10/12/2023
BURNUP (BELLY SHAPING PATCH)
Hii ni patch/plaster maalum kwa ajili ya kupunguza tumbo na kutengeneza shape maana tumbo linapo pungua na shape inaonekana.๐คฐ๐ผ
Inaweza kupunguza zaidi ya nchi mbili za tumbo.
Package Moja inakuwa na patches/ plaster tano ( 5) ambazo Zina dawa maalum za mitishamba zenye uwezo wa kupenya na kuchoma mafuta eneo usika. ๐ฅ
Mimea iliyo tengeneza:
๐ซSalconia Herbacea
๐ซ Caffeine
๐ซCatechin
๐ซ Capsaicin
๐ซSophori codice
Matumizi:
โ๏ธPandua sticker na weka eneo lenye tundu usawa wa kitovu.
โ๏ธBandika vizuri zaidi usiku wakati wa kulala kuanzia masaa 6 Hadi 10. Ili kuchoma mafuta vizuri.
โ๏ธUkiamka unaweza kutoa na Haina haja ya kuosha.
Inapatikana kwa elfu 30 tuu, wahi Bei ya offer kabla hazija panda Bei.
Wasiliana nasi kwa namba 0673402024 na 0688820050 kwa Dar es salaam.
Arusha pia zinapatikana kwa 0766607688
Delivery kwa gharama nafuu ya boda boda na daladala inategemea na upatikanaji wa usafiri.