Wesiko Mwita

Wesiko Mwita Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wesiko Mwita, Vitamins/Supplements, Mwenge, Dar es Salaam.

MWANAMKE KUPATA PERIOD MARA MBILI AU ZAIDI NDANI YA MWEZI MMOJA SABABU NI  HIZI.....Kwa Wanawake wengi mzunguko wa hedhi...
23/02/2023

MWANAMKE KUPATA PERIOD MARA MBILI AU ZAIDI NDANI YA MWEZI MMOJA SABABU NI HIZI.....

Kwa Wanawake wengi mzunguko wa hedhi huwa ni wa siku 28. Ingawa wengine huwa na mizunguko kuanzia siku 21 hadi 35.

Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi kunaweza kutokea iwapo siku hizo za mzunguko zitakamilika katika mwezi mmoja.
Kwa mfano, iwapo msichana anapata hedhi tarehe 1 mwezi wa saba, k**a mzunguko wake ni siku 26 msichana huyu atapata tena hedhi katika tarehe 27 ya mwezi wa saba.

Hivyo atakuwa amepata hedhi mara mbili katika mwezi mmoja. Vilevile, inatokea kwamba mwanamke anapata hedhi katikati ya mzunguko wake ( kwa mfano, baada ya siku 14 katika mzunguko wa siku 28 ).

Zipo sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mwanamke akarudia hedhi katika mwezi. Sababu hizi ni k**a

1.mabadiliko ya hali ya hewa au mazingira.
2.uvimbe katika kizazi( uterine fibroid)
3.kujikondesha (anorexia nervosa)
4.matumizi ya uzazi wa mpango
5.Hormone kutobalance
6.kufanya mazoezi kupita kiasi
Ikumbukwe ni vigumu mwanamke kubeba ujauzito k**a period yake inabadilika badilika

Kwa anayekabiliw na changamoto hii tupigie kwa namba 0757027037

23/02/2023
Ute unaoashiria kuna tatizo1;. Rangi ya njano kuelekea ukijaniK**a majimaji haya yana rangi ya njano huenda hakuna tatiz...
17/02/2023

Ute unaoashiria kuna tatizo

1;. Rangi ya njano kuelekea ukijani
K**a majimaji haya yana rangi ya njano huenda hakuna tatizo ila yakiwa ni njano iliyowiva ama njano iliyo na ukijani ama majimaji haya yakiwa ni ya kijani hii huashiria maambukizi ya bakteria ama magonjwa ya zinaa, fika kituo cha afya k**a yatakuwa yanatoa harufu mbaya.

2;. rangi ya kahawia
Majimaji ya rangi hii yanakuwa na damu kwa mbali. Hali hii ni kawaida k**a itatokea siku chache kabla ya kuingia hedhi. Pia inaweza kuashiria mimba changa. Na majimaji haya yatakuwa yanatokea baada ya kukutana kimwili, hii inaashiria kuwa kuna michubuko imetokea kwenye uke na kusababisha mipasuko midogo iliyokuwa ikivuja damu..

3;Majimaji ya rangi ya kijivu
sio ya kawaida hivyo yanaashiria kuwa kuna shida katika afya ya mwanamke na mara nyingi ni maambukizi ya bakteria wanotambulika k**a bacterial vaginosis. Dalili nyingine za baktera huambatana:
-Dalili nyingine za baktera huambatana:-
1.Maumivu
2.Miwasho
3.Harufu mbaya
4.Kuwa na wekundu kuzunguka mashavu ya uke na kwenye mlango wa uke...
kwa changamoto ya namna hii tupigei kwa namba 0757027037

Maji ukeni na maana zake
17/02/2023

Maji ukeni na maana zake

16/02/2023

Afya kwanza

16/02/2023

We are proud members of the DSA. To view the Code of Ethics by which we abide please click here Code of Ethics. To file a complaint, please contact us at NeoLife International at 081 3177 1532.

Kansa ya shingo ya kizazi
02/02/2023

Kansa ya shingo ya kizazi

Ikiwa unakabiliw na changamoto Ngozi, mafuta ya samaki ni mazuri ndani yake yana vitamin E ambayo ni nzuri kwa ngozi kav...
27/01/2023

Ikiwa unakabiliw na changamoto

Ngozi, mafuta ya samaki ni mazuri ndani yake yana vitamin E ambayo ni nzuri kwa ngozi kavu,mikunjo,vipele,michilizi,madoa na changamoto zote zangoz

Ikiwa unakabiliw na changamoto hizi cancer (saratani)macho moyopressure viuvimbe kiharusi,usisite kutupigia kwa shauri ..mafuta ya samaki ni suluhisho la changamoto nyingi

TIBA YA PID CALL 0657027027UGONJWA WA PID NI NINI??~ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya uzazi wa mwanamke ...
19/01/2023

TIBA YA PID CALL 0657027027
UGONJWA WA PID NI NINI??
~ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya uzazi wa mwanamke ambapo huhusisha maambukizi katika shingo ya kizazi (CERVICITIS),nyama katika mfuko wa uzazi (ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi (SALPINGITIS)

VYANZO NA VIHATARISHI VYA KUPATA UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

Vimelea aina ya NEISSERIA GONORHOEAE pamoja na CHLAMYDIA TRACHOMATIS ndio chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa PID ingawaje kuna aina kadhaa za vimelea vinahusishwa kusababisha ugonjwa wa PID hivyo nilivyotaja ndio vinaongoza Kwa umaarufu kusababisha ugonjwa wa PID
~pamoja na vimelea hao kuwa chanzo kikuu cha ugonjwa wa PID zipo njia KADHAA HATARISHI KUSABABISHA MAAMBUKIZI HAYA NAZO NI รท

*kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi(IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango
*Kufanya ngono isiyo salama
*Maambukizi ya njia za uzazi mara baada ya kujifungua au mimba kuharibika
*Kuambukizwa kupitia damu yenye vimelea wa PID
*Kupata maambukizi wakati wa kutoa mimba kwa njia isiyo salama

DALILI/VIASHIRIA VYA UGONJWA WA PID

Kuna dalili mbalimbali zinazoweza kuashiria ugonjwa huu wa PID miongoni mwa dalili hizo ni,

*Mwanamke kupata maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
*Kupata maumivu wakati wa kukojoa
*Kupata homa na kuhisi kichefuchefu
*Kupata maumivu ya mgongo na kutapika
*Kutokwa na hedhi bila mpangilio
*kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
*Kutokwa na uchafu(utoko)mweupe ukeni unaotoa harufu mbaya

NAMNA YA KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA PID
Pamoja na kuwepo kwa dawa za kutibu tatizo hili ni vyema ukajiepusha na vihatarishi vya kupata tatizo hili kwa kuzingatia yafuatayo,
*Epuka kufanya ngono isiyo salama.
*Jiwekee tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara hasa kizazi
*Usifanye mapenzi mara baada ya kujifungua au mimba kutoka mpaka utakapohakikisha shingo ya uzazi imefunga vema
*Kuwahi kuonana na daktari unapoona dalili za ugonjwa
*Kuwa msafi na kula lishe bora

MATIBABU
Ugonjwa huu unatibika vizuri kwenye tiba asili hivo k**a Tayar unaumwa na umezunguka mahospitali bila msaada basi tunaweza kukusaidia,
WASILIANA NASI, Call/ 0765950908 au 0657027027

Tambua ishara na dalili za mimba kuharibika..ukiaona dalili hizo jua kabisa mimba ishaharibika 1:kutokwa na damu ukeni a...
18/01/2023

Tambua ishara na dalili za mimba kuharibika..ukiaona dalili hizo jua kabisa mimba ishaharibika
1:kutokwa na damu ukeni au matone ya damu

2:maumivu ya tumbo la uzazi yakiambatan na maumivu ya mgongo

3:majimaji na mabonge ya chembe za moto kutoka ukeni.

Kwanini usubir hadi mimba itoke karibu tunatibu,tinaushauri na kwaimani Mungu anaponya..

0657027027

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:01
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 19:00

Telephone

+255757027037

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wesiko Mwita posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Wesiko Mwita:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram