14/07/2025
FAIDA YA KUDING TEA KATIKA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZA KIAFYA:
HUSAIDIA ;
kuondokana na shida ya maumivu na msuguano wa viungo (osteoarthritis) k**a nyonga, maumivu ya visigino( unyayo),magoti, maumivu ya mgongo (Lumbar spondylosis)
HUSAIDIA WATU WENYE SHIDA YA;
Kupungua/kukauka kwa uteute kwenye viungo kwa kurejesha uteute ( Synovial fluids) unaosaidia mnyumbuliko wa viungo vya mwili na hivyo kupelekea kuvimba kwa viungo (GOUT).
HUSAIDIA WATU WENYE;
Shida ya upumuaji/ kupumua, kukoroma na shida ya usingizi, kwa kudhibiti vitu vinavyopelekea mzio/allergens.
HUSAIDIA KUWEKA SAWA;
kupanda na kushuka kwa PRESHA,
kwa kupambana na msukumo/ mzunguko mbaya wa damu kwenye mishipa, kwa sababu ya mafuta mabaya kuziba mishipa(bad cholesterol) , kupotea kwa uwezo wa mishipa ya damu kutanuka ili kutengeneza kipenyo kikubwa cha damu kupita bila shida.
HUSAIDIA KUZIBUA MIRIJA YA UZAZI;
Kunakopelekea Kushuka/ kupungua kwa uwezo wa ushiriki wa tendo la ndoa kwa jinsia zote.
HUSAIDIA KUDHIBITI KUPANDA NA KUSHUKA KWA SUKARI NA MAGONJWA YA INI
k**a;
Magonjwa ya mfuko wa nyongo na kongosho kuwa na mawe kwenye kifuko cha nyongo(gall stones), kwa sababu mtu mwenye mafuta mengi mwilini anakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na cholesterol nyingi kwenye nyongo yake ambayo huweza kupelekea mawe hayo kwenye mfuko wa nyongo.
Kuvimba kwa kongosho(pancreatitis) kwa sababu ya kuzidi kwa mafuta kwenye damu, hivyo kupelekea kongosho kupunguza uzalishaji wa insulini inayosaidia kurekebisha/ kusawazisha *sukari* mwilini.
HUSAIDIA KUWEKA SAWA MZUNGUKO WA DAMU;
kwa kusafisha mafuta mabaya yaliyoganda kwenye mishipa(bad cholesterol) kuruhusu mtiririko mzuri wa damu kwenye mishipa kuelekea sehemu mbali mbali za mwili.
Nakuondokana na
Shida ya miguu kuvimba, ganzi na kuwaka moto,
Hatari ya damu kuganda kwenye mishipa na kukuweka kwenye hatari ya kiharusi/stroke, maumivu ya chemba ya moyo(Angina), mishipa ya damu kujikunja(varicose veins).
HUSAIDIA;
Wenye changamoto ya UTI na PID (kutokwa na uchafu ukeni & vimbe(Fibroids, cysts endometritis etc)
Kwa kupambana na vimelea vinavyopelekea maambukizi kwenye via vya uzazi, kuyeyusha vimbe mbali mbali.
HUSAIDIA KWA WENYE UONI HAFIFU;
utokanao na ukungu, vumbi, utando na mtoto wa jicho
Kwa kusafisha ukungu, utando na mtoto wa jicho kupitia kudondoshea matone kadhaa kwenye jicho ya kuding tea asubuhi, mchana na jioni.
HUSAIDIA KULINDA NGOZI ;
kwani huwa na kiambata kinacho itwa chlorogenic pigment kinachoweza kupambana na mionzi mikali ( UV rays) inayoweza kuathiri ngozi.
HUSAIDIA KUPAMBANA NA SUMU ZA MWILI ;
Kutokana na vipambana na sumu vya Flavonoids, polyphenol kwa wingi
Hivyo kulinda ini na figo.
KUDING TEA;
imebeba vitamin C kwa wingi inayokuwa na msaada mkubwa kwenye kubusti kinga ya mwili kwa mtumiaji na hivyo kuupa mwili uwezo mkubwa wa kupambana dhidi ya magonjwa/ maambukizi.
KUDHIBITI UZITO MKUBWA NA VITAMBI;
Kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kuchoma mafuta yaliyozidi mwilini(hyperlipidemia).
KUONDOA HARUFU MBAYA MWILINI ;
Kupitia mchakato upambanaji na uondoaji wa sumu(oxidants), free radicals mwilini, ambapo kiwango chake kinapo kuwa kingi mwilini humfanya mtu kutoa jasho zito na lenye harufu kali.
# SEVEN SERIES INTERNATIONAL(SSI AFYA)
# ASIAN HERBAL
# DAR ES SALAAM
# 0789199529