Mshani Wellness

Mshani Wellness A Health Information sourcre You can Trust

"🌿 Welcome to Mshani Health & Wellness Hub! 🌿

As a passionate pharmacist and wellness advocate, I'm here to empower you on your journey to vibrant health. 🌟

Join our community of wellness enthusiasts and discover the holistic wellness tips, expert insights, and our handpicked selection of premium natural health products. Let's thrive together! 💪💚 "

Together, we'll unlock the secrets to well-being and a balanced life. 🍃

Let's thrive, not just survive! 💚"

✍: Mkojo wenye povu
12/08/2025

✍: Mkojo wenye povu

✍🏿✍🏿: MVURUGIKO WA HORMONE KWA WANAWAKE
09/08/2025

✍🏿✍🏿: MVURUGIKO WA HORMONE KWA WANAWAKE

Zingatia mzunguko wako wa hedhi.....
01/08/2025

Zingatia mzunguko wako wa hedhi.....

Magnesium na Afya ya uzazi kwa mwanamke!!
29/07/2025

Magnesium na Afya ya uzazi kwa mwanamke!!

Kabla ya Kutumia Dawa yoyote fahamu hili:
27/07/2025

Kabla ya Kutumia Dawa yoyote fahamu hili:

✅MANJANO NA MOYO✅Manjano inaweza kusaidia kulainisha damu (blood thining) k**a ambavyo aspirin junior, warfarin na clopi...
06/07/2025

✅MANJANO NA MOYO✅

Manjano inaweza kusaidia kulainisha damu (blood thining) k**a ambavyo aspirin junior, warfarin na clopidogrel

Hivyo inakukinga na matatizo ya moyo, kiharusi, michirizi, madoa na matatizo ya Vericose Vein

✅HIRIKI NA KUNUKA MDOMO✅Hiriki ni moja ya spice ambazo unaweza kuzitumia k**a tiba ya harufu mbaya mdomoni hasa ukichang...
05/07/2025

✅HIRIKI NA KUNUKA MDOMO✅

Hiriki ni moja ya spice ambazo unaweza kuzitumia k**a tiba ya harufu mbaya mdomoni hasa ukichanganya na kitunguu saumu.

Vilevile husaidia wenye tezi dume na kuimarisha nguvu za kiume

✅CABBAGE NA WADUDU TUMBONI✅
04/07/2025

✅CABBAGE NA WADUDU TUMBONI✅

✅PILIPILI NDEFU NA MIGUU KUWAKA MOTO✅Pilipili ndefu ni moja ya mimea inayoweza kutibu matatizo ya kufa ganzi na kuwaka m...
04/07/2025

✅PILIPILI NDEFU NA MIGUU KUWAKA MOTO✅

Pilipili ndefu ni moja ya mimea inayoweza kutibu matatizo ya kufa ganzi na kuwaka moto maeneo mbalimbali ya mwili k**a miguu na mikono.

✅MKARATUSI NA MFUMO WA UPUMUAJI✅Mkaratusi (EUCALYPTUS) ni moja ya mimea inayotumika kutibu matatizo mengi ya mfumo wa up...
02/07/2025

✅MKARATUSI NA MFUMO WA UPUMUAJI✅

Mkaratusi (EUCALYPTUS) ni moja ya mimea inayotumika kutibu matatizo mengi ya mfumo wa upumuaji.

Kifua, Nimonia, kikohozi, pua kuziba, maumivu ya kifua na matatizo ya sikio.

⚠️DALILI ZA KISUKARI (DIABETES)⚠️🔢 ① Kukojoa mara kwa mara 🚽 – hata usiku unalala unaamka mara nyingi kwenda chooni.🔢 ② ...
02/07/2025

⚠️DALILI ZA KISUKARI (DIABETES)⚠️

🔢 ① Kukojoa mara kwa mara 🚽 – hata usiku unalala unaamka mara nyingi kwenda chooni.
🔢 ② Kiu isiyoisha 💧 – unakunywa maji mengi lakini bado unahisi kiu.
🔢 ③ Njaa kupita kiasi 🍽️ – hata baada ya kula, unahisi njaa haraka.
🔢 ④ Kupungua uzito bila sababu ⚖️ – hata k**a unakula vyema.
🔢 ⑤ Uchovu mwingi 😓 – mwili kuchoka sana bila kufanya kazi nzito.
🔢 ⑥ Kuona ukungu au kutoona vizuri 👁️‍🗨️ – macho yanapoteza uwezo wa kuona vizuri.
🔢 ⑦ Vidonda visivyopona 🩹 – hasa kwenye miguu au midomo.
🔢 ⑧ Maambukizi ya mara kwa mara 🦠 – fangasi, UTI, na maambukizi ya ngozi kurudiarudia.
🔢 ⑨ Kuwashwa sana sehemu za siri au ngozi 🌡️ – hisia ya muwasho mkali.
🔢 ⑩ Hisia za kuchoma/kutetemeka mikononi na miguuni 🔥🦶 – neva kuathirika.

🎯LIMAO NA ASIDI YA MWILI🎯Limao au ndimu ina asili ya Tindikali (asid) lakini ikichakatwa tumboni inatengeneza Magadi(bas...
02/07/2025

🎯LIMAO NA ASIDI YA MWILI🎯

Limao au ndimu ina asili ya Tindikali (asid) lakini ikichakatwa tumboni inatengeneza Magadi(base).

Mwili wako unahitaji kuwa katika hali ya Magadi ili kuwa na ufanisi, mfano damu yako inakuwa poa katika pH ya 7.4 ambayo hali ya Magadi.

Asidi ikizidi mwilini, moja ya dalili ni maumivu ya maungio ya mwili kitaalamu kuna ugonjwa unaitwa Athritis na Gout yote haya huchangiwa na asid nyingi mwilini.

#

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mshani Wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram