IJUE AFYA YAKO

IJUE AFYA YAKO Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IJUE AFYA YAKO, Medical and health, Gongolamboto, Dar es Salaam.

14/03/2017

Hi,natumaini wote muwazima wasomaji Wa hii page yangu ya Afya,niwaombe msikae na mkojo mda Mrefu kwasababu unaathiri kibofu cha mkojo na figo pia.

12/03/2017

Habarini za mida wasomaji Wa ukurasa huu wangu,naomba niwaombe mjitahidi kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi kabla hujala chochote na hayo maji kamulia kipande cha ndimu au limao ni nzuri sana kwa afya,inapunguza uwezekano Mkubwa wakupata kansa.

11/01/2016

Ni jambo jema sana tukiwa tunachunguza afya zetu Mara kwa Mara,WAKATI mwingine unaweza ukawa huna ela ya vipimo lkn waweza kumuona daktari kwa ushauri na mambo yakawa shwari,Leo hii ningependa kuongea na watu wale wanaowashwa sehemu za siri na wamesumbuka mno bila mafanikio,ebu wasiliana nami kwa namba hii hapa 0713 21 61 46,haijalishi jinsia yako karibu sana.

06/01/2016

Habarini wapendwa napenda kuwakaribisha wote mnaopenda kujifunza jinsi yakuanza kufanya biashara kwa mtaji MDOGO na kujiajiri bila hata kupanga frem weka no yako hapa naunda group la whatsup,karibuni sans

02/09/2015

Habarini za wakati huu wapendwa natumai mko Salama kabisa nawakaribisha kwenye page mpya ya ijue afya yako hii page itakusaidia kupata dawa na virutubisho vya asili visivyokuwa na kemikali yeyote ile

Address

Gongolamboto
Dar Es Salaam
NONE

Telephone

0713216146

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IJUE AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram