Dr. sulle

Dr. sulle Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr. sulle, Hospital, Mbagala Kuu, Dar es Salaam.

FAIDA ZA TENDEFAIDA ZA TENDE NA MAJI WAKATI WA KUFUNGUA TENDE imesifiwa saana na mjuzi wa elimu kua ni tunda miongoni mw...
14/03/2021

FAIDA ZA TENDE
FAIDA ZA TENDE NA MAJI WAKATI WA KUFUNGUA

TENDE imesifiwa saana na mjuzi wa elimu kua ni tunda miongoni mwa matunda bora na hakika alisemalo MTUME MUHHAMAD REHEMA NA AMAN ZIWE JUU YAKE ni vyema kuliangalia mara mbili kwan asemalo kwa kukataza au kutusisitizia kuliendea hua kwa mwanadamu yoyote ni bora kwake kuliko tunavyo fikiria.

VILIVYOMO NDANI YA TENDE
1-Energy 282 Kcal
2-Proteins 2.5 g
3-Fiber 8 g
4-Fat 0.4 g
5-Folate 19 mu gs
6-Iron 1.09 mg
7-Vitamin K 2.7 mu g
8-Magnesium 43 mg
9-Potassium 656 mg

MARADHI YA MOYO ::
tende husaidia moyo na mishipa kwa kua hufyonza cholestrol katika mishipa na
FIBER hujulikana kwa kusaidia moyo , Hivyo hua na msaada kwa watu wanao ugua shinikizo la damu

KUPUNGUZA UZITO ::
tende hua na tabia ya kushibisha upesi kutokana na wingi wa fiber ambayo huleta nguvu na mwili kuwa na maridhio ya kiwango cha chakula kilichopo tumboni

KUSAIDIA MMENGENYO ::
tende tunda lenye fiber nyingi ambapo husaidia mmengenyo wa chakula kwa kusafisha
(gastrointestinal system) na kuupa mwili nguvu

HUSAIDIA AFYA KWA MJAMZITO NA MWANAE ::
kwa mjamzito kula tende kuna faida zaid ya nane kwake yeye na mwanae haswa kuimarisha afya zao na pia ni msaada mkubwa kwa mwanamke anaetaka kujufungua husaidia kujifungua bila misukosuko ya njia na uchungu

HUIMARISHA MIFUPA ::
Tende pia hua na calcium ambayo huimarisha mifupa na kutibu maradhi ya mifupa na maumivu (arthritis )

HUIMARISHA UBONGO ::
Utafit ulio fanyika ( JAMA INTERNAL MEDICINE ) inaonyesha kua ubongo huimarika na kufanyana kufanya kazi vyema kwa akili kutokana na VITAMIN B6

HUONGEZA NGUVU ZA K**E NA ZA KIUME ::
Changanya tende maziwa na asali jaribu alafu utanipa jibu lake

TIBA YA KUHARISHA ::
hutibu kuharisha k**a utachanganya na asali

HUONDOSHA MALARIA ::
Kula chembe saba baada ya Salat alfajri pamoja na maji ya vugu vugu kikombe kimoja

MTUME MUHAMADI REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE ALIKUA AKIPENDA KULA TENDE NA KUTUHUSIA KUFUNGUA KWA TENDE

>> KWANN UFUNGULIE MAJI YA MOTO NA SIO YA BARIDI NA SODA
a) unapo kua umefungulia maji ya moto husaidia kuyeyusha mafuta mafuta ndani ya mwili

b) maji ya moto husaidia kuyeyusha chakula na kufanya mmengenyo ufanyike kwa wepesi na uchafu kutoka kwa wepesi

c) husaidia ngozi kupuumua kutoa jasho na kuondoa mafuta futa na kufanya upumuaji mzur na kujiskia upo vyema

d) huondoa uteute ambapo uteute husaidia kushika wadudu na kuowaangamiza hivyo unapo kunywa maji ya moto hufungua njia ya koo na pua na kukusaidia koromea kushusha uteute utaoenda kutolewa k**a uchafu

e) unapo kunywa maji ya moto mwili hupandisha joto na kukusaidia kuondoa uchafu kwa njia ya jasho

KWANIN USITUMIE MAJI YA BARIDI
1) Maji ya baridi hufanya mfumo wako wa mmengenyo kufanya kwa tabu kwani mwili utapoteza nguvu zake kuhakikisha maji yamekua ya moto nguvu hiyo huenda ingetumika katika kumengenya chakula ulicho kula

2) maji ya baridi hufanya mafuta kuganda hivyo k**a ulikua na sababu ya kupungua uzito zoezi litakua gumu

3) huatarisha kushindwa kufanya kazi kwa figo

4) soda zina madhara mengi ikiwa utaanza kufungulia soda una nafasi kubwa ya kufyonza sumu yake vyema

FAIDA KWA ALIE FUNGULIA TENDE
1) tende huzuia kiungulia na pia husaidia mmengenyo wa vyakula hivyo mtu anae futuru hua ni funguo inayo saidia vyakula utavyo kula

2) tunajua tende husaidia kupunguza kasi ya kula haswa ukifungulia hua ni sababu ya kukusaidia kuto kula saana na kufanya afya yako kuzid kuimarika

3) husafisha mwili kutokana na magonjwa na kuupa mwili nguvu

IKIWA MUDA UTAPATIKANA TUTAELEZEA FAIDA ZA TENDE KWA MAMA MJAMZIT

Fanya Zindiko na Mwili wako
23/02/2021

Fanya Zindiko na Mwili wako

23/02/2021
23/02/2021

Chai ya mchaichai na tangawizi....

Bila majani ya chai.....

Nimeweka na sukari kiasi.....

FAIDA ZAKE.
✔Inasaidia kutibu mafua na kifua
✔Inatoa sumu kwenye mwili (detoxification )
✔Inasafisha kibofu
✔Inasaidia kwa wenye presha
✔Inasaidia kutuliza maumivu (k**a kazi ya panadol)
✔Inasaidia digestion
✔Inasaidia kuzuia cancer
✔Inarefresh..

Kinywaji perfect kwa hii hali ya hewa...

Faida kibaooooo...

13/11/2016

Assalam Alaykum warahmatullah wabarakat, tupate faida kidogo

FAIDA ZA TANGO
1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini.
2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B.
3. Kusaidia kutunza ngozi.
4. Kuongeza maji mwilini.
5. Kukata hangover.
6. Kuimarisha mmeng'enyo wa chakula mwilini.
7. Kuzuia saratani mwilini.
8. Kusaidia kupungua uzito.
9. Kuondoa maumivu na kuboresha viungo vya mwili.
10. Kuondoa harufu mbaya ya kinywa.

FAIDA ZA PAPAI

1. Kuua na kuondoa mazalia ya minyoo mwilini.
2. Kusaidia kutibu vidonda vya tumbo.
3. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula.
4. Majani yake huleta ahueni kwa wagonjwa wa saratani.
5. Kupunguza uvimbe (anti-inflammatory).
6. Kuboresha misuli na neva mwilini.
7. Kusaidia kumeng’enya protini.
8. Kuboresha kinga ya mwili.
9. Kuboresha macho.
10. Kuboresha mfumo wa hewa.

Tuungane kwenye Faida za matunda mengine

25/10/2016

Baadhi ya maneno ya hekima kutoka kwa Umar bin Khataab (r.a):

▶Ninaweza kujua kiwango cha akili ya mtu kwa kuangalia maswali anayouliza.
▶Mtu mwenye akili ni yule anaye yahukumu vizuri matendo mema ya watu.
▶Jaribu kuwa mwenye nguvu bila vurugu na kuwa laini bila kuwa dhaifu.
▶Utajiri na umas**ini ni kitu kimoja, sintojali nikiwa katika kimojawapo.
▶Kama usipoishi kwa kile unachokiamini, utaanza kuamini vile unavyoishi.
▶Unapoakhirisha shughuli, basi, ni vigumu kuendelea nayo.

09/10/2016

UMUHIMU WA KARAFUU KATIKA AFYA YAKO.

Karafuu ni kiungo na dawa muhimu sana na yenye thamani kubwa amabacho kimetumika kwa karne nyingi kutibu matatizo ya kumeng'enya chakula na mfumo wa kupumua kwa binadamu. Ina wingi wa vitamini A,C,K na B-complex' na madini muhimu k**a 'manganese', 'selenium, 'iron', 'potassium' na 'magnesium'. Ina nguvu nyingi katika kupambana na maambukizo vya virusi, fungasi na bacteria ambazo huzuia jeraha mbichi kuvimba na pia kupoza maumivu wakati unapata jeraha. Sifa hii hufanya karafuu kuwa muhimu katika tiba ya maradhi mengi.

Karafuu husaidia mfumo wa kumeng'enya chakula, gesi sugu, kukosa choo, kuvimba tumbo, kichefuchefu na matatizo yanayoletwa na vyakula vyenye viungo vingi ili vyakula vile visidhuru mwili. Huondoa maumivu ya misuli,kuumwa na kichwa na maumivu ya neva. Pia hutumika kuua vidudu katika fizi, meno, ini, pafu, ngozi na mishipa ya kupumulia.Mafuta ya karafuu yana kichocheo cha 'eugenol' ambacho kina nguvu ya kupooza na kuondoa maumivu na harufu mbaya mdomoni.Hivi huifanya kutumika kupoza maumivu na kuondoa maumivu hasa ya meno na fizi. Mafuta ya karafuu pia ni muhimu katika mfumo wa mzunguko wa damu na kuzuia damu kuganda. Pia hutumika kutibu miguu kuvimba, kutibu vidonda, vipele, mikwaruzo na kuchomeka.

Ukifukiza mafuta ya karafuu k**a unavyofukiza udi na uyanuse yale moshi inapunguza makali ya matatizo ya kupumua k**a 'sinusitis', 'TB', 'bronchitis', 'asthma', mafua makuu na kukohoa,

Karafuu huchanganywa na viungo vyengine kutengeneza mchanganyiko ambao hutumika kupikia chakula k**a 'Curry Powder na Garam Masala barani India na hata huku Afrika mashariki. Chai ya karafuu inasaidia kuupa nguvu mfumo wa kinga na kuondoa sumu mwilini. Weka vijiko viwili vya karafuu ndani ya vikombe viwili vya maji chemsha kwa dakika 10 funika, wacha itulie k**a dakika 8, tia na kijiko cha asali ili upate faida zaidi.

Karafuu hupatikana masokoni au katika maduka ya viungo. Pia ipo katika mfumo wa vidonge, mafuta, chai yake na cream ambazo unaweza agiza kwenye mtandao au maduka ya dawa.

04/10/2016

Ukitaka kuiona dunia baada ya kifo chako, itazame baada ya kufariki mwingine kabla yako. Ukitafakari namna wapenzi na marafiki wanavyomsahau kipenzi na rafiki yao wa dhati, utakuwa na uhakika usio na chembe ya shaka kwamba wapenzi na marafiki zako watakusahau au watashughulika na dunia mara baada ya kifo chako.
Basi, yafanye maisha yako kwa ajili ya Mola wako na tengeneza mahusiano mazuri kati yako na Yeye kwa kutekeleza maamrisho yake. Ni Yeye pekee asiyeweza kukusahau.

17/04/2016

Walikuwepo watu wawili ambao maduka yao yalikuwa jirani, mmoja akiuza asali na mwingine akiuza "s**i". Wanunuzi walikuwa wakipanga foleni kwenye duka la muuza s**i. Muuza asali, akashangazwa na hali hii na kusema: huenda bei ya asali ni kubwa ndiyo maana wanunuzi wananikimbia. Akaanza kushusha bei ya asali mpaka ikafikia bei ya s**i, lakini hakuna aliyemsogelea kununua s**i. Akamuendea jirani yake muuza s**i na kumuuliza: “kwa nini watu wanapanga foleni kwako licha ya kuwa unauza s**i yenye ladha chachu na harufu mbaya na ilhali mimi ninauza asali yenye ladha tamu na hakuna anayekuja dukani kwangu kununua?”
Muuza s**i akamjibu: “mimi ninauza s**i kwa maneno yenye asali na wewe unauza asali kwa maneno yenye s**i”!

Daima, unaweza kumiliki mioyo ya watu kwa kauli nzuri na kwa mahusiano mazuri na watu wengine.

Copied @ Sheikh Msafiri k

11/04/2016

Assalam alaykum wapeondwa!

MAUMIVU YA KICHWAMaumivu ya kichwa hutokea watu wengi sana wa umri wote. Ni dalili inayopelekea watu wengi kwenda hospit...
11/04/2016

MAUMIVU YA KICHWA

Maumivu ya kichwa hutokea watu wengi sana wa umri wote. Ni dalili inayopelekea watu wengi kwenda hospitali kwa ajili ya matibabu. Kuna sababu nyingi zinazosababisha maumivu ya kichwa. Nyingi zikiwa zisizohatarisha maisha ya mtu, na baadhi zikiwa hatari kwa uhai wa mtu. Maumivu ya kichwa yanaweza kuwa ya kuanza mara moja ghafla (acute headache) au maumivu ya muda mrefu yanayokuja na kuacha (chronic headache).

Dalili ambazo zinaweza kuambatana na maumivu ya kichwa ni homa, kutapika, kizunguzungu, moyo kwenda mbio, kupoteza fahamu, kutoona vizuri, kupata degedege na nyingine.

Kwa kawaida unapopata maumivu ya kichwa onana na daktari wako kwa matibabu. Ikiwa maumivu ya kichwa yanaambatana na dalili zifuatazo basi wahi haraka sana hospitali iliyo karibu na wewe. Kuona vitu viwili viwili au giza, kupata degedege (convulsions), kupoteza fahamu, kutapika sana na moyo kwenda mbio.

SABABU ZA MAUMIVU YA KICHWA

• Malaria
• Ajali ya kichwa
• Matatizo ya macho
• Damu kuvuja kwenye ubongo
• Shinikizo la damu la kupanda
• Uvimbe kwenye ubongo
• Upungufu wa damu
• Upungufu wa maji mwilini
• Kifafa
• Gesi kujaa tumboni
• Kukosa usingizi
• Msongamano wa mawazo (depression au stress)
• Nguvu za giza (Uvamizi wa Jini)

MAGONJWA YA KUAMBUKIZA K**A;
• Malaria
• Homa ya UTI wa mgongo
• Homa ya tumbo
• Ugonjwa wa toxoplasmosis

VIPIMO

Vipimo vinavyofanyika kutokana na maumivu ya kichwa hutegemea na chanzo chake. Vipimo hivi husaidia kugundua chanzo cha maumivu ya kichwa ili yatibiwe. Baadhi ya vipimo vifuatavyo vinaweza kufanyika.

- Kipimo cha damu cha malaria au homa ya tumbo (typhoid)
- Wingi wa damu (haemoglobin concentration)
- Kipimo cha maji ya mgongo (Lumbar puncture)
- X-ray ya kichwa
- CT Scan ya kichwa
- MRI ya kichwa

MATIBABU KUPITIA NJIA ZA HOSPITALI

Maumivu ya kichwa hutibiwa na kuisha pale ambapo chanzo chake kimejulikana na kudhibitiwa. Pale ambapo chanzo hakijajulikana, dawa za kutuliza maumivu hupunguza ukali lakini baadae yanaweza kujiridua tena. Dawa za NSAID k**a 'Diclofenac' na 'paracetamol' hutumika kutuliza maumivu huku matibabu mengine yakiendelea. Kwa baadhi ya hali zinazosababisha maumivu ya kichwa huitaji matibabu yanayoweza kuhusisha upasuaji.

Wakati mwingine maumivu ya kichwa yanaweza kutokana na msongo wa mawazo, uchovu wa mwili na mambo mengi ya maisha. kwa kuzingatia yafuatayo:

- Kunywa maji mengi kila siku, zisipungue lita 2.5 au glasi 10 kwa siku moja. Itakusaidia kupunguza uchafu mwilini na ubongo upate damu ya kutosha.
- Kufanya mazoezi kila siku angalau kwa nusu saa. Huimarisha kinga ya mwili wako, mzunguko wa damu na ukak**avu.
- Kupata mlo wenye virutubisho vya kutosha.
- Pata muda wa kupumzika wa kutosha, angalau masaa 8 ya kulala wakati wa usiku.
- Pata muda wa kutulia na kutafakari kuhusu maisha yako, kupanga mipango yako na kutuliza nafsi yako.
- Pata muda wa kuwa na rafiki zako, ndugu na jamaa unaowapenda.
- Ikiwa sababu ya kuumwa kichwa ni kutok**ana na nguvu za giza (jini) tafta mwalimu akusomee ruqya (exorcism) ya halali bila kufanya ushirikina.

JE! UMEKUWA UKIUMWA NA KICHWA KWA MDA MREFU NA UMEFANYA VIPIMO HUSIKA BILA MAFANIKIO?

BASI WASILIANA NASI ILI KUPATA TIBA MBADALA ZA ASILI KATIKA HOSPITALI YETU ILIYOPO DAR, SULLE NATURAL MEDICINE CLINIC.

Tunapatikana kwa namba 0655589502, 0715589502, 0754589502 whatsapp 0714567151

Address

Mbagala Kuu
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. sulle posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category