27/10/2025
Tunapenda kuwataarifu kwamba huduma zetu za kundi la HEDHI SALAMA zimeanza tena baada ya kipindi kirefu cha kimya. Mnakaribishwa kwa moyo wote kuendelea kupata taarifa sahihi za kiafya, ushauri wa kitaalamu, na huduma mbalimbali za matibabu kupitia kundi hili.
Huduma zote zinapatikana kulingana na mahitaji yako, unaweza kupata ushauri hapa kwenye kundi au kwa njia ya moja kwa moja (Inbox/Private). Karibuni tena Hedhi Salama Group kwa afya bora, uelewa zaidi, na huduma za uhakika!
Bofya hapa kujiunga na wenzako
WhatsApp Group Invite