa hisia
✅ Changamoto ya tezi dume.
#.Nanyingine nyingi

Haijalishi changamoto yako wewe imekutesa kwa mda gani,GCAT HEALTH CARE CLINIC Kutoka China ipo kwa ajili ya kutatua changamoto yako.
⚫Tunatoa huduma ya vipimo vya mfumo mzima wa Mwanaume na Mwanamke kwa Tshs 30,000/= tu .
NB: Usitumie dawa yoyote bila kupata vipimo na Ushauri wa daktar.✖️
Je ni wewe unahitaji huduma kwa ofa hii ya vipimo?
K**a ni wewe basi piga simu kwa namba 0763235028 Kwa maelekezo zaidi , Tunapatikana dar es salaam na mikoani pia.
Wasiliana nasi kwa namba 0763235028

Kwa maelezo zaidi nipigie kwa 0686275730
11/10/2024

Kwa maelezo zaidi nipigie kwa 0686275730

Address

Kijichi
Dar Es Salaam
MBAGALAKUU

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.elisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram