LOSA G Health CARE

LOSA G  Health CARE TAMBUA AFYA YAKO IKOMBOE AFYA YAKO KWA FOOO SUPPLEMENT =TIBA LISHE

*NDUGU WANAINCHI MNAKARIBISHWA  KUJIANDIKIASHA NA KUJIUNGA  HUDUMA YA BIMA YA AFYA CHF FIKA TABATA ZAHANATI*  PIGA SIMU ...
09/07/2025

*NDUGU WANAINCHI MNAKARIBISHWA KUJIANDIKIASHA NA KUJIUNGA HUDUMA YA BIMA YA AFYA CHF FIKA TABATA ZAHANATI*
PIGA SIMU *+255769716435*

**VIWANGO VYA KUCHANGIA MWANACHAMA WA CHF KWA MWAKA*

*✍️TSH 40,000*
MTU MOJA BILA KUJALI UMRI KUANZIA MTOTO MPAKA MZEE

*✍️TSH 150,000*
FAMILIA YENYE IDADI YA WATU 6 yaani
Watu wazima wawili
Watoto wanne walio chini ya UMRI wa miaka 18

*✍️UTARATIBU WA MATIBABU*

HUDUMA zinapatikana kuanzia Ngazi ya Zahanati mpaka hospitali ya RUFAA ya mkoa Kwa njia ya RUFAA
Mikoa yote ya TANZANIA BARA

*HUDUMA UTAKAZOPATIWA MWANACHAMA WA BIMA YA AFYA YA ICHF*

✅Kufungua faili na kumuona daktari

✅ vipimo vya maabara
Dawa sindano kufunga vidonda POP

✅Matibabu ya maogonjwa yote ya kwenda na kurudi pamoja na kulazwa yaani ( OPD &IPD)

✅Afya ya uzazi

✅HUDUMA za wajawazito

✅ Afya akili

✅ x ray na Ultrasound

✅Macho bila miwani

✅Masikio bila ENT Mshine

✅Upasuaji mdogo na mkubwa

🇹🇿✍️Kwa maelezo zaidi
+255769716435
By
Chw
LOH SAMWEL GUNDA
AHSANTE 🙏🇹🇿✍️🙏🙏😀😀
wote mnakaribishwa

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Lgu0PLNFn5w4VyiELUshW3NINA SAIDIA WANAUME KUACHA K...
30/05/2023

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Lgu0PLNFn5w4VyiELUshW3
NINA SAIDIA WANAUME KUACHA KUJICHUA (PUNYETO) PROGRAMU NI NDANI YA WIKI MBILI TU UTAONA MATOKEO KARIBU BONYEZA HIYO LINK KUJIUNGA NIKUSAIDIE UPONE KABISA TATIZO LAKO HILO KUJIUNGA NI BURE NA PROGRAM NI BURE KABISA

WhatsApp Group Invite

06/02/2023

*UMUHIMU WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA*
_________&_&&_______
mshauri:
*LOTH SAMWEL GUNDA*
call
*+255655716435*
or Whatsapp no
*+255769716435*

*SARATANI YA MATITI NI NINI?*
Ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye mat**i Saratani hii kwa kawaida Haina dalili katika hatua za mwanzo.
Wanawake katika hatua za mwanzo za ugonjwa hawana maumivu au dalili nyingine zozote.
Uchunguzi wa awali awali ndio utakaowezesha kugundua ugonjwa katika hatua hii.
⬇️
*DALILI ZA SARATANI YA MATITI au Mabadiliko yaletwayo nasaratani ya mat**i*
✍️Kuvimba katika t**i au kwenye makwapa
✍️mabadiliko ya umbo na ukubwa wa mat**i
✍️kutoka na majimaji au damu katika chuchu ama chuchu kuingia ndani ya ziwa
✍️mabadiliko katika rangi ya ngozi ya t**i (kuonekana K**a sehemu ya nje ya Ganda la chungwa)

*MAMBO YANAYOCHANGIA KUOATA SARATANI YA MATITI*
✍️jinsi ya k**e
✍️kuanzia hedhi katika UMRI mdogo au kukoma hedhi katika UMRI mkubwa
✍️kutokuzaa kabisa
✍️kutokunyonyesha kabisa au kunyonyesha kwa muda mfupi
✍️Utumiaji wa mafuta mengi katika chakula
✍️Kutofanya mazoezi ya Mara kwa Mara
✍️Unene kupita kiasi
✍️Uvutaji wa sigara
Utumiaji wa pombe kupita kiasi
✍️Historia ya Saratani ya mat**i katika familia
⬇️
*JINSI YA KUJILINDA NA SARATANI YA MATITI*
⬇️
✍️Kujichunguza mwenyewe Mara kwa Mara
✍️pata uchunguzi wa kitabubu Kila mwaka
✍️Uchunguzi wa mat**i kwa njia ya mashine ya mionzi Mara moja kwa mwaka kwa wenye miaka zaidi ya 40
✍️Wanawake wote wenye umri kuanzia miaka 21 wajichunguze mat**i Yao siku ya 5 Hadi 7 baada ya kumaluza hedhi mbele ya kioo
⬇️
*TIBA YA SARATANI YA MATITI*
✍️Upasuaji katika hatua za mwanzo
(Operation)
✍️Dawa kwa njia ya drip
(chemotherapy)
✍️Tiba ya Mionzi
✍️Tiba ya vichocheo
⬇️
*TAHADHARI ZINAZOTAKIWA KUCHUKULIWA MARA UONAPO DALILI ZILIZOTAJWA HAPO JUU*
✍️
Nyanyua mikono juutazama K**a Kuna mabadiliko yote katika mlingani wa t**i
✍️Ukiwa umesimama au umelala chalimkono pamoja na kipaja Cha vidole vya mkono wa Julia kuchunguza la kushoto kwa njia ya mzunguko
✍️Kwa polepole K**a chuchu ya Kila t**i chunguza K**a Kuna Ute uliochanganyika na damu
✍️Nenda kamuone daktari K**a Kuna uvimbe au Ute uliochanganyika na damu au Hali yeyote uliyoona wakati wa Kujichunguza
✍️*NB*
Ni vizuri kufika Mara moja kwa mwaka katika kituo Cha afya kilichokuwa karibu na wewe kwa uchunguzi zaidi
Karibu katika zahanati ya Tabata wanatoa HUDUMA hii ya uchunguzi wa
✅Saratani ya
Mat**i
✅Saratani ya mlango wa kizazi
✅Saratani ya tezi dune
Kwa ushauri na msaada zaidi wasiliana na Mimi
Call +255655716435
Whatsapp no
+255769716436
By
*LOTH SAMWEL GUNDA*

06/07/2022
*UTOKWAJI WA UCHAFU UKENI   (_ABNORMAL DISCHARGE ) NA UCHAFU USIO WA KAWAIDA (ABNORMAL DISCHARGE).*Mshauri*LOTH SAMWEL G...
10/02/2022

*UTOKWAJI WA UCHAFU UKENI (_ABNORMAL DISCHARGE ) NA UCHAFU USIO WA KAWAIDA (ABNORMAL DISCHARGE).*
Mshauri
*LOTH SAMWEL GUNDA*
call +255655716435
Whatsapp no
+255769716435

*HII INAWEZA KUWA MOJA YA DALILI KUBWA YA P.I.D*

*NAMNA YA KUYATOFAUTISHA MAJIMAJI UKENI*

Utokwaji wa majimaji katika via vya uzazi vya mwanamke ni hali ya kawaida. *Ni katika mwili wa mwanamke kujisafisha.* lakini maji maji haya yanatakiwa kuwa katika hali ya kuweza kuwa manageable yaani kutawalika na siyo kuwa `sehemu ya kero kwa maana ya kutumia taulo au vitu vingine katika kuyadhibiti, pia yasiwe na harufu mbaya inayoambatana na miwasho .

*Ukiona viashiria vifuatavyo katika utokwaji wa haya maji maji ujue siyo wa hali ya kawaida k**a ifuatavyo*

⏩ ```Kiasi cha maji maji haya yakiwa mengi kiasi cha kushindwa kujistili hiyo siyo hali ya kawaida.
```
⏩ ```Yenye rangi k**a maziwa mtindi yanayoambatana na miwasho siyo hali ya kawaida. Hiyo inaashiria``` una ```maambukizi wa bacteria``` ```unahitaji``` tiba.

⏩ ```Rangi k**a brown inayoelekea katika wekundu inaweza ikawa ni hali ya kawaida kwenye rangi ya brown katika kipindi cha mzunguko wa hedhi lakini ukiona kipindi hicho kimeshaisha na bado una hii changamoto hiyo siyo hali ya kawaida.```

⏩ ```Pia utokwaji wa maji maji hayo inaweza kuwa ni kiashiria cha kujaa maji katika mirija ya uzazi hali ambayo inaweza kupelekea kuziba kwa mirija hiyo Na kushindwa kubeba mimba.

N.B. k**a kuna uchafu wa rangi nyeupe isiyo nata wala kutoa harufu na miwasho ukeni hayo ndo maji maji au discharge ya kawaida. lakini k**a umeona katika hizo rangi zingine zimekugusa basi upo hatarini na``` ```unatakiwa uwaone madaktari mara moja.

Pia k**a umesumbuka kwa muda mrefu bila mafanikio basi ni vema ukawasiliana nami sasa kwanini ushauri na tiba

*NI SISI WENYE KUJALI AFYA YAKO*

*UGONJWA WA PID* (Pelvic Inflammatory Disease)Mshauri*LOTH SAMWEL GUNDA*Call+255655716435Whatsapp no+255769716435au Maam...
09/02/2022

*UGONJWA WA PID* (Pelvic Inflammatory Disease)
Mshauri
*LOTH SAMWEL GUNDA*
Call+255655716435
Whatsapp no
+255769716435
au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa
Mwanamke.
Magonjwa ya zinaa ndio sababu kuu ya
wanawake kupata maambukizi katika mfumo wa
uzazi yani (PID). Mwanamke 1 kati ya wanawake 8 walipota PID katika wakati wowote ndani ya maisha yao hupata tabu kushika mimba

*(PID) NI NINI?*
PID ni maambukizi katika mfumo wa uzazi wa
mwanamke na mara nyingi husababishwa na
magonjwa ya zinaa k**a gonorrhea na
chlamydia ila kuna aina ya maambukizi mbali na
magonjwa ya zinaa yanaweza kusababisha
maambukizi ya PID.

*JE! MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?*
Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza
kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na:
- K**a una ugonjwa wa zinaa na haijatibiwa
- Kufanya ngono zembe isiyo salama (yani kulala
na wanaume tafauti tafauti)
- Kuwa na mpenzi ambaye ana wanawake wengi
nnje
- K**a umekuwepo na historia ya PID hapo
nyuma
- Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara
baada ya kujifungua (au postpartum period)
- Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya
kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post
abortion) au mara baada ya mimba kutoka
(miscarriage)
- Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa
uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa
mpango
- Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya
PID
- Kutumia (Vaginal Dauche)

*UTAJUAJE UKO NA (PID)?*
Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID.
Miongoni mwa dalili hizi ni:
- Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa
maeneo ya chini ya kitovu
- Kupata maumivu ya mgongo
- Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za
siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kupata maumivu au kutokwa na damu wakati
wa tendo la ndoa
- Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
- Kupata homa
- Kupata damu innje ya siku zako zako za-
kawaida kupata damu ya hedhi
- Wakati fulani kuhisi kichefuchefu k**a
mwanamke mja mzito na kutapika

*VIPIMO VYA PID*
Hakuna vipimo maalum kudhibitisha mwanamke
ameathirika ila Dactari hujua mwanamke
ameathirika baada ya kuchukua historia ya
muhusika na kufanya vipimo vingine k**a:
- Kuchunguza mkojo ili kufahamu k**a mgonjwa
ana mimba. Kipimo hiki ni muhimu hasa kwa
mwanamke aliye katika umri wa kuzaa au
mwenye uwezo wa kubeba mimba
- Uchunguzi wa mkojo kwenye darubini ili
kutambua aina za vimelea vinavyomletea
mgonjwa uambukizi. Aidha mkojo huweza
kuoteshwa katika maabara kwa ajili ya kutambua
aina nyingine za vimelea viletavyo uambukizi huo.
- Kupima damu kwa ajili ya kuchunguza jinsi aina
mbalimbali za chembe za damu zilivyoathiriwa na
uambukizi huo au k**a kuna mwingiliano na
magonjwa mengine yaliyojificha. Kipimo hiki kwa
kitaalamu huitwa (Full Blood Picture).
- Kuchukua utando unaozunguka shingo ya uzazi
na kuuotesha kwa ajili ya utambuzi wa aina za
vimelea viletavyo maambukizi hayo. Kipimo hiki
huitwa (Cervical culture)
- Aidha ni muhimu pia kufanya vipimo vingine kwa
ajili ya utambuzi wa magonjwa yaambukizwayo
kwa njia ya kujamiiana, k**a vile virusi vya
ukimwi na kisonono.
- Mgonjwa pia anaweza kufanyiwa ultrasound ya
nyonga ili kuangalia k**a kuna athari yeyote
katika mfumo wake wa uzazi.

*JE PID INAWEZA KUTIBIWA?*
Jibu ni ndio k**a itagunduliwa mapema inaweza
kutibiwa na ikaisha, ila ieleweke k**a tayari
ilikuwa imeharibu njia za uzazi uharibifu ule
haiwezi kurekebishwa. Kila mara ukichelewesha
kutibu PID ndivyo itaharibu mfumo wako wote wa
uzazi sasa ni muhimu ukiona mojawapo wa dalili
nilizozitaja utembelee daktari ili upate tiba. Hata
k**a utatibiwa na zile dalili zikapotea hakikisha
kila mara unashauriana na daktari wako na
ukipata mume mwingine ni muhimu umueleze ili
mpate matibabu msi-ambukizane mara kwa
mara. Ijulikane k**a ulikuwa na PID awali
inaweza kurudi mara kwa mara.

*MATIBABU*
Mara mgonjwa anapogunduliwa kuwa
ameathiriwa na ugonjwa huu, dawa za jamii ya
antibayotiki huweza kutumika kwa ajili ya kuua
vimelea vya ugonjwa .
Ieleweke pia mara nyingi ugonjwa hujirudia mara
kwa mara k**a mwanamke atapewa tiba na
mume asitibiwe. Na k**a maambukizi imekuwa
sugu inabidi muathiriwa amueleze daktari ili
apate kutumia anti-biotics kwa mda mrefu kuliko
kawaida. Lakini muhimu sana mwanaume apewe
dawa wakati mwanamke anatibiwa. Ikiwa
mwanamke peke yake atapata tiba pindi atakapo
lala na mwanaume yule yule maambukizi
yatarejelea.
*MADHARA YAKUTO-FWATA MATIBABU*
- Maumivu ya mfuko wa uzazi wakudumu
- Utapata ugumu wa kushika mimba
- Ectopic pregnancy (mtoto kuwa innje ya mfuko
wa uzazi)
- Kuziba kwa njia ya uzazi

*JINSI YA KUZUIA MAAMBUKIZI*
Kuna njia kadhaa za kuzuia maambukizi katika
mfumo wa uzazi. Njia hizi ni pamoja na:
- Njia hakiki ya kujizuia na maambukizi haya ni
kuwacha ngono zembe na kufanya ngono salama
- Kuwahi kuwaona wataalamu wa afya mara dalili
za ugonjwa huu zinapoanza kujitokeza au pindi tu
unapogundua kuwa mwenzi wako ana dalili za
magonjwa ya zinaa au anatembea na wanawake
