Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania - CCBRT

Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania - CCBRT CCBRT is a fully serviced hospital providing quality healthcare, from disability & rehabilitation to maternity & surgical care.

Book an appointment at our Private Clinic: πŸ“ž 0699990002. Our vision is a Tanzania where people have access to quality disability services and safe maternal and newborn healthcare.

Tupo wazi siku ya Jumamosi na Karume Day
03/04/2026

Tupo wazi siku ya Jumamosi na Karume Day

Mwezi huu, timu ya CCBRT ilifanya kambi za huduma za macho Buguruni na Mbagala, Dar es Salaam πŸ‘οΈTulitoa huduma za uchung...
31/03/2026

Mwezi huu, timu ya CCBRT ilifanya kambi za huduma za macho Buguruni na Mbagala, Dar es Salaam πŸ‘οΈ

Tulitoa huduma za uchunguzi, matibabu na rufaa kwa jamii, tukilenga kupunguza upofu unaozuilika unaosababishwa na presha ya macho, hitilafu za kuona na mtoto wa jicho.

Shukrani za dhati kwa mshirika wetu CBM kwa kusaidia kugundua changamoto za macho mapema kwa Watanzania.

31/03/2026
Kila kovu ni ushuhuda wa ujasiri. CCBRT inasaidia wanawake kuandika kurasa mpya kupitia huduma za kupandikiza t**i.  Kar...
26/03/2026

Kila kovu ni ushuhuda wa ujasiri. CCBRT inasaidia wanawake kuandika kurasa mpya kupitia huduma za kupandikiza t**i. Karibu kwa uchunguzi kila Jumatatu, Jumatano na Ijumaa.

πŸŒ™ Tunawatakia sikukuu njema ya Eid!  πŸŒ™πŸ•Œ
20/03/2026

πŸŒ™ Tunawatakia sikukuu njema ya Eid! πŸŒ™πŸ•Œ

Je, Wajua kwamba saratani ya utumbo mpana inatibika ikigundulika mapema? K**a una miaka 45+ unashauriwa kufanya uchunguz...
16/03/2026

Je, Wajua kwamba saratani ya utumbo mpana inatibika ikigundulika mapema? K**a una miaka 45+ unashauriwa kufanya uchunguzi wa saratani hii. Kwa kuweka miadi tafadhali tupigie kwa namba: 0800110200 au 0712 153 119.

Ukipata ujumbe huu, tafadhali mjulishe na mwingine
11/03/2026

Ukipata ujumbe huu, tafadhali mjulishe na mwingine

Kuweka miadi, tafadhali tupigie kwa namba hizi.
02/03/2026

Kuweka miadi, tafadhali tupigie kwa namba hizi.

Tunapatikana kwa namba hizi hapa.
26/02/2026

Tunapatikana kwa namba hizi hapa.

Tafadhali tumia namba hizi kuweka miadi.
23/02/2026

Tafadhali tumia namba hizi kuweka miadi.

Kwa maelezo zaidi, Tafadhali tupigie.
10/02/2026

Kwa maelezo zaidi, Tafadhali tupigie.

Ukiona ujumbe huu, tafadhali washirikishe na wengine.
29/01/2026

Ukiona ujumbe huu, tafadhali washirikishe na wengine.

Address

P. O. Box 23310
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania - CCBRT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram