Turudi tiba asili

Turudi tiba asili Tuna tibu maradhi mbalimbali kwa dawa za mimea tiba na kupitia visomo (maombi) pia tunatoa ushauri wa kitaalamu . Hatupigi lamli. whatspp no +255758155462 .

Tunapatikana Mbezi Luguruni Dar es salam Tanzania. sim no. +255758155462. +255718855462. Karibu

Habari zenu jamiia. Kwa wale wote wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo tumia huu uitwao kiremba cha bwana. Chukua kiasi c...
11/11/2025

Habari zenu jamiia.

Kwa wale wote wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo tumia huu uitwao kiremba cha bwana. Chukua kiasi cha robo kilo chemsha ktk maji ya rita 1, ichemke mpka ibaki nusu rita kunywa kikombe 1 asubuhi kbla ya kula chochote na jioni kwa siku saba. Utaleta ushuhuda.

10/11/2025

Habar ya jtatu wapendwa

08/12/2024

Habari za jumapili ndugu zangu? Niulize nikujibu

15/10/2024

Kwema humu

Nauza sim samsung j7 shida kioo tu 0718855462 nipigie tuongee biashara
20/07/2024

Nauza sim samsung j7 shida kioo tu 0718855462 nipigie tuongee biashara

01/06/2024
Habari zenu waungwana.Leo nimewaletea faida ya mwarobaini ( Neem tree) kwa afya.  Turudi tiba asiliKulingana na hali ya ...
01/06/2024

Habari zenu waungwana.
Leo nimewaletea faida ya mwarobaini ( Neem tree) kwa afya. Turudi tiba asili

Kulingana na hali ya uchumi matibabu yamekuwa ghali sana.
Hivyo kutumia mie tiba pamoja tiba mmadala ulahisisha baadhi ya mambo. Turudi tiba asili

Mwarobaini hutibu maraz zaidi ya arobani
Miungoni mwa hayo ni :-
1, Maleria. 2, U.t.i sugu. 3, Sukari. 4, Ugonjwa wa ngozi. 5, Fangasi zote. 6, Vidonda vya koo. 7, kuondoa sumu mwilini. 8, utibu nywele kukatika katika. turudi tiba asili
Kwa malaria tumia majani yasio pungua 20 chemsha ktk maji lita 1. Kunywa kikombe kimoja asubuhi na jioni kabla hujala kitu kwa muda wa siku 3 au 5. Maelezo zaid wasiliana nasi +225758155462 Turudi tiba asili

Habari zenu ndugu na jamaa wote.
01/06/2024

Habari zenu ndugu na jamaa wote.

11/05/2024

Habari za muda huu? Una lolote la kuniuliza wajati huu?

Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yenu. Natumaini nyote muneamka vyema. Ndugu uliepoteza matumaini ya kupona marazi yako k...
06/05/2024

Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yenu.

Natumaini nyote muneamka vyema.

Ndugu uliepoteza matumaini ya kupona marazi yako kutotokana na kujitibu mda mrefu bila kupata mafanikio.

Leo nimekuletea suruhisho pekee litakalo leta tumaini jipya kwako.

1.K**a haupo karibu ya M/Mungu basi kuwa karibu sasa.
2. K**a hauna maelewano na wazazi wako jitahidi kurudisha maelewano yko na wazazi wako.
3. K**a ndani ya maisha yko uliwahi kuchukua cha mtu na bado kipo kirudishe, na k**a hakipo basi jitahidi kuomba msamah na kujutia .
4. K**a haupo karibu na ndugu zako pande zote mbili basi kuwa karubu nao sansana ndugu upande wa mama.
5. K**a uongei vizur na majirani anza sasa.

K**a yote yapo sawa fanya yafatayo;

1. Chukua kuku 3 rangi yoyote ile
2. Chukua kitu ktk njia panda 7 kitu kiwe chenye kuweza kuwa mfono kijani au kijiti, vitu hivyo viwe 7 kutoka ktk njia panda 7.
Chnja wale kuku na baada ya kuwasafisha vizuri watoe sada kwa masikini,majirani wakati umerudi kutoa hiyo sadaka chukua moto weka kwenye kitezo chukua shuka ama nguo yoyote inaoweza funika mwili wote anza kuweka kijiti uliokichukua njia panda kimoja uku umejifunika lile shuka uku unasema maneno haya:- EWE MUUMBA MBINGU NA ARDHI NIMEANGAIKA MIAKA YOTE KTK KUJITIBU MARADHI YANGU LAKINI BADO SIJAPATA MAFANIKIO YOYOTE LEO EWE MOLA WANGU NIMETOA KUKU HAWA SADAKA WANAOENDA KULA NI KTK WATU WASIO JIWEZA KIUCHUMI BASI IKIWA SADAKA HII IMEWAFARIJI WALIO IPOKEA NA KULA BASI NAOMBA KUPITIA SADAKA HII UNIVUE MARADHI YOTE YALIO TAWALA MAUNGO YANGU NIPONE KABISA KWA KUPITIA DAWA HII NANYENGINE YOYOTE ILE NTAKAYO ITOMIA, EWE MOLA USIEKUWA NA MSHIRIKA NAWE UNAJUA SIRI INAYOPATIKANA KTK NJIA PANDA NIPONYESHE NIPONYESHE NIPONYESHE YAKIWA MARADHI HAYA YAKICHAWI AU YAKIJINI AU YAKIMIZIMU NIPONYESHE NIPONYESHE NIPONYESHE. utafanya hivi kwa mda wa siku saba. Kwa maoni ama ushaur 0758155462

Habari za jtatu? Leo nimekuleteeni mmea huu kwa jina muotea mwitu. Mmea huu utibu maradhi ya sikio lililo ziba,sikio lin...
29/04/2024

Habari za jtatu?

Leo nimekuleteeni mmea huu kwa jina muotea mwitu. Mmea huu utibu maradhi ya sikio lililo ziba,sikio linalouma , sikio linalo toa uchafu.

Tumia kiazi chake kwa kutwanga kisha weka ktk kitambaa cheupe na ukamulie tine moja ktk sikio lenye tatizo kwa siku mara mbili mda wa siku 3 sikio litarudi ktk hali yake njema. Kwa maoni ama ushauri 0758 155 462

Address

Mbezi Luguruni
Dar Es Salaam

Telephone

0718855462

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Turudi tiba asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram