Oliver AFYA

Oliver AFYA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Oliver AFYA, Health & Wellness Website, Dar es Salaam.

03/02/2026

❗HILI NI SULUHISHO LA MAGONJWA SUGU YASIYOAMBUKIZA.

KWA TZS 30,000/=

✅Utamuona daktari

✅Utafanya uchunguzi wa mwili wako kubaini vyanzo vya
magonjwa yanayokutatiza

✅Utapendekezewa suluhisho kupitia lishe salama za afya
zinazoondoa Chanzo cha Tatizo kwa magonjwa
Yasiyoambukiza

k**a Presha, kisukari, kansa,matatizo ya in na Figo, changamoto za mmeng'enyo wa chakula, tumbo kujaa gesi, bawasili, Fangasi, UTI, PID, Nguvu za kiume, kiwango kidogo cha mbegu, maumivu ya mifupa na mgongo, miguu kuwaka moto, ganzi na matatizo ya Ngozi.

____________________________________________________________________________

📍 Tunapatikana DAR ES SALAAM na mikoa yote.

📞/WHATSAPP NO : 0743 978 931

JINSI LISHE DUNI INAVYO HARIBU HORMONE. 1,Ukosefu wa mafuta mazuri mwilini✍️Bila mafuta ya kutosha estrogen hushuka.2,Up...
03/02/2026

JINSI LISHE DUNI INAVYO HARIBU HORMONE.
1,Ukosefu wa mafuta mazuri mwilini
✍️Bila mafuta ya kutosha estrogen hushuka.
2,Upungufu wa protein.
✍️Protini hujenga homon na mayai ya uzazi bila protini ovulation hushindwa.
3,Upungufu wa iron(damu kidogo)
✍️Hedhi hubadirika mwili unachoka sana.
4,kukosa vitamini$madini(zinc,vitamini D,B complex)
✍️Homon zinapoteza balance.
5,Kupungua uzito sana au kula mlo mmoja tuhuu

LISHE DUNINHUPELEKEA MADHARANKAMA.1,Mvurugiko wa hedhi inaweza kuchelewa,kupata kwa uchache au kuto pata kabisa.2,Mayai ...
03/02/2026

LISHE DUNINHUPELEKEA MADHARANKAMA.
1,Mvurugiko wa hedhi inaweza kuchelewa,kupata kwa uchache au kuto pata kabisa.
2,Mayai kutokukomaa vizuri(inasababisha ugumu wa kupata mimba).
3,Ukavu ukeni(ute kupungua na kupelekea maumivu wakati wa tendo.
4,Hatari ya mimba kutoka au mtoto kuzaliwa na uzito mdogo sana.
5,Uchovu mwingi, upungufu wa damu(Anemia) mwili hauna nguvu ya kubeba mimba.

27/01/2026

WAHI TIBA KUEPUKA CHANGAMOTO KUWA KUBWA

27/01/2026
KULA VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHO  VINAVYO Linda mwiliKujenga mwiliKukinga mwili. Na kuup mwili nguvu
26/01/2026

KULA VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHO VINAVYO
Linda mwili
Kujenga mwili
Kukinga mwili.
Na kuup mwili nguvu

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONE IMBALANCE) KWA WANAWAKEUPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONEHii ndio aina kubwa zaid...
23/01/2026

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONE IMBALANCE) KWA WANAWAKE

UPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONE

Hii ndio aina kubwa zaidi ya mvurugiko wa homoni inayowasibu wanawake wengi sana wa rika zote. Vyanzo mara nyingi huwa ni mfumo wa ulaji pamoja na matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango.

📍Dalili zake ni pamoja na:

Premenstrual syndrome (Hali inayomkumba mwanamke wiki moja hadi mbili kabla ya kuona siku zake k**a uchovu, miwasho sehemu za siri, vipele vyekundu au vyeusi hasa usoni, pamoja na mabadiliko ya mood)

🍡Kutoka kwa mimba

🍡Kuongezeka uzito ghafla

🍡Wasiwasi (Anxiety)

🍡Kukosa usingizi

🍡Maumivu au Vimbe kwenye maziwa

🍡Kupata Kizunguzungu mara kwa mara

→ Ugumba

👉🏻 UPUNGUFU WA ESTROGEN

Aina hii ya mvurugiko wa homoni ipo zaidi kwa wanawake wanaopitia ukomo wa hedhi kutokana na umri (menopause)

ZIJUE FAIDA 9 ZA  TIBA YETU YA PID 1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanao...
21/01/2026

ZIJUE FAIDA 9 ZA TIBA YETU YA PID

1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

2⃣inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu
3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D
4⃣huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango)
9⃣ inaondoa michubuko ukeni,.

TIBU CHANGAMOTO YAKO SASA KUEPUKA GHARAMA HAPO BADAYE
20/01/2026

TIBU CHANGAMOTO YAKO SASA KUEPUKA GHARAMA HAPO BADAYE

🥦TIBA YA AFYA YA UZAZI KWA LISHE SALAMA ZA MWILI AMBAZO   🥬Zitasafisha mwili    🥬Zitatibu afya ya uzazi    🥬zitajenga af...
19/01/2026

🥦TIBA YA AFYA YA UZAZI KWA LISHE SALAMA ZA MWILI
AMBAZO
🥬Zitasafisha mwili
🥬Zitatibu afya ya uzazi
🥬zitajenga afya ya uzazi
🥬Zitatibu afya ya uzazi.

✅️TUNAPATIKANA MIKOA YOTE TANZANIA
0️⃣7️⃣4️⃣3️⃣9️⃣7️⃣8️⃣9️⃣3️⃣1️⃣

🤷‍♂️ *TOFAUTI YA PID, FANGASI NA UTI* 📌Haya ni Magonjwa yanayosumbua sana Mfumo wa Uzazi wa mwanamke... Yana fanana baad...
12/01/2026

🤷‍♂️ *TOFAUTI YA PID, FANGASI NA UTI*

📌Haya ni Magonjwa yanayosumbua sana Mfumo wa Uzazi wa mwanamke... Yana fanana baadhi ya dalili lakini ni tofauti kabisa

📌Kinachotofautisha PID Na mammbukizi mengine ni Kwamba PID ni maambukizi yaliyofika kwenye KIZAZI

📌UTI ni maambukizi ya Bacteria(E.Coli). Hawa wanakaa kwenye Kibofu wasipotibiwa huwa wanapandisha hadi kwenye Figo na kupelekea UTI SUGU

📌 Hapa hata utumie dawa za pharmacy aina 500 huwezi pona.. Ila utakuwa unatuliza tu maumivu😭

🧏 *Fungus wanakaa kwenye kuta Za Uke. Na wanaweza kufika kwenye Kizazi wakasababisha PID Pia.* wasiliana na mi 0743 978 931

📌PID Anaweza kupata mtu yoyote yule hata awe Bikra😃( mara nyingi kutokana na Fungus)
Ukiachilia fungus, Kuna Maambukizi Mengine /Magonjwa ya zinaa yanashambulia kizazi na kusababisha PID.

🧏Makao makuu ya PID ni Kwenye Kizazi

Ili usipate PID
1️⃣ Usitoe Mimba
2️⃣Tibu Maambukizi yoyote ukeni mapema
3️⃣Punguza matumizi ya sukari
4️⃣Acha kushiriki s*x na kila mwanaume.

NINI HASA CHANZO CHA MIMBA KUHARIBIKA BILA YA WAKATI:1,wakati wa ujauzito mwili hupeleka virutubisho na homoni kwenye ki...
11/01/2026

NINI HASA CHANZO CHA MIMBA KUHARIBIKA BILA YA WAKATI:

1,wakati wa ujauzito mwili hupeleka virutubisho na homoni kwenye kiumbe kinachokuwa, hivi vyote husaidia kiumbe kuwa na afya njema na kukuwa vizuri, mimba nyingi zinazoharibika kwa miezi mitatu ya mwanzo nikutokana na kiumbe kudumaa,
2kuna sababu nyingi zinasosababisha mimba kuharibika K**a zifuatazo;

VINASABA
✓karibu 50% mimba zinatoka kabla ya wakati ni kutokana na makosa ya kwenye vinasaba,
✓makosa yanaweza kufanyika pale tu seli za kiumbe zinapogawanyika, au inaweza kutokea K**a Kuna majeraha kwenye mbegu ya kiume au yai la mwanamke,

MATATIZO YA KIAFYA
✓Matatizo ya kiafya pamoja na mtindo wa maisha unaweza kupelekea mimba kutoka, hasa kwenye kipindi Cha miezi mitatu ya pili (second trimester)

MAZINGIRA YAFUATAYO YANAWEZA KUHATARISHA MIMBA KUTOKA
1,lishe mbaya kukosa virutubisho
2, Matumizi ya pombe na sigara kwa wingi
3,Matatizo kwenye tezi ya thairodi ambayo hayajatibiwa,
4,Maambukizi kwenye njia ya Uzazi
5, miwasho isiyo Isha
6 kutokwa na uchafu

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Oliver AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram