29/10/2025
๐๐๐๐ ๐๐๐๐:
MSI TANZANIA tunapenda kuwajulisha wateja wetu na umma kwa ujumla kuwa siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, vituo vyetu vya afya vitakuwa wazi kwa nusu siku ili kutoa fursa kwa wafanyakazi wetu kushiriki kikamilifu katika zoezi la Uchaguzi Mkuu.
Kwa upande wa #๐๐ฐ๐๐ง๐ ๐๐๐๐ญ๐๐ซ๐ง๐ข๐ญ๐ฒ๐๐จ๐ฌ๐ฉ๐ข๐ญ๐๐ฅ, huduma zetu zinaendelea k**a kawaida.
Huduma zetu za kawaida katika vituo vyote zitaendelea Alhamisi, tarehe 30 Oktoba 2025.
๐๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐๐ฎ ๐ฆ๐๐ฐ๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐๐ง๐จ ๐ณ๐๐ข๐๐ข, ๐ฐ๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐๐ข๐ญ๐๐ง๐ ๐จ ๐๐ก๐๐ญ๐ฎ ๐๐ก๐ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐๐ญ๐๐ฃ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ง๐๐ฆ๐๐: ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ฎ ๐๐ก๐๐ญ๐ข ๐ง๐๐ฌ๐ข ๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐ฎ๐ฉ: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
#๐๐๐๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.