Fadhaget Sanitarium Clinic

Fadhaget Sanitarium Clinic Fadhaget ni Clinic kubwa inayotoa tiba halisi ya Mimea na Matunda. Ni clinic inayotumia mimea na matunda kufanya utafiti na kutengeneza dawa bora za tiba.

Fadhaget Sanitarium Clinic wamekuwa wakifanya tafiti kubwa za kutumia mimea na matunda asilia bila matumizi ya madawa ya kisasa. Tunaamini kwa kutumia mimea na matunda ambayo ni njia asili tangu zama za kale zitasaidia kutibu magonjwa mengi sugu ambayo yamekuwa yakisumbua wengi bila msaada wowote. Hivyo tunasisitiza watu kuja na kupata tiba na ushauri. Huduma zetu ni za bei nafuu kabisa na pia tunatoa ushauri kwa watu wote. Tunapatikana katika mikoa zaidi ya 10 nchini na mpaka Congo, Kenya, Uganda na bado tunaendelea kuongeza matawi yetu. Tunawakaribisha wote kuja kupata huduma zetu bora kabisa.

Address

P. O. Box 42029
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fadhaget Sanitarium Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Fadhaget Sanitarium Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category