04/12/2025
UVIMBE WA SARATANI YA TEZI DUME
Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.
KUNA AINA TATU ZA MAGONJWA YA TEZI DUME.
• Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis).
• Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostatic Hypertrophy-BPH).
• Saratani ya tezi dume.
VITU VINAVYOSABABISHA SARATANI YA TEZI DUME
vChanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na;
• Umri, Wanaume wenye umri kuanzia miaka 60 na kuendelea wanapata zaidi saratani ya tezi dume.
• Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta, hasa ya wanyama.
• Historia ya tatizo hili kwenye familia (Genetic).
•Kuwa na uzito uliokithiri.
DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME
vKatika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume lisilokuwa saratani (BPH). Dalili hizo ni pamoja na;
•Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku
• Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa.
• Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.
• Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.
•Kutoa mkojo au manii yaliyochanganyika na damu
• Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili k**a saratani imesambaa.
• Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzu
MADHARA YA UVIMBE WA TEZIDUME
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- kansa ya tezidume
- Kifo
MATIBABU
Upasuaji wa TEZIDUME Sio Suluhisho la Kudumu tunatumia virutubisho lishe kutatatua changamoto ya Uvimbe wa TEZIDUME, havina madhara vinarekebisha mfumo mzima na kutibu chanzo Cha tatizo.