AI Prompt Images

AI Prompt Images Follow Page Yetu sasa kujua zaid!

Badilisha Mawazo yako kuwa Picha za Kuvutia kwa kutumia AI.
✨ Nasaidie Brands, wajasiriamali na Creators kutengeneza picha za biashara zao zenye kuleta mvuto zaidi.
👇 Anza Kuunda Picha yako ya Kwanza Sasa!

Tuone nani anajua mahaba zaidi😂😂😂Na wewe usiyejua majina ya mahaba chagua hapo chini jina la kumwita huyo my wako sawa e...
12/12/2025

Tuone nani anajua mahaba zaidi😂😂😂

Na wewe usiyejua majina ya mahaba chagua hapo chini jina la kumwita huyo my wako sawa eeh!!

Mapenzi yana run dunia acha kujifanya mgumu🤣🤣

Mimi kuna namna napenda sana ugali ila mboga ndio zibadilike.. Haya tuambie wewe unapenda chakula gani hata ukila week n...
12/12/2025

Mimi kuna namna napenda sana ugali ila mboga ndio zibadilike..

Haya tuambie wewe unapenda chakula gani hata ukila week nzima hukichoki.

Mnisaide kunielewesha maana hata mimi sijui😂😂😂😂         ゚viralシfypシ゚viralシalシ
12/12/2025

Mnisaide kunielewesha maana hata mimi sijui😂😂😂😂

゚viralシfypシ゚viralシalシ

Utamwokoa nini kwanza? Kuwa mkweli🤣🤣
12/12/2025

Utamwokoa nini kwanza? Kuwa mkweli🤣🤣

JE WEWE NI MCHUNGAJI MWEMA!Mungu anatufundisha kuwa uongozi wa kweli ni kujitoa. Mchungaji mwema si yule anayekimbia hat...
12/12/2025

JE WEWE NI MCHUNGAJI MWEMA!

Mungu anatufundisha kuwa uongozi wa kweli ni kujitoa. Mchungaji mwema si yule anayekimbia hatari, bali yule anayelinda na kulisha kondoo wake kwa upendo na kujitolea.

Viongozi wa familia, kazi, au jamii wanapaswa kujitoa kwa ajili ya wale wanaowaongoza. Upendo wa kweli huonekana kwa matendo ya kujali, si maneno pekee.

Kila mmoja wetu ana nafasi ya kuwa mchungaji mwema kwa wale aliowekwa kuwahudumia.

Je wewe ni mchungaji mwema kwenye familia yako, kwa ndugu zako au kazini kwako?

Shiriki somo hili ili rafiki yako akumbuke kuwa upendo wa Kristo ni mfano wa uongozi bora.

Sasa hivi Meta anabania Non-Followers mpaka sio poa. Na post isipowafikia kwa wingi basi sahau kuhusu views, engagement ...
11/12/2025

Sasa hivi Meta anabania Non-Followers mpaka sio poa. Na post isipowafikia kwa wingi basi sahau kuhusu views, engagement na followers wapya. Zamani mambo yalikuwa virse verse ila sasa kijasho kitakutoka.

Mwenye mbwinuu yakufanya post iwafikia Non-Followers njoo tuambie.

゚viralシfypシ゚viralシalシ

11/12/2025

WEWE UNAMUELEWAJE BINADAMU?

Binadamu anaweza kuficha chuki ndani ya tabasamu na roho mbaya hujificha nyuma ya maneno matamu. Usidanganyike na sura angalia matendo.

Kwa wale mnasema hamuelewi maneno ya kingereza sasa nimewaletea prompts za kiswahili kupata picha nzuri za familia kipin...
11/12/2025

Kwa wale mnasema hamuelewi maneno ya kingereza sasa nimewaletea prompts za kiswahili kupata picha nzuri za familia kipindi hiki cha sikukuu.

Kupata picha k**a hii unatakiwa ku upload picha yako na familia kwenye google gemini alafu weka haya maneno hapa chini⤵️⤵️

"Tumia picha iliyokuwa uploaded tengeneza Familia imeketi sebuleni karibu na mti wa Krismasi wenye taa na mapambo, watoto wakifungua zawadi kwa furaha."

SHARE na FOLLOW ukurasa wetu kwa picha nzuri zaidi.

11/12/2025

KUMBE KUNA MAKABILA UKIOA TU UMEINGIA CHA K**E EE😂😂

Wataje k**a unawajua wambie wache hii tabia sio nzuri.. hao ni wandaoa sio wanajumuiya😄😄😄

⚠️ Caption ya OnyoKatika simu siwezi kumshauri hata adui yangu anunue ni hii samsung a05. Hii simu sijui inashida gani k...
11/12/2025

⚠️ Caption ya Onyo
Katika simu siwezi kumshauri hata adui yangu anunue ni hii samsung a05. Hii simu sijui inashida gani kila wakati ina stuck.

Usijaribu kununua Samsung A05! Simu hii inastuck sana na haifai kwa matumizi ya kila siku. Badala ya kukusaidia, itakufanya upoteze muda na uvumilivu wako. Chagua simu yenye performance bora na uepuke stress zisizo na maana!

Mwenye kujua jinsi ya kutatua hili tatizo la kustauck kwa simu naomba msaada.

Haya maisha ni mafupi sana 😢  TUPENDANE ❤️
11/12/2025

Haya maisha ni mafupi sana 😢

TUPENDANE ❤️

Address

Mbezi Beach Near Rainbow Social Club
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255784398435

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AI Prompt Images posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AI Prompt Images:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram