Amananiclinic

Amananiclinic Tunajali Afya Yako 🌿
Huduma za tiba kwa magonjwa sugu yasiyoambukiza.
📍 Sinza Kumekucha | ☎️ 0741 933 313
✅ Mtaa wa mashujaa/Dar es salaam

WANAMTWARA!Afya bora inaanza na virutubisho vinavyofanya kazi kweli 🌿🔥Tumewaletea Premium Food Supplements kutoka China—...
08/12/2025

WANAMTWARA!
Afya bora inaanza na virutubisho vinavyofanya kazi kweli 🌿🔥
Tumewaletea Premium Food Supplements kutoka China—zinazosaidia presha, kisukari, figo, ini, nguvu za kiume, hedhi, bawasiri na zaidi.

Usiishi na maumivu wakati suluhisho lipo karibu.
Njoo GCAT Clinic – Magomeni Shuleni Mtwara
Afya yako ina thamani. Chukua hatua leo.

📞 Piga / Tuma ujumbe: 0760 705 869
Tunajali Afya Yako.

Eternal Toothpaste ni suluhisho la kitaalamu kwa meno nyeti, fizi zinazo umia na pumzi mbaya.Ina Calcium, Xylitol, Stron...
06/12/2025

Eternal Toothpaste ni suluhisho la kitaalamu kwa meno nyeti, fizi zinazo umia na pumzi mbaya.
Ina Calcium, Xylitol, Strontium & LuCai extract kwa afya kamili ya kinywa.
Kwa usafi wa kina, kinga na tabasamu la kujiamini — chagua Eternal. 🌿✨

Tupo Dar es salaam na mtwara mjini
0760 705 869.

“Gingko Tea – Chai ya Kifahari yenye nguvu ya kutakasa mwili.Huondoa mafuta kwenye ini, figo na mishipa ya damu huku iki...
05/12/2025

“Gingko Tea – Chai ya Kifahari yenye nguvu ya kutakasa mwili.
Huondoa mafuta kwenye ini, figo na mishipa ya damu huku ikiboresha mfumo wa hewa.
Anza siku yako na mwili mwepesi, afya njema na nguvu mpya!”

Piga kupata yako leo
0760 705 869

**“Tatua changamoto za vidonda vya tumbo, gesi, choo kigumu na kukosa hamu ya kula kwa kutumia mchanganyiko maalum wa Et...
04/12/2025

**“Tatua changamoto za vidonda vya tumbo, gesi, choo kigumu na kukosa hamu ya kula kwa kutumia mchanganyiko maalum wa Eternal Oligosaccharide Powder na GCAT Cordyceps Tea.
Ni tiba salama, mwili kupona taratibu na matokeo kudumu.

📍 Amanani GCAT Clinic – Mtwara
📞 0760 705 869
💰 Bei: 185,000/=
Anza safari ya afya bora leo.”**

🔥 Rudisha Heshima ya Ndoa Yako!Wanaume wengi wanapambana kimya kimya na changamoto za nguvu za kiume… lakini sasa suluhi...
04/12/2025

🔥 Rudisha Heshima ya Ndoa Yako!
Wanaume wengi wanapambana kimya kimya na changamoto za nguvu za kiume… lakini sasa suluhisho lipo karibu!

💪 Chitosan & Oyster Tablets kutoka Gcat Clinic Mtwara zinakusaidia:
✅ Kuongeza nguvu
✅ Kuchelewesha kufika kileleni
✅ Kuwezesha kurudia mara 3+
✅ Kuimarisha stamina na kujiamini chumbani

Usiache tatizo likupotezee amani ya ndoa.
👉 Fanya mabadiliko leo!

📞 Piga simu: 0760 705 869
📍 Gcat Clinic Mtwara
💸 Bei: 71,000/= tu

🔥 FURSA MPYA MTWARA!Ungana na Eternal International na anza kuingiza kipato cha uhakika kila siku na kila mwezi!✨ Faida ...
30/11/2025

🔥 FURSA MPYA MTWARA!
Ungana na Eternal International na anza kuingiza kipato cha uhakika kila siku na kila mwezi!

✨ Faida Unazopata:
💰 Kipato hadi 20,000 kwa siku
📆 Malipo ya mwezi kulingana na mauzo yako
🎁 Bonus & Zawadi Kubwa kutoka kampuni:
🚗 Gari | 🎒 Begi | 📔 Diary | 🏠 Nyumba | ✈️ Safari za nje ya nchi

🧠 Vigezo:
• Elimu kuanzia Darasa la Saba
• Miaka 20+
• Awe na akili timamu, tabia njema
• TAYARI kujifunza na kujiboresha

🌍 Fursa hii inapatikana Mtwara — usikose!
👉 DM sasa au piga simu uanze safari yako ya kipato na mafanikio na Eternal International.

Piga: 0760 705 869

29/11/2025

Habari! Asante kwa kuwasiliana na Amanani GCAT Clinic tupo Mtwara mjini mtaa magomeni

“Usisubiri mpaka uugue ndipo uanze kujali afya—njoo tukusaidie kujua hali yako mapema

0760 705 869
Tupigie leo.

🌿 VIPIMO BURE – WIKI YA UFUNGUZI!WanamTwara, tunakukaribisha kwenye huduma maalum ya uchunguzi wa afya bila malipo katik...
28/11/2025

🌿 VIPIMO BURE – WIKI YA UFUNGUZI!
WanamTwara, tunakukaribisha kwenye huduma maalum ya uchunguzi wa afya bila malipo katika Amanani GCAT Clinic – Mtwara, Mogomeni Shuleni 🏥❤️

Tunatumia mashine ya kisasa Quantum Magnetic Analyzer inayoweza kufanya uchunguzi wa mwili kwa haraka na kwa usahihi kwenye maeneo mbalimbali k**a:
✔️ Afya ya moyo
✔️ Figo & ini
✔️ Mfumo wa damu
✔️ Tezi dume & afya ya uzazi
✔️ Vitamini & madini mwilini
✔️ Uzito na mfumo wa mmeng'enyo
✔️ Adamu ya mwili (toxins)
✔️ Mfumo wa mishipa na nguvu mwilini

Faida? Unapata matokeo papo hapo pamoja na ushauri wa kitaalamu kabisa bila malipo!

📅 26 Nov – 30 Nov
📍 Mtwara Mjini – Mogomeni Shuleni
⏰ 2:00am – 11:00pm

“Usisubiri mpaka uugue ndipo uanze kujali afya—njoo tukusaidie kujua hali yako mapema

0760 705 869

UNATESWA NA MAUMIVU YA MENO? 🦷🔥Usikimbilie kung’oa meno! Tumia Eternal Toothpaste kutibu maumivu, kuboresha harufu ya ki...
28/11/2025

UNATESWA NA MAUMIVU YA MENO? 🦷🔥
Usikimbilie kung’oa meno! Tumia Eternal Toothpaste kutibu maumivu, kuboresha harufu ya kinywa na kuondoa rangi ya njano.
Pata meno meupe, imara na yenye afya ndani ya muda mfupi bila gharama kubwa ya hospitali.

📍 Inapatikana Mtwara
📞 Piga: 0760 705 869

Cheka bila hofu — Anza leo! 😁✨

Jee upo mkoa wa mtwara na unahitaji msaada wa kitaalamu na wa kweli wa kuweka sawa afya yako.Tumekusikia sasa Amanani GC...
27/11/2025

Jee upo mkoa wa mtwara na unahitaji msaada wa kitaalamu na wa kweli wa kuweka sawa afya yako.

Tumekusikia sasa
Amanani GCAT Clinic

Tumefungua kituo kipya mkoa wa mtwara
Tunatoa huduma bora za afya kwa kutumia tiba lishe na virutubisho kutoka China vyenye uwezo wa kutibu
Kuanzia chanzo cha tatizo na kurejesha usawa wa mwili

Unasubiri hali iwe mbaya?

Fika mapema ufurahie huduma zetu bora
Watu 10 watapata punguzo kwenye matibabu yao.

Piga +255 760705869

27/11/2025

“Kituo kipya sasa kimefunguliwa Mtwara – Magomeni!
Tembelea Amanani GCAT International Clinic kwa huduma za virutubisho, tiba lishe na ushauri wa afya.
Piga/WhatsApp: 0760 705 869

Usiache afya iwe hatari fika leo tukusaidie

📢 Amanani GCAT Clinic – MTWARA Inatangaza Nafasi ya Kazi!Tunamtafuta Doctor mwenye Certificate ya Clinical Medicine, mwe...
19/11/2025

📢 Amanani GCAT Clinic – MTWARA Inatangaza Nafasi ya Kazi!

Tunamtafuta Doctor mwenye Certificate ya Clinical Medicine, mwenye nidhamu, ushawishi, na muonekano nadhifu.
Kazi ni kutumia Quantum Magnetic Machine kupima wagonjwa bila sindano na kuwaandikia supplements kulingana na orodha utakayopewa.

Vigezo:
✅ Umri: 23–35
✅ Jinsia yoyote
✅ Kutoka Dar es Salaam au mikoa ya Kusini

Faida:
💰 Mshahara: 300,000 Tsh
🏠 Malazi tunatoa

Ofisi: Mtwara Mjini
Mwisho wa Kutuma Maombi: Ijumaa hii

📞 Tuma CV yako sasa: 0760 705 869

Address

Sinza Kumekucha, Mashujaa Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amananiclinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram