TRUST Healthcare Specialized Clinics

TRUST Healthcare Specialized Clinics Trust Healthcare Specialized Clinic is a new modern Health center that is opened to provide health services to all Tanzanian people.

Hongereni Maharusi! Kila la heri katika maisha yenu ya ndoa. Stay blessed!
02/09/2023

Hongereni Maharusi! Kila la heri katika maisha yenu ya ndoa. Stay blessed!

14/09/2019
Hakika ni habari njema kwa wakazi wa Kigamboni......sasa kupitia Trust Healthcare Specialized Clinic unaweza kupima vido...
11/08/2019

Hakika ni habari njema kwa wakazi wa Kigamboni......sasa kupitia Trust Healthcare Specialized Clinic unaweza kupima vidonda vya tumbo na magonjwa mengine yote yanayohusiana na mfumo wa chakula bila kuvuka bahari. Pamoja na hayo pia unaweza kumleta mwanao anayesumbuliwa na magonjwa yoyote kumuona daktari bingwa wa watoto anayepatikana hapa Trust. Huduma hizi zote zimeletwa Karibu kabisa na nyumbani kwako, hivyo huhitaji tena kuvuka bahari kupata huduma hizi.
Karibuni sana!!

Karibuni sana!Welcome all!
11/08/2019

Karibuni sana!
Welcome all!

Habari njema kwa wateja wetu. Sasa Trust Healthcare Specialized Clinic inatoa huduma kwa wanachama wa mfuko wa taifa wa ...
11/08/2019

Habari njema kwa wateja wetu.
Sasa Trust Healthcare Specialized Clinic inatoa huduma kwa wanachama wa mfuko wa taifa wa bima ya afya.
Karibuni sana kupata huduma bora kabisa.
Great news for our customers!!
Trust Healthcare Specialized Clinic now offers services to members of the National Health Insurance Fund (NHIF).
Welcome for the best health services in town.

Our Staff!
05/04/2019

Our Staff!

27/02/2019

Ratiba za kufanya kipimo cha Ultra Sound!! Weka appointment yako mapema!! Karibuni sana.

12/02/2019

Huduma kwa watu wanaotumia zitaanza hivi karibuni. Karibuni sana!!

12/02/2019

Soon we shall be offering services to clients who use NHIF. You’re all welcome for the best health services in the country!!!

24/11/2018

Trust Healthcare Specialized Clinic is a new modern Health center that is opened to provide health services to all Tanzanian people.

Address

KIGAMBONI/GEZAULOLE
Dar Es Salaam
65149

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TRUST Healthcare Specialized Clinics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to TRUST Healthcare Specialized Clinics:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram