22/09/2025
๐ฆ๐๐๐ ๐ ๐ข๐๐ ๐ช๐๐ฃ๐ข ๐ฌ๐ ๐๐๐ฃ๐๐ง๐๐ง๐๐ฆ ๐ ๐ฉ๐๐ฅ๐จ๐ฆ, ๐ก๐ ๐๐จ๐๐ฆ๐๐ ๐ก๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐จ๐ ๐ข ๐ช๐ ๐๐๐ ๐จ ๐๐ช๐ ๐ ๐จ๐๐ ๐ ๐๐๐๐จ ๐๐๐๐ ๐๐จ๐๐:
Virusi vya homa ya ini (hasa Hepat**is B virus โ HBV) vina uwezo wa kuendelea kuishi nje ya mwili (k**a kwenye ngozi, vifaa vya hospitali, sindano, au uso wa kifaa chochote) kwa muda wa siku 7 au zaidi.
๐ฆ๐๐๐๐๐จ ๐๐จ๐จ ๐ญ๐๐ก๐๐ญ๐ข ๐ ๐จ๐ช๐๐ญ๐๐ฆ๐๐ ๐๐จ๐๐ฆ๐๐ ๐ก๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐จ๐ ๐ข ๐ช๐ ๐๐๐ ๐จ ๐๐ช๐ ๐ ๐จ๐๐ ๐ ๐๐๐๐จ ๐๐๐๐ ๐๐จ๐๐:
Hizi ni baadhi ya sababu kuu zinazo muwezesha kirus huyu kuishi muda mrefu nje ya damu:
๐ ๐๐๐ป๐ฑ๐ผ ๐บ๐ฎ๐ฎ๐น๐๐บ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ฟ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ต๐ฒ๐ฝ๐ฎ๐๐ถ๐๐ถ๐ ๐ (๐ฒ๐ป๐๐ฒ๐น๐ผ๐ฝ๐ฒ ๐ป๐ฎ ๐ฐ๐ฎ๐ฝ๐๐ถ๐ฑ ๐ถ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ฎ):
โ
Hepat**is B virus (HBV) kirus huyu ana kifuniko cha protini (capsid) na ganda la lipidi lenye protini maalum yani hepat**is B surfaceantigen (HBsAg) zinazo mfanya adumu na kuwa ngumu kushambuliwa na mazingira kwa muda mlefu.
โ
Capsid inalinda vinasaba (DNA ya virusi vya hepat**is B) dhidi ya uharibifu wa joto la mazingira au Baridi kali.
๐จ๐๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐๐ฎ๐ต๐ถ๐บ๐ถ๐น๐ถ ๐บ๐ฎ๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ฟ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฑ๐ฎ ๐บ๐น๐ฒ๐ณ๐ ๐ฏ๐ถ๐น๐ฎ ๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐ต๐๐น๐ถ๐ธ๐ฎ
โ
Kirus wa hepat**is B haaribiki kirahisi na mabadiliko ya PH, ukavu wa ngozi au mazingira au joto la kawaida kirus huyu hakufi.
โ
Kirus wa hepat**is B kwakukaa nje ya damu kwa siku nyingi, lakini hatak**a akikauka, akipata nafasi ya kuingia kwenye damu ndogo au majimaji ya mwili, anaweza kuendelea kuwa hai na kusababisha madhara.
๐จ๐๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฒ๐น๐ฒ๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฎ๐บ๐ฏ๐๐ธ๐ถ๐๐ถ:
โ
Hata baada ya siku 7 au nane kirus akiwa nje ya mwili, lakini akipata nafasi na kuingia tena mwilini kupitia jeraha dogo la kidonda au mucosa (mdomo, macho, uke/ njia ya haja kubwa), anaweza kuanza kuzaana na kusababisha maambukizi mapya.
๐๐๐๐๐ฎ๐ต๐ถ๐บ๐ถ๐น๐ถ ๐ฑ๐ฎ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐ฒ๐บ๐ถ๐ธ๐ฎ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ฎ.
โ
Kirus wa hepat**is B hafi kwa vitakasa rahisi vya kawaida (mfano: kwakunawa maji ya sabuni) kirus hawezi kufa.
โ
Anahitaji dawa maalum za kitakasa mikono k**a bleach (sodium hypochlorite), alcohol โฅ70% au kufikishwa kwenye joto kali sana (autoclave) ili kuharibiwa.
โ ๏ธ ๐ก๐ฑ๐ถ๐๐ผ ๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฒ๐บ๐ฒ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ hepat**is B virus ni ni kirus hatari zaidi kuliko virusi vingine k**a HIV, kwa sababu HIV hufa haraka sana nje ya mwili (dakika chache tu), lakini HBV anaweza kudumu siku kadhaa.
๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข, ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ.