08/10/2025
🎉 Wiki ya Huduma kwa Wateja! 🎉
Wiki hii tunasherehekea nyie — wateja wetu wapendwa ambao mmekuwa sehemu ya familia ya SIKAF Eye Care. 🤍
Tunawashukuru kwa imani yenu na upendo wenu katika huduma zetu kila siku.🌺
K**a ishara ya shukrani, wateja wote waliowahi kupima au kuchukua miwani SIKAF wanapata huduma ya kupima macho BURE wiki hii! 👁️✨
Na kwa wateja wapya, hatujawasahau kabisa! 🤝
Tumewaandalia zawadi mbalimbali pamoja na OFA maalum zitakazopatikana kipindi chote cha wiki hii. 🎁
Ofa hizi zote zinamalizika Ijumaa ya wiki hii, hivyo usikose nafasi yako!
Karibu SIKAF Eye Care kwa huduma bora ya Afya ya macho yako💙
Tunapatikana Kariakoo gerezani mataa ya kamata,wasiliana nasi kwa simu namba 0676 506 323.