Uzazi tips

Uzazi tips Afya ya uzazi wanawake,wanaume

AZOOS***MIA NI NINI....????Ni tatizo ambalo huwakuta wanaume pale ambapo SEMEN zinazotolewa kipindi cha ej*******on huko...
08/10/2021

AZOOS***MIA NI NINI....????
Ni tatizo ambalo huwakuta wanaume pale ambapo SEMEN zinazotolewa kipindi cha ej*******on hukosa kabisa s***m.

AINA ZA AZOOS***MIA.
➡️OBSTRUCTIVE AZOOS***MIA
Hii ni pale ambapo s***m hutengenezwa lakini hazisafiri kabisa kutokana na kuziba kwa mrija wa kusafirishia s***m. KWANINI MRIJA HUZIBA.
▪️kupata ajali ambayo huathiri mfumo wa uzazi.
▪️Matatizo ya kurithi .
▪️Kufanyiwa upasuaji ambayo huweza kuathiri mrija wa s***m .
▪️Maambukizi k**a UTI,FUNGUS NA STI’s.
———————————————-
➡️NON OBSTRUCTIVE AZOOS***MIA Hii ni kwamba s***m hazitengenezwi kabisa kwenye korodani .

KWANINI HAZIZALISHWI.
▪️kutowiana kwa homoni mwilini.
▪️Maambukizi k**a UTI,FUNGUS NA STI’s.
▪️kuumia kwenye korodani .
▪️Tofauti za kurithi .
▪️Twisted testicle
—————————————————
Nitafute kwa maelezo zaidi .
0672449796

Wanaume tuzungumze leo kuhusu LOW S***M COUNT (OLIGOS***MIA) na NIL S***M COUNT(AZOOS***MIA).....................,,,,,,,...
08/10/2021

Wanaume tuzungumze leo kuhusu LOW S***M COUNT (OLIGOS***MIA) na NIL S***M COUNT(AZOOS***MIA).....................,,,,,,,,,,,,,,.,,,,,,...,,,,,,,,,,,,,,
OLIGOS***MIA NI NINI...??
Ni tatizo ambalo huwakumba wanaume pale ambazo SEMEN hutolewa kipindi cha ej*******on zinatoka s***m chache(kidogo) kupita kawaida.

SABABU ZA OLIGOS***MIA .
▪️kutowiana kwa homoni mwilini (hormonal imbalance).
▪️vimelea vya kurithi ( genetical inheritance).
▪️Kukua kwa vimishipa kwenye sc***um (kuongezeka ukubwa).
——————————————
DALILI ZA KWAMBA UNA OLIGOS***MIA .
▪️kukosa mtoto kwa muda mrefu .
▪️kukosa nguvu za kiume(sexual function).
▪️Maumivu kwenye korodani .
▪️Kuota nywele(vinyweleo) vingi usoni na mwilini.

Tunatoa Huduma mikoa yote kwa uaminifu mkubwa ..0672449796
08/10/2021

Tunatoa Huduma mikoa yote kwa uaminifu mkubwa ..0672449796

Mkombozi wa wanawake wenye shida za wiwasho na uchafu ukeni Lakini wengi tatizo hurudi baada ya muda kidogo Njoo nikujuz...
08/10/2021

Mkombozi wa wanawake wenye shida za wiwasho na uchafu ukeni
Lakini wengi tatizo hurudi baada ya muda kidogo
Njoo nikujuze na kukufundisha ni namna gani unaweza kumaliza kabisa matatizo ya ukeni
Ili uishi kwa amani ufurahie mahusiano na ndoa yako.
Whatsapp/call/normal sms 0672449796

Nipigie tutatue changamoto uliyonayo kuhusu afya yako ya uzazi Kwa ushauri na tiba karibu
17/05/2021

Nipigie tutatue changamoto uliyonayo kuhusu afya yako ya uzazi
Kwa ushauri na tiba karibu

HEDHI YA MABONGE MABONGE /HEDHI ILIYOGANDA Wanawake wengi hupata hali hii ya kupata hedhi ya Mabonge au hedhi iliyoganda...
17/05/2021

HEDHI YA MABONGE MABONGE /HEDHI ILIYOGANDA
Wanawake wengi hupata hali hii ya kupata hedhi ya Mabonge au hedhi iliyoganda ..wengi huisi kuwa ni hali ya kawaida ..
Kwa kawaida mwanamke hupata hedhi kuanzia siku 3 hadi 7 na hedhi huwa kwa ujazo wa mls 30 hadi 80 /ujazo wa kikombe kidogo cha chai ambao humlazimu kutumia Taulo za k**e/pedi 2 hadi 3 kwa siku bila kujaa sana.
Kwanini mwanamke hupata hedhi ya mabonge .
-kuharibika kwa mimba ambayo huweza kusababishwa na sababu mbalimbali .
-maambukizi kwenye uzazi (PID).
-kukaribia kwa ukomo wa hedhi (mono pause).
-mvurugiko wa homoni mwilini .
-saratani ya mlango wa kizazi .
-matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango.
-viuvimbe kwenye ukuta wa mimba (endometrial polysis).
K**a una changamoto ya kupata hedhi ya namna hii nitafute 0672449796

*JINSI YA KUTOFAUTISHA UTE UNAOTOKA UKENI K**A NI WA KAWAIDA AU NI SABABU YA MAAMBUKIZI*✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼🔘Kila mwanamke kat...
17/05/2021

*JINSI YA KUTOFAUTISHA UTE UNAOTOKA UKENI K**A NI WA KAWAIDA AU NI SABABU YA MAAMBUKIZI*
✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼
🔘Kila mwanamke katika maisha yake kuna muda anatokwa na ute katika viungo vyake vya uzazi,ute huu unaweza kuwa wa kawaida au ute unasababishwa na magonjwa.

🔘Ute wa kawaida ni ule ute unaotokea kwa sababu ya mifumo mbali mbali mwilini(physiological processes) Mara nyingi ute wa kawaida huwa hauambatani na muwasho sehemu za siri.Ute unaosababishwa na magonjwa huu mara nyingi huambatana na muwasho sehemu za siri na saa nyingine harufu kali,japo yapo magonjwa mengine yanayopelekea kutokwa na ute usioambatana na muwasho.

🔘Asilimia kubwa ya wanawake hawajui jinsi ya kupambanua ute upi ni wa kawaida na upi ni sababu ya magonjwa.Leo nitazungumzia kuhusu ute wa kawaida.

*UTE USIOKUWA NA MUWASHO UNAWEZA KUWA SABABU YA MIFUMO YA UTENDAJI KAZI WA MWILI AU UNAWEZA KUWA SABABU YA MAGONJWA*

*UTE WA KAWAIDA*

🔘K**a tunavyojua uke ni k**a njia inayounganisha kati ya viungo vya ndani vya uzazi mfano mji wa mimba na viungo vya nje. Kuta za uke huwa zinazalisha ute ute au majimaji,kuna kipindi maji haya yanaweza kutoka nje ya uke hali inayowafanya watu wasiojua kupambanua aina ya ute kuhisi labda ni wagonjwa nk.

🔘Ute huu unaozalishwa na kuta za uke unasaidia kuondoa au kutoa nje wadudu waletao magonjwa, Kuufanya uke kuwa na unyevunyevu muda wote,kufanya kiwango cha asidi au tindikali(PH) kuwa katika kiwango ambacho mbegu za kiume zinaweza kuvumilia endapo zitaingia zisife. Kikawaida PH ya uke ni ACIDIC ili kuzuia wadudu waletao magonjwa wasiweze kuingia na hali hii inasababishwa na wadudu wenye faida(normal flora) wanopatikana ndani ya uke kwa kila mwanamke.wadudu hawa ni k**a Lactobacilli na candida albicans.

🔘Ute huu ndani yake unakua pia na majimaji ya tishu, seli zilizokufa,protini na seli nyeupe za damu.

🔘Ute huu wa kawaida unakua k**a maji,hauna rangi na saa nyingine unaweza kuwa na k**a mawingu(cloudy),ute huu ubadilika na kuwa na rangi inayoelekea kuwa k**a njano pale unapokauka. Wingi wa ute huu huwa sio sana,unakua katika kiasi cha kulowanisha sehemu ya nje ya uke na kidogo nguo ya ndani na hauna harufu kali.

🔘Ute huweza kuongezeka kwa kipindi fu

Prostate cancer ( saratani ya Tezi dume)Wanaume wengi hawapendi kwenda kupima tezi dume baadhi yao hukaa kimya na kuogop...
17/05/2021

Prostate cancer ( saratani ya Tezi dume)
Wanaume wengi hawapendi kwenda kupima tezi dume baadhi yao hukaa kimya na kuogopa hata kusema dalili za ugonjwa huo kwa wenza wao.

Tezi dume ni sehemu moja wapo katk mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hi ipo mbele kidogo ya puru ( re**um) na chini kidgo ya kibofu cha mkojo na umee ( Urethra)

ZIJUE KAZI ZA TEZI DUME
Kutoa maji maji yanayochanganyikana na mbegu za kiume (s***m) shahawa
Maji maji hayo husaidia kuzipa mbegu za kiume nguvu ya kusafiri kwenye uke mpka kufika kwenye mirija ya fallopian tyr kwa utungisho na yai la k**e

KUVIMBA KWA TEZI DUME
Kwa kadri mwanaume anavyo zeeka ni kawaida kwa tezi kuongezeka ukubwa ( BPH)
Ukuaji wa tezi hupitia hatua mbili
1.Kipindi cha balehe
Tezi huongezeka ukubwa kwa mara mbili zaidi ya ilipokuwa awali
2 Kijana anapofikisha miaka 25 hadi 30ndipo hatua ya pili huanza, ukuaji huendelea kwa kiwango cha kasi na hutofautiana katibya mtu na mtu na hatimaye husababisha prostate cancer
3 Wakatibwa umri wa utu uzima (BHP) Tezi dume inapokuwa na kutanuka , utando wa tissue unalolizunguka nao hutanuka

DALILI ZA TEZI DUME
1 Kubana mirija ya kutolea mkojo (Urethra) kutoka kwenye kibofu
2.Kibofu kuwa dhaifu na kupoteza uwezo wa kuhisi kutoa mkojo wote na badala yake hubakia kiasi fulani cha mkojo kwenye kibofu k**a tunavyo jua mkojo ni sumu tyr inatakiwa kutoka sasa unabakia kwenye kibofu huleta cancer ya kibofu (prostate cancer) ndipo huitwa tezi dume
3.Kukojoa mara kwa mara kwa sababu mkojo hautoki wote kwenye kibofu

TEZI DUME HUSABABISHWA NA NINI
Ukosefu wa madini ya mwilini ambyo ni mhimu kwa kuzuia ukuaji wa tezi kupita kiasi, ukosefu wa madini ya zinc hipelekea tezi kukua kupita kiasi ndipo huleta prostate cancer kwa mwanaume kwa kubana mrija wa kutolea mkojo (Urethra)

SULUHISHO
Kula vyakula vyenye source ya k**a mbegu za maboga, matikiti, mapera meupe, aples, topetope, uyoga.
NB: Eat your food as your medicines Othewise you have to eat medicine as your food.
Tupigie tukusaidie kinga nibora kuliko tiba
0672449796

*Maumivu ya juu au ndani ya uke yanaweza pia kutokana na yafuatayo*☑️ Maambukizi kwenye viungo vya uzazi(P.I.D) k**a vil...
23/01/2021

*Maumivu ya juu au ndani ya uke yanaweza pia kutokana na yafuatayo*

☑️ Maambukizi kwenye viungo vya uzazi(P.I.D) k**a vile, shingo ya kizazi, mirija ya kizazi, tumbo la uzazi, yanaweza kusababisha maumivu kwa kukusanya usaha au kutunga majipu ndani yake.

☑️maambukizi kwenye njia ya mkojo(uti)

☑️Uvimbe kwenye ovary(ovariancyst)
☑️wakati mwingine pia tatizo k**a fibroid hupelekea mji wa mimba kuinama kwa nyuma na kupelekea maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

☑️Athari za tiba ya mionzi kwenye uke

☑️Mara chache dosari ya uumbwaji wa uke lakini pia hata upasuaji kwenye uke unapunguza ukubwa wa uke

*Pia Wanawake bikra ambao hufanya mapenzi kwa mara ya kwanza hupata maumivu zaidi kutokana na kutobolewa kwa ukuta unaoziba tundu, h***n na kusababisha maumivu yasiyokuwa ya kawaida

*DALILI ZA MAUMIVU YA UKE.*

☑️Kila mwanamke hutofautiana na mwingine kwenye dalili a maumivu haya, kutokana na kiwango chake cha maumivu jinsi anavyokisikia, juu ya uke, kati au ndani zaidi ya uke.

*Dalili ambazo mwanamke huzihisi mwenyewe mara kwa mara ni,*

➡️Uke kuwaka moto na kuchomachoma

➡️Kuhisi ana uke mdogo wakati wa tendo

➡️Maumivu ambayo hukata baada ya saa chache tangu kufanya tendo.

➡️Maumivu wakati uume unaingia na kutoka kwenye uke

➡️Maumivu kila uume unapoingia, hii ishara ya kubana kwa misuli ya uke
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

*MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA.*✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼maumivu ya uke wakati wa tendo la ndoa kitaalamu hujulikana k**a *Dyspar...
23/01/2021

*MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA.*
✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼
maumivu ya uke wakati wa tendo la ndoa kitaalamu hujulikana k**a *Dyspareunia* yanaweza kutokea maramoja au kwakujirudiarudia kabla au baada ya kujamiana.

⏩Maumivu haya huweza kutokea ndani zaidi au nje ya uke, yanachoma na mwanamke kuhisi uke unawaka moto.

⏩Kwanza, ni muhimu kutambua kwamba*dyspareunia* sio ugonjwa, bali ni dalili ya ugonjwa wa kimwili au wa kisaikolojia.Matukio yote yanaweza kugawanywa katika maumivu ya uke yanayotokea ndani zaidi ya juu ya uke.

*AINA ZA MAUMIVU YA UKE.*

☑️Maumivu ya uke yamegawanyika katika makundi mawili
*Maumivu ya awali au ya msingi na Maumivu ya sekondari*

➡️Maumivu ya awali ya uke ni yale ambayo hutokea katika kipindi cha kujamiana.

➡️Maumivu ya sekondari jmn ni yale maumivu ambayo hutokea baada ya kujamiana, masaa au siku kadhaa mbele baada ya kujamiana.
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzazi tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Uzazi tips:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram