ACT on A DREAM

ACT on A DREAM MY MISSION IS TO INSPIRE & ENCOURAGE YOU TO BECOME YOU, BECAUSE YOU HAVE POWER WITHIN YOU.

When I first told my parents I wanted to quit my corporate job they thought I was crazy. I cried because I could no long...
28/04/2017

When I first told my parents I wanted to quit my corporate job they thought I was crazy. I cried because I could no longer hack it. They cried because they thought giving it all up was such a waste.

Our whole lives we are often taught that success equals a “good job” and a “well paid salary” and that we have to go through the motions of Uni, career and climbing that career ladder until we retire.

Then, when something inside us tells us that this isn’t enough, that we want more, we begin to feel lost because we’ve never previously given ourselves permission to ask what that “something more” could be.

This is a tricky place to be in; knowing that what you have isn’t enough but not knowing what on earth to do next.

The mistake many women make is to look outwards for answers, when what they should really be doing is looking inside at what skills, qualities and passions they already possess within themselves.

The coaching industry opened my eyes to the fact that I didn’t need to ‘become’ something to make something of myself, I simply had to tap into what was already there.

That is the beauty of this industry. We aren’t trying to fit into someone else’s mould, we aren’t trying to bend to someone else’s version of success but instead, we carve out our own unique path, tapping into our own beautiful authentic selves.

There aren’t many careers that can do that for you.

What the coaching industry essentially allows you to do is get paid to be authentically you, which is a pretty magical thing.

When women say that “they don’t have enough experience” to be a success as a coach, what they fail to realize is that everything that they have previously gone though has led them to where they are today. The process of becoming a coach is an opportunity to tap into those hidden treasures inside you that you may have not even realized existed.

Since building an incredible career within the coaching industry myself, my biggest passion now lies in helping other women do the same. Witnessing the women I work with get out of their own way and give themselves permission to be who they really are, blossoming into their own best versions of themselves really lights me up.

To start building your dream coaching business and step into your purpose, sign up for the free training below:

https://theclique.leadpages.co/free-resources-for-coaches/

Nazidi kujifunza kutoka kwa Watu mbalimbali. Namna na jinsi walivyoweza kufikia kitu unachokitaka.-Kuwa na mtaji ,Muda, ...
05/04/2017

Nazidi kujifunza kutoka kwa Watu mbalimbali.
Namna na jinsi walivyoweza kufikia kitu unachokitaka.

-Kuwa na mtaji ,Muda, Uzoefu sio sababu Pekee za kukufanya wewe kuweza kufanikiwa katika jambo unalolitaka kulifanikisha.

.

03/04/2017

The key to greatness is FINDING A WAY to save others.
Many people would like to save a lot of people but they don't have a WAY.
I'm so excited with what I'm doing, because I found a way to Save a lot of PEOPLE that any one can do it.
its up me.
you like to know more???

AFFECT THE LIVES OF HUNDRED

Word of God Say:
Services to many lead to GREATNESS.
Your all welcome

31/03/2017

Ninachokitaka, Kinanitaka mimi nifanye nini????

Kila kitu kinaanza na wewe Mwenyewe.

Tusitake kuonekana sisi wema au tuko Vizuri na kunyooshea wengine vidole na kulaumu kuwa wao ndio wamesababisha.

Tulielewe hili jamani!!


.

31/03/2017

Ukisikia neno FURSA, FURSA , wewe ni maana gani inaingia kichwani mwako??

Ningependa kushare na wewe namna ninavyoelewa na kuamini.

Neno FURSA kwangu nalielewa kuwa ni KITU au NAMNA ambayo inauwezo wakukutoa katika hali uliyopo na kukupeleka kule ambapo kwako kuta kuwa bora zaidi.Iwe nikatika hali ya kipato,Afya,Uhuru au uhitaji wowote ule.

Ndio maana Fursa zipo nyingi na tofauti tofauti,Kwa Kila mtu kutokana na uhitaji wake - kunakitu kwakwe chaweza kuwa fursa lakini kwako kisiwe fursa. HAPA NDIPO INAPOBIDI KUJITAMBUA NA KUJUA NINI UNATAKA AU UNAKIHITAJI. Kujitambua itakusaidia katika kitu chochote au Idea yeyote unayokutana nayo uweze kuipima kutokana na uhitaji wako(Pasipokufwata mkumbo au Watu wanavyoliongelea)

JIULIZE BINAFSI! hiki kitu au hii Idear inaweza kuwa fursa kwangu na kunitoa katika hali hii au LA!

- Ninachokihitaji! nikikomaa na hii idea kunauwezekano wa kufanikisha?

Mfano:
-Mtu anaehitaji kuwa kuwa Mwanasheria. Kinachomfanya akomae na masomo afaulu vizuri apambane kwenda law School. Nikwasababu tayari anajua anataka kuwa Mwanasheria.

-Ukitaka kwenda mikoa ya Kaskazini utapambana mpaka ufike Stend ya mkoa upande gari, (private)au nikuone upo Air port Hivyo sitegemei kukukuta upo FERI unatafuta ticket za BOTI.

Kwa mifano hii ninaiman tutakuwa tumejifunza kitu.

-KILA UNACHOKIHITAJI KINA SOLUTION YAKE.
- Inahitaji umakini wako katika kupambanua kipi ni sahihi kwako.

- Nakukomaa kukifanyia kazi.

Ijumaa Kareem

Kitu gani wewe k**a wewe waweza kufanya watu wakaweza kunufaika nacho, wengine wakaweza kutoa muda na Pesa zao kukipata ...
23/03/2017

Kitu gani wewe k**a wewe waweza kufanya watu wakaweza kunufaika nacho, wengine wakaweza kutoa muda na Pesa zao kukipata kutoka kwako.
INAWEZEKANA
-Unaweza kidesign mavaz watu Watu wakavaa.
- unaweza kufanya biashara
-Unaweza kufundisha
-Unaweza kudesign vitu tofauti.
-Unaweza kuongea na kumingle na watu.
-Jiulize nikwanamna gani unaweza kuongeza thamani kwenye maisha ya Watu wengine.

Kumbuka watu ndio MTAJI wakwanza unaouhitaji unapotaka kufanya jambo lolote, UNACHOTAKIWA KUJIULIZA ni nini waweza kukifanya hawa Watu wakanufaika nacho (KIKAWAFAA), ukiwa na mtazamo huu hata Siku moja hutaruhusu hali ya kumkasikiria mtu kumnunia mtu, Zaidi utamwombea kwa mungu ili akapate kuwa mtaji Mzuri zaidi.

WAPENDENI ADUI ZENU, WAOMBEENI WANAO WAUDHI. yaani mungu ANAJUA SANA.

Huyo ambae Leo unamuona k**a adui au Unapita tu, unamdharau, kesho anaweza kuja kuwa mtaji Mkubwa sana na kubadilisha kila kitu katika Biashara yako, Ofic yako, chochote kile.

Mfano:
K**a unahisi kunamtu anakukwaza au kukuudhi hebu, muulize ni nani unamfahamu naweza kufanya nae BUSNESS yangu ambayo baada ya miaka 2hivi tutakuwa kwingine kabisa,

Unadhani atakujibuje????
Haaa haaa nishajijibu mwenyewe "kwani mie Sifai" Ugomvi kwisha kabisa, mambo ya maana yanaendelea

TUPENDANE, TUOMBEANE- TUPIGE KAZI

Tujifunze kuona nnje ya Ajira kuna nini!Je mbona wengine wanaishi bila ajira na wanamaisha mazuri tuKitu gani wewe k**a ...
23/03/2017

Tujifunze kuona nnje ya Ajira kuna nini!
Je mbona wengine wanaishi bila ajira na wanamaisha mazuri tu

Kitu gani wewe k**a wewe waweza kufanya watu wakaweza kunufaika nacho, wengine wakaweza kutoa muda na Pesa zao kupata huduma yako!

Mimi naamim kuna Watu wanauwezo Mkubwa wakufanya vitu, sema kwakuwa kichwani mtu anaamin sehemu pekee yakutoka ni mpaka niajiriwe basi mtu unakuta ametulia na anasubiri ajira kwanza.

Hebu jipapase hapo ulipo nikitu gani waweza kukifanya wakati wasubiria hiyo ajira. Hii itakusaidia sana.

Tatizo letu wengi tunaendeshwa na hela za papo kwa papo. But I'm telling, unaweza usipate hela hapo lakini ukapata KNOWLEDGE ambayo itakufaa wewe na vizazi vyako.


23/03/2017

Mungu (aliyetuumba anatuambua USIOGOPE)
Lakin nikawa najiuliza why tunaogopa ogopa ni nini haswa kinachotupelekea Kuogopa!

Jibu nililolipata ndilo ambalo limenifanya niweze kushare nawewe.

Watu wengi kinachosababisha tuendele kuogopa ni KUTOKUWA NA IMAN.
Hatuamini amini hivi kwel itawezekana kwel!!

Lakini sio kosa lako my be bado akili yako inakuambia wewe umetokana na Nyani k**a tulivyokuwa tukijibu mitihani darasani na kufaulu mitihani.
Hivyo kwa haraka haraka nivigumu sana kuamini. Kwani hata nyani ni Muoga.

Hivyo k**a unaamin umetokana na nyani endelea kuwa mwoga kwakuwa hakuna namna utakayoacha kuwa mwoga.
BUT
k**a unaamini wewe umeumba na mungu na kwakusudi maalumu BASI HATA LEO ANAKUAMBIA USIOGOPE.....


hatua

23/03/2017

My dream is to INSPIRE YOU, to be YOU, because your have power within You.

YES natambua  tunakazi na tunabiashara zetu nzuri ambazo zinatusaidia kuhakikisha tunakidhi mahitaji yetu ya kila siku. ...
21/03/2017

YES natambua tunakazi na tunabiashara zetu nzuri ambazo zinatusaidia kuhakikisha tunakidhi mahitaji yetu ya kila siku. Lakini tukumbuke hayo yote tunayafanikisha kwasababu tuwazima wa afya na bado tuna Nguvu.
Lakini Je unatambua ukuaji wa uchumi wetu wa sasa ivi sio k**a zamani ambapo ilikutengeneza kipato lazima utoke hapo ulipo uende kufanya kazi lakini kwa sasa unauwezo wa kutengeneza kipato hata ukiwa umeketi nyumbani kwako.

Hebu tutizame baadhi ya mifano.
-Mpesa
- UBER.
-Cell phone TV
-Education system
-Agriculture
-Health Care

Hizi nikati ya huduma sasa ivi unaweza kuzipata kupitia Simu yako na Watu wanatengeneza Pesa kupitia wewe unayezitizama au kuzitumia.

Jiulize je wewe unatengeneza Chochote au unaishia kutumia Pesa kuweka bundle pasipo kukuzalishia chochote tu.

K**a wewe ni
Mpambanaji.
Unamalengo Makubwa.
Upotayari kufundishika.

Naamini unaweza ukafit sana katika project yetu ya GLOBAL NEW ECONOMY.
Let take advantage on Internet technology

21/03/2017

Some years ago, there was a Mensa convention in San Francisco.

Mensa, is an international organization for people who have an IQ of 140 or higher.

Several of the Mensa members went out for lunch at a local cafe. When they sat down, one of them discovered that their salt shaker contained pepper, and their pepper shaker was full of salt.

How could they swap the contents of the two bottles without spilling any, and using only the implements at hand? Clearly -- this was a job for Mensa minds.

The group debated the problem and presented ideas and finally, came up with a brilliant solution involving a napkin, a straw, and an empty saucer.

They then called the waitress over, ready to dazzle her with their solution.

"Ma'am," they said, "we couldn't help but notice that the pepper shaker contains salt and the salt shaker"

But before they could finish, the waitress interrupted & said.

"Oh -- sorry about that."

She leaned over the table, unscrewed the caps of both bottles and switched them.

There was dead silence at the Mensa table.

For most of the problems there are simple solutions but it is our “Brilliant” minds that complicate every simple solution. Take a relook at life, you will find non issues mostly! And wherever there are issues there will be easy solutions.

02/02/2017

GRADUATE vs JOB MARKETING IN TANZANIA.

Imagination Minus Reality Equals to Frustrations.

1.They should Manage their expectations
2. The should turn their learning strategy from theory to visualisation on the grounds practical cases
3. Classes subjects only are functional keys they can only open a door for a job...but what they will daily apply is rarely learned in classes
4. Flexibility and Adoption
The Job market is turbulent. .they should be flexible enough to get accommodated
5. Start with low Prices. ..add value as you up higher...
6. Never go for higher pay with little to exposure...rather go low for highest exposure
8. Opportunity Cost..
They should think on alternative to Job that will have better returns in long run
9. Pareto Optimality and Social Welfare .they cannot make one better of without making the other worse off..
Better growth equals with higher sacrifice to social welfare
10. Blames and pinpointing will not take them anywhere
11. Speaking behind bosses backs ..will take them backwards
12. Self Discipline is Key to career growth
13. One big Poison...
THEY SHOULD NEVER COMPARE SALARIES WITH PEERS

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ACT on A DREAM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram