OTA Care

OTA Care Diagnostics to your doorstep! 🏠 Book tests, schedule sample collections, and get results from home.

  : Tunatafuta mtaalam wa maabara ya tiba (Medical Lab Technician).
27/09/2025

: Tunatafuta mtaalam wa maabara ya tiba (Medical Lab Technician).

Hi! We’re looking for a Medical Lab Technician with a practising certificate who can ride a bike. Ready to join our team...
25/09/2025

Hi! We’re looking for a Medical Lab Technician with a practising certificate who can ride a bike. Ready to join our team?

You can also follow on Instagram to see more.
18/04/2025

You can also follow on Instagram to see more.

Naibu balozi Andrew Lentz wa Marekani U.S. Embassy Tanzania akipata maelezo kuhusu huduma za OTA Care kwenye maonyesho y...
03/11/2024

Naibu balozi Andrew Lentz wa Marekani U.S. Embassy Tanzania akipata maelezo kuhusu huduma za OTA Care kwenye maonyesho ya AWE! Ni fursa nzuri kuonyesha jinsi tunavyoboresha afya ya jamii.

Katika mahafali ya Academy for Women Entrepreneurs (AWE), tulielezea jinsi OTA Care inavyorahisisha uchunguzi wa afya na...
03/11/2024

Katika mahafali ya Academy for Women Entrepreneurs (AWE), tulielezea jinsi OTA Care inavyorahisisha uchunguzi wa afya na kusambaza vipeperushi kwa Naibu balozi Andrew Lentz wa Marekani U.S. Embassy Tanzania na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, tukieleza jinsi tunavyoboresha huduma za afya kwa jamii.

Tunayo furaha kutangaza kuwa OTA Care imechaguliwa kujiunga na Academy for Women Entrepreneurs (AWE)   Fursa hii ya kipe...
27/09/2024

Tunayo furaha kutangaza kuwa OTA Care imechaguliwa kujiunga na Academy for Women Entrepreneurs (AWE) Fursa hii ya kipekee itatusaidia kuimarisha safari yetu ya ujasiriamali, kupata maarifa muhimu, na kujenga msingi thabiti wa kukuza biashara yetu. Twende pamoja kwenye safari ya kujifunza, ushirikiano na mafanikio.

Kufuatilia viwango vya sukari mwilini ni hatua muhimu katika kudumisha afya bora na kuzuia au kudhibiti kisukari. OTA Ca...
08/08/2024

Kufuatilia viwango vya sukari mwilini ni hatua muhimu katika kudumisha afya bora na kuzuia au kudhibiti kisukari. OTA Care inatoa suluhisho rahisi na la uhakika kwa kufuatilia viwango vya sukari mwilini ukiwa nyumbani kwako, ikikupa uhuru na usalama wa kudhibiti afya yako kwa njia bora zaidi.

Address

Mbezi Beach/Sala Sala, Kilimahewa Juu Street , OTA House
Dar Es Salaam
72837

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Telephone

+255684206562

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OTA Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram