05/11/2025
๐ฏ๏ธ Salamu za Pole ๐ฏ๏ธ
Tunatoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao. Tunawaombea wapumzike kwa amani, na kwa wote waliojeruhiwa โ Mwenyezi Mungu awaponye na kuwarejeshea afya njema.
Mungu ibariki Tanzania ๐น๐ฟ
Mungu ibariki Afrika ๐