wengine
- Kufanya vipimo mara kwa mara hasa vya
mfumo wa uzazi, pamoja na vipimo vya
maambukizi ya magonjwa yanayosambazwa kwa
njia ya ngono (STI) khususan ugonjwa wa
chlamydia ufanyie vipimo kila mwaka mara 1
- Kutofanya ngono mara baada ya kujifungua,
mimba kutoka au mara baada ya kutoa mimba ili
kuhakikisha njia ya shingo ya uzazi imefunga
vema.
Ahsante

*SARATANI YA TEZI DUME*Tezi dume ni nini?Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kuten...
23/01/2022

*SARATANI YA TEZI DUME*

Tezi dume ni nini?

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.

*Ipo wapi?*

▪️Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguks mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.

_*Saratani ya tezi dume ni nini?*_
▪️Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini

*Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume*

▪️Umri Mkubwa kuanzia miaka 50

▪️Nasaba (ukoo wenye historia a saratani hii

▪️Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu

▪️Unene uliokithiri

▪️Ukosefu wa mazoezi

▪️Upungufu wa virutubisho,mfano vit D.

▪️Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume

*Dalili zake ni zipi?*
▪️Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
▪️Kwenda kukojoa mara kwa mara.
▪️Damu ndani ya mkojo.
▪️Kushindwa kukojoa.
▪️Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
▪️Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
▪️Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
▪️Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.

*UCHUNGUZI*
Wanaume wote wanpaswa kufanya uchunguzi wa saratani ya tezi dume kuanzia miaka 50. Kwa wale wenye historia katika familia wanapaswa kuanza wakiwa na umri wa miaka 45.

*Uchunguzi unafanyika kwa njia zifuatazo*

🔹Uchunguzi kwa cancer marker kwa kuchunguza damu (PSA).
🔹Uchunguzi kwa njia ya kipimo cha njia ya haja kubwa (DRE)
🔹Biopsy.
🔹Ultrasound.
🔹X-ray.
🔹Bone scan.

*Jinsi ya kutibu saratani ya tezi dume*

▪️Matibabu ya tiba lishe na tabia*
▪️Upasuaji.
▪️Mionzi
▪️Dawa ya saratani
▪️Homoni.

*Matibabu hutegemea*

▪️Ngazi na ukali wa ugonjwa.
▪️Je, ugonjwa upo ndani ya tezi dume tu au umesambaa.
▪️Umri na afya ya mgonjwa.
▪️Magonjwa ambatanishi na saratani hiyo, shinikizo la damu, matatizo ya moyo na kisukari.

TIBA
*TIBA LISHE, KUBADILIFUMO WA MAISHA NA TABIA*
▪️Tiba hii hulenga kuondoa mazingira hatarishi ya kuzaliwa kwa chembechembe hai za tezi dume bila utaratibu, kupunguza mazingira ya acid na lulifanya tezi kurudi katika umbo lake la awali. Vyakula k**a nyama, maziwa, ngano, pombe na sigara huondolewa katika mlo huo ili kupunguza shambulio hatarishi. Sambamba na lishe, mgonjwa au mtu alie na dalili hizo hushauriwa kutumia virutubisho vyenye Zinc, vitamin D, E, C, Follic acid na amino acids kwa kiasi kikubwa.

*UPASUAJI*
▪️Kuondoa tezi dume yote peke yake inaweza ikatosha.
▪️Kuondoa tezi dume na tezi jirani.
▪️Kuondoa tezi dume na kuhasi
▪️Kuondoa tezi dume kidogo kupitia njia ya mkojo na kumpa mgonjwa tiba shufa.

MIONZI.
▪️Dawa na upasuaji inaweza kuondoa ugonjwa iwapo haujasambaa.
▪️Mionzi pia hutolewa k**a tiba shufaa.

*DAWA YA SARATANI*
▪️Baadhi ya wagonjwa hufaidika na tiba hii, dawa hutolewa kwa muda mfupi na kufuatilia maendeleo ya mgomjwa kwa kufanya PSA,dawa inaweza kuwa moja au mchanganyiko.

*HOMONI*
▪️Hutolewa mfullulizo kwa njia ya vidonge au sindano.

*Ufuatiliaji wa karibu*
▪️Ni muhimu kufuatilia hali ya tezi isirejee baada ya ugonjwa kutibiwa kwa kufanya kipimo cha PSA mara kwa mara angalau miezi mitatu mara moja.

_Athari zitokanazo na matibabu mbalimbali yaliyotajwa._

*Upasuaji*
Unaweza kusababisha kutoweza:
▪️Kuzuia mkojo
▪️Kupoteza nguvu za kiume.

*Homoni*
▪️Homoni huongeza joto mwilini
▪️Kupungukiwa na nguvu za kiume

TIBA YA KUREJESHA HESHIMA YA NDOA kiboko ya tatizo la nguvu za kiume ..... .Ni dawa ya kudumu  yenye mchanganyiko wa daw...
11/01/2022

TIBA YA KUREJESHA HESHIMA YA NDOA kiboko ya tatizo la nguvu za kiume ..... .
Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya nguvu za kiume kwa asilimia100 % k**a ifuatavyo.

1️⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
2️⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk

3️⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
4️⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
5️⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( s***m mobility)
6️⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
7️⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
8️⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
9️⃣ Inarutubisha mayai
NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
Epuka aibu hii na rejesha furaha "
Dawa ndio kiboko yao
Karibuni sana ofisini kwetu
Wasiliana nasi kwa namba 0769716435

https://chat.whatsapp.com/Lgu0PLNFn5w4VyiELUshW3*JINSI YA KUTATUA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME BILA YA KUTUMIA DAWA ZA CHEMI...
07/01/2022

https://chat.whatsapp.com/Lgu0PLNFn5w4VyiELUshW3
*JINSI YA KUTATUA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME BILA YA KUTUMIA DAWA ZA CHEMICAL*

K**a wewe ni muathika wa kujichua na unayehangaika kuupata suluhisho kwa kipindi kirefu bila ya kuona mafanikio basi nina habari nzuri mno.

Nimekuandalia *DARASA BURE* kabisa yenye kukuboresha na Jinsi ya (kutatua tatizo nguvu za kiume na kupata heshima nyumbani*

Kujiunga hilo darasa andika namba yako ya simu hapo chini na nitakuingiza katika group letu la mafunzo mara moja.

Ndani ya darasa hilo tutazungumzia yafuatayo:

1. Namna ya kuweza go kurudia tendo zaid ya mara tatu
2. Kufanya mazoezi ya uume kusimama mda mrefu bila ya kuchoka
3. Kuongeza kiasi cha mbegu zenye uwezo wa kutungisha
4. Kufanya uweze kuchelewa kufika kileleni
5. Kufanya uwe na nguvu na stamina

Kuhudhuria hilo darasa wahi mara moja kwa kunitumia ujumbe whatsapp namba ipo hapa chini.

*Wahi kabla ya group kujaa.*

Ni mimi mwenye kujali mafanikio/afya yako,

Mr LOTH SAMWEL GUNDA
Mtaalam na mshauri wa HUDUMA za afya
call/WhatsApp 0769716435
GUSA HII NAMBA KUJA WHATSAPPhttps://chat.whatsapp.com/Lgu0PLNFn5w4VyiELUshW3

WhatsApp Group Invite

Address

Dar Es Salaam Tanzania Mlimani City
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255769716435

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LOSA G Health CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to LOSA G Health CARE:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram