Maisha Doctors

Maisha Doctors Lengo letu ni kutoa elimu ya afya kwa magonjwa yote pamoja na ushauri wa kitaalamu na vipimo.

Elimu ya afya kwa magonjwa mbambali mbali, Ushauri, vipimo na kukutanishwa na daktari wa karibu yako.

Afya ya uzazi  kwa Mwanaume
01/03/2022

Afya ya uzazi kwa Mwanaume

Ijue hedhi salama na isiyo salama kupitia andiko hili
25/02/2022

Ijue hedhi salama na isiyo salama kupitia andiko hili

hedhi ya kuteleza K**a hujawahi kupata hedhi ya kuteleza mithili ya mlenda, inaweza kukuchanganya sana akili siku ya kwanza. Kwa mwanamke kuwa na mzunguko mzuri wa hedhi ni jambo la kujivunia na linaloleta heshima sana. Mzunguko wa hedhi unaweza kutoa picha kamili nini kinaendelea kwenye mwili wa mw...

Kupunguza hatari ya mimba kuharibika ..👇👇1. usifanye kazi ngumu 2.anza mapema kutumia folic acid ukishajigundua tu una m...
18/01/2022

Kupunguza hatari ya mimba kuharibika ..👇👇
1. usifanye kazi ngumu
2.anza mapema kutumia folic acid ukishajigundua tu una mimba
3.Zingatia mlo kamili-kula makundi yote ya vyakula
4.Fanya mazoezi madogo ya kutembea na kuogelea
5.Usivute siga na usinywe pombe
6.Dhibiti msongo wa mawazo na
7. Usinywe dawa yoyote isipkuwa ulizoandikiwa hospitali

Wahitaji kupunguza tumbo?? Ok jaribu hili zoezi rahisi sana bila hata kwenda gym. Fanya kwa maelekezo ya kwenye bango ki...
30/09/2021

Wahitaji kupunguza tumbo?? Ok jaribu hili zoezi rahisi sana bila hata kwenda gym. Fanya kwa maelekezo ya kwenye bango kila siku kwa siku 30 utaona maajabu.

Wataka kupunguza tumbo?,jaribu hili zoezi kwa siku 30 tu litakupa matokeo. Kumbuka hii siyo pushups, unatulia kwa muda k...
30/09/2021

Wataka kupunguza tumbo?,jaribu hili zoezi kwa siku 30 tu litakupa matokeo. Kumbuka hii siyo pushups, unatulia kwa muda kadhaa k**a picha inavoonesha.

Suluhisho la Kufika kileleni mapema bila vidonge 👇
12/07/2021

Suluhisho la Kufika kileleni mapema bila vidonge 👇

Kuwahi kufika kileleni ni tatizo kubwa mno kwa sasa. Ninapokea simu zaidi ya 30 kila siku za wahanga wakihitaji tiba zetu asili ili kurejesha nguvu za kiume

Hizi ni njia salama za Kusafisha kizazi baada ya Abortion👇
06/07/2021

Hizi ni njia salama za Kusafisha kizazi baada ya Abortion👇

Kupona baada ya kutoa mimba kunatofautiana kwa kila mwanamke. K**a ulitoa mimba changa utapona mapema. Dawa hizi asili kusafisha kizazi bila kutumia vyuma

Fahamu zaidi Kuhusu Antibiotics. Matumizi na Madhara pia👇
03/07/2021

Fahamu zaidi Kuhusu Antibiotics. Matumizi na Madhara pia👇

Antibiotics ni dawa zinazotumika kutibu maambukizi ta bakteria. Kwa jina lingine tunaita antibacterials. Zinatibu maambukizi kwa kuua bakteria wabaya mwilini.

Hivi ndivyo tiba ya mionzi inavofanya kazi kwa mgonjwa wa saratani.
02/07/2021

Hivi ndivyo tiba ya mionzi inavofanya kazi kwa mgonjwa wa saratani.

Chemotherapy na tiba ya mionzi ni moja ya tiba kuu zinazotumika kwa mgonjwa saratani aina nyingi. Tiba hizi mbili zina lengo moja la kutibu saratani

Soma hapa 👇Mazoezi na Vyakula Vya kuongeza makalio
26/06/2021

Soma hapa 👇Mazoezi na Vyakula Vya kuongeza makalio

Tofauti na wengi wanavodhani kwamba makalio makubwa ni mpaka uzaliwe nayo, ukweli ni kwamba unaweza kuongeza makalio yakawa makubwa kwa njia salama bila vidonge

Hatari ya kufanya ngono kinyuma na maumbile👇
19/06/2021

Hatari ya kufanya ngono kinyuma na maumbile👇

Ngono au tendo kinyume na maumbile kupitia njia ya haja kubwa/kuliwa tigo ilikuwa ni utamaduni wa wazungu kwa miaka ya nyuma. Lakini kwa sasa imekuwa fasheni

Umepima na mirija imeziba? Unaugua PID na fangasi sugu ukeni? Ama unatafuta mimba kwa muda mrefu bila mafanikio? Tumia V...
16/06/2021

Umepima na mirija imeziba? Unaugua PID na fangasi sugu ukeni? Ama unatafuta mimba kwa muda mrefu bila mafanikio?
Tumia Vidonge vya Uterus cleansing pills upate matokeo, uwe mmoja wa mashuhuda wetu.

Address

Magomeni Mwembechai
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 14:00 - 19:00

Telephone

+255678626254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha Doctors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Maisha Doctors:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category