Naipenda_afya_yangu

Naipenda_afya_yangu TUNASAIDIA WATU KULUDISHA AFYA ZAO KWA NJIA ASILIA BILA KUTUMIA KEMIKALI DAWA ZETU NI ASILI KUTOKA MAREKANI


0692392418
0758051413

02/05/2022

" MAUMIVU YA VIUNGO , KIUNO , SHINGO , MGONGO , NYONGA ,MIGUU KUWAKA MOTO , KUKAKAMAA KWA MISULI NA VIUNGO . 👉 YANAVYO WATESA WAZEE , WATOTO , WANAMICHEZO , WENYE UZITO MKUBWA NA WANYANYUA VYUMA (WANA GYM) - HILI HAPA SULUHISHO LAKE. "Chanzo, Dalili na Suluhisho" 👇👇👇 Matatizo ya viungo,miguu kuwaka moto,maumivu ya kiuno na mgongo, yamekua yakiwasumbua watu wengi hasa wenye uzito mkubwa,wanaofanya mazoezi na wazee wenye umri kuanzia 45+

Hii ni kwasababu umri unavyozidi kwenda mwili unashindwa kuzalisha ute ute katika viungio vya mifupa,na hivyo kupelekea misuguano ya mifupa,ambapo husababisha maumivu makali sana na kupelekea mtu kushindwa Kukaa,Kuinuka,Kukimbia au Kutembea Kabisa!! CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR). -Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa.

Inaweza kuwa cartilage inalika,upungufu wa synovial fluid(Maji Maji Katika Maungio),maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo Mbali Mbali,Ikiwemo Uzito mkubwa.

Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo hilo moja.

Chanzo Cha Arthritis Ni Nini...? Ili Upate Kuelewa Vyema Chanzo cha ugonjwa huu,hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana(Maungio). Mfano Goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:

Maungio ya mifupa-Ligaments; -Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja,hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje,ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage;Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja,Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Capsule;Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote,ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane.

Synovial fluid ni ute ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.

Fahamu tatizo la mtindio wa ubongo kiundani zaidiKupooza ubongo kitaalamu ni Cerebral plasy (CP), ni hali ya kupooza ya ...
22/06/2020

Fahamu tatizo la mtindio wa ubongo kiundani zaidi

Kupooza ubongo kitaalamu ni Cerebral plasy (CP), ni hali ya kupooza ya moja kwa moja ya viungo vya mwili inayotokana na sehemu ya ubongo(seli)inayotawala viungo hivyo kufa katika kipindi cha mwanzo cha maisha(childhood).

AU ni aina ya tatizo la mishipa ya fahamu inayoathiri misuli ya mwili inayotokana na selli za ubongo wa mtoto kufa au kutengenezeka vibaya katika kipindi cha mwisho wa ujauzito(3rd trimester), kipindi cha kuzaliwa au kipindi cha miaka miwili ya mwanzo wa mtoto.

Hii inatoka na sehemu ya ubongo kukosa oksijeni na virutubisho vya kutosha inayopelekea celli hizo kufa. Tunajua kuwa ubongo una kazi mbalimbali mfano kufikilia,kufanya maamuzi(decion making) pia inatawala sehemu mbalimbali ya viungo vya mwanadamu,mfano ubungo wa nyuma unahusika na kuona k**a wakati mtoto akichelewa kulia cell za ubongo wa nyuma (occipital) zikafa mtoto huyu baadae atakuwa na matatizo ya kuona.

Visababishi.
Vitu vingi vinaweza kusababisha ubongo kupooza, navyo ni katika kipindi cha ujauzito(mtoto akiwa tumboni), wakati wa kujifungua(80%) na kuugua mtoto kipindi cha mwanzo kabla ya miaka miwili.

Zaidi ya 67% ya watoto wote wenye tatizo la ubongo kupooza(CP) Tanzania inatokana na kuchelewa kulia baada ya kuzaliwa(birth asphyxia) ambayo inatokana na mama mjamzito kukaa na uchungu kwa muda mrefu(prolonged labour).

Ikifatiwa na manjano(severe neonatal jaundice) na degedege baada ya kuzaliwa inayopelekea celli za ubongo kufa.

Kabla ya miaka 2, mtoto akipata homa ya uti wa mgongo(meningitis) mtoto kuanguka(head trauma), malaria kali, matatizo haya yanaweza kuathiri seli za ubongo za mtoto ambazo haujakomaa.

Katika kipindi cha awali ujauzito(1st trimester) mama akipata mashambulizi ya magonjwa na kipindi cha miezi ya mwisho ya ujauzito (3rd trimester) shinikizo la damu kuwa juu(Pregnancy Induced Hypertension) na kifafa cha mimba/eclampsia kinaweza sababisha usafirishaji wa damu yenye oksijeni na virutubisho kupitia kondo la nyuma kushindikana vizuri hii inaweza pelekea baadhi ya cell kwenye mwili wa mtoto aliye tumboni kufa.

Kwa utafiti uliofanyika katika hospitali ya taifa ya Muhimbili mwaka 2013 kuhusiana na sababu za watoto waliopooza ubongo, inaonesha zaidi ya 80% ya watoto wenye tatizo hilo linatokana na matatizo katika kipindi cha kujifungua.

Matokeo/madhara.
Madhala ya ubongo kupooza huwa yanatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kwasababu inategemeana na sehemu ipi ya ubongo iliyoathiriwa zaidi.
Kupooza ubongo(CP) kunaleta matokeo mabaya ya moja kwa moja(permanent) katika mwili wa mtoto, Kila mfumo katika mwili wa mtoto unaweza athiriwa mfano mfumo wa chakula, wa hewa, mkojo,fahamu, na wa misuli ,athari zenyewe ni kupata degedege, Kifafa, mtoto kuwa na kichwa kikubwa(macrocephaly), mtoto kuwa na kichwa kidogo sana(microcephaly), tatizo la kusikia, kuona, kuongea,kumeza pia kushindwa kutembea na kupata choo ngumu(constipation) , Pia utahila(mental retardation).

Matibabu.
Tatizo la ubongo kupooza hakuna matibabu yake, kitalamu imechunguzwa lakini kwa sababu ya dawa tulizo nazo ambazo kitalamu zimechunguzwa tatizo ili lina tibika kabisa.
Asante naamini umejifunza na kuelewa. Mtalamu wa virutubisho lishe share na ku comment kwa mawasiliano zaidi piga namba 0692392418

UGONJWA WA KUUMWA VIUNGO VYA MWILI (ARTHRITIS) AU YABISIKAVUUGONJWA wa maumivu ya viungo huitwa kwa jina lingine yabisik...
21/06/2020

UGONJWA WA KUUMWA VIUNGO VYA MWILI (ARTHRITIS) AU YABISIKAVU

UGONJWA wa maumivu ya viungo huitwa kwa jina lingine yabisikavu. Jina la Kingereza la ugonjwa huo, ‘arthritis, linatokana na maneno ya Kigiriki yanayomaanisha viungo vilivyovimba. Mbali na kuathiri viungo, magonjwa hayo yanaweza kuathiri pia misuli, mifupa, na mishipa inayounganisha misuli na mifupa mbalimbali inayogandamiza viungo.Aina fulani za yabisikavu zinaweza kuathiri ngozi yako, maungo ya ndani ya mwili, na hata macho yako. Tutachunguza hasa magonjwa mawili ya aina ya yabisikavu, yaliyo ya kawaida sana—ugonjwa wa osteoarthritis na baridiyabisi.

Kiungo ni mahali ambapo mifupa miwili imeunganishwa. Mfuko unaonyumbuka hufunika viungo fulani vinavyolainishwa na umajimaji mzito.Mfuko huo huvilinda viungo hivyo na kuvitegandamiza na una utando wa ndani unaotoa umajimaji huo wenye kulainisha.

Ncha ya mifupa iliyomo ndani ya mfuko huo imefunikwa kwa mfupa mwororo unaoitwa gegedu ambayo inazuia mifupa yako isisuguane. Nayo hulinda viungo vyako kwa kupunguza shinikizo na kwa kufanya mifupa yote ihimili shinikizo kwa usawa. Kwa mfano, unapotembea, kukimbia, au kuruka, shinikizo kwenye viuno na magoti yako linaweza kuwa mara nne hadi mara nane ya shinikizo la uzito wako, gegedu husaidia mifupa yako kuhimili uzito huo inaposhinikizwa.

Mtu anaposhikwa na ugonjwa wa baridi yabisi, mfumo wa kinga wa mwili huanza kushambulia viungo vyake. Kwa sababu isiyojulikana, chembe nyingi za damu, ambazo ni chembe muhimu katika mfumo wa kinga wa mwili huingia ghafla katika vitundu vya kiungo. Jambo hilo husababisha utendaji mwingi wa kemikali ambao hufanya kiungo kifure.

Huenda chembe zinazotokeza umajimaji zianze kuongezeka kwa wingi sana, na kusababisha uvimbe unaoitwa pannus. Kisha uvimbe huo hutokeza vimeng’enya vinavyoharibu gegedu. Sasa kwa sababu mifupa inaweza kugusana, inakuwa vigumu kusogeza kiungo na hiyo husababisha maumivu makali sana. Misuli pia hupoteza nguvu. Hiyo inafanya kiungo kianze kulegea na kuteguka kwa kadiri fulani, na mara nyingi kuharibika umbo.

Kwa kawaida ugonjwa wa baridiyabisi huathiri viwiko, magoti, na miguu kwa wakati mmoja.Asilimia 50 ya wagonjwa wanaougua baridiyabisi hupata pia uvimbe au vinundu chini ya ngozi. Wengine wana upungufu wa damu, na wanaumwa na koo na macho makavu. Uchovu na dalili za mafua, k**a vile homa na maumivu ya misuli, ni dalili nyingine za baridiyabisi.

Namini umejifunza na kuelewa kuhusu ugonjwa wa arthritis au baridiyabisi tiba ipo na inapatikana. Mtalamu wa virutubisho lishe share na comment kwa maelezo zaidi piga 0692392418 na wasap no ni 0692392418 Asante

GAUTI (Gout) ni aina ya ugonjwa unaoathiri viungo vya mwili unaosababishwa na kuwepo kwa kiasi kikubwa kuliko kawaida ch...
07/06/2020

GAUTI (Gout) ni aina ya ugonjwa unaoathiri viungo vya mwili unaosababishwa na kuwepo kwa kiasi kikubwa kuliko kawaida cha tindikali ya Urea (uric acid) katika damu. Ongezeko la uric acid husababisha madhara katika jointi (joint) (jointi ni sehemu ya mwili inapokutana/ inapoungana mifupa miwili).

Gauti inaweza kutokea ghafla, kitaalamu huitwa acute gout au ikawa sugu yaani chronic gout. Gauti inayotokea ghafla huwa na maumivu makali na mara nyingi huathiri jointi moja tu wakati gauti sugu inaweza kuathiri jointi zaidi ya moja na huambatana na hali ya kujirudia ya maumivu na uvimbe kwenye jointi.

Gauti husababishwa na kuwepo kwa kiwango kikubwa kuliko kawaida cha uric acid katika damu. Hali hiyo hutokea iwapo mwili wa mgonjwa unatengeneza uric acid nyingi kuliko kawaida au unashindwa kutoa uric acid mwilini k**a inavyotakiwa.

Ongezeko hili husababisha mrundikano wa uric acid katika majimaji yanayozunguka jointi yanayoitwa synovial fluid na hatimaye kutengeneza vijiwe vidogo vidogo vya tindikali ya urea yaani uric acid crystals ambavyo husababisha jointi kuvimba na hatimaye kuathirika.

Ingawa chanzo hakieleweki vema, ugonjwa wa gauti hutokea kuwapata baadhi ya watu walio katika familia moja. Wanaume huathiriwa zaidi kuliko wanawake ingawa wanawake waliokoma kupata hedhi huathiriwa zaidi kuliko wale wanaoendelea kupata hedhi.

Aidha unywaji pombe unachangia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa ugonjwa huu pamoja na matumizi ya baadhi ya madawa k**a vile dawa za kutoa maji mwilini ambazo kwa ujumla husababisha ongezeko la kiwango cha uric acid katika damu.

Vihatarishi vingine vya gauti ni pamoja na kuwa na ugonjwa wa kisukari, magonjwa ya figo, unene uliopitiliza, ugonjwa wa sickle cell anemia au aina nyingine za upungufu wa damu, pamoja na saratani ya damu (leukemia).

Hali kadhalika, gauti inaweza kusababishwa na matumizi ya dawa ambazo utendaji wake kazi huingiliana na utoaji wa uric acid mwilini.

DALILI

Dalili za gauti kwa kawaida huhusisha jointi moja au jointi chache. Jointi zinazoathiriwa zaidi ni pamoja na kidole kikubwa cha mguuni, magoti au kiwiko cha mguu.

Wagonjwa huwa na maumivu yanayoanza kwa ghafla hususan nyakati za usiku. Mara nyingi mgonjwa hudai anasikia maumivu makali k**a kitu kinachokata, kupwita au mifupa inayosagana. Jointi hubadilika na kuwa na joto, kuvimba na kuwa na nyekundu. Kwa kawaida mgonjwa hulalamika maumivu makali ikiwa ataguswa kwenye jointi yenye matatizo.

Shambulio linaweza kudumu kwa siku kadhaa kabla mgonjwa hajapata nafuu, lakini pia laweza kujirudia mara kwa mara. Pia mgonjwa anaweza kujihisi homa. Baadhi ya wagonjwa hupata gauti sugu ambayo huwaletea madhara sugu katika jointi hali ambayo husababisha mgonjwa kujihisi maumivu.

Wagonjwa wenye gauti kwa muda mrefu huwa pia na vinundu chini ya ngozi inayozunguka jointi zilizoathirika. Vinundu hivi kwa kitaalamu huitwa trophy na ni ishara ya muhimu kwa madaktari.

Vipimo vya gauti hujumuisha kiwango cha uric acid katika damu. Hata hivyo, si kila aliye na kiwango kikubwa cha uric acid katika damu huwa na gauti. Mtu anaweza kufanyiwa uchunguzi wa maji maji yanayozunguka jointi kuchunguza vijiwe katika jointi, X ray ya jointi iliyoathirika au uchunguzi wa utando unaozunguka jointi.

MATIBABU

Matibabu ya gauti hujumuisha matumizi ya dawa, lishe pamoja na mabadiliko katika mfumo wa maisha wa mgonjwa. Dawa hutumika mara tu mgonjwa anapopata shambulio, Dawa zipo na zinatibu tatizo kabisa bila kurudi wala madhara ya k**emikali,karibu tukuhudumie.
Kwa mawasiliano zaidi piga no 0686392418/0758051413

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya ...
07/06/2020

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

1 .Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa

2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua vizuri

Madhara ya vidonda vya tumbounakuwa mtu wa kuchagua vit vya kula sababu vyakula vngine ukila vinakumiza tumbo.Kukosa raha kwasababu ya maumivu makalicancer pia husababisha kifo.

ACHA KUHANGAIKA TIBA IPO NA YA UHAKIKA, wataalam wa virutubisho lishe ambazo ni dawa zisizo na kemikali na za uhakika sana.
Kwa mawasiliano zaidi piga no0686392418/ 0758051413
Share na kucoment

Licha ya ukweli kuwa wakati wa mlo huwa ni wa furaha lakini kwa wazazi walio wengi hususan wenye watoto wadogo huwa ni m...
05/06/2020

Licha ya ukweli kuwa wakati wa mlo huwa ni wa furaha lakini kwa wazazi walio wengi hususan wenye watoto wadogo huwa ni matatizo. Nazungumzia wazazi wenye watoto wasiopenda kula.

Tatizo la kutopenda kula limekuwa likiwanyima raha wazazi wengi kiasi cha kuhangaika hapa na pale kutafuta njia mbadala itakayowafanya watoto wao angalau wapende kula japo kwa kiasi kidogo.

Pamoja na kutumia njia hizo, bado huwa katika mtihani mkubwa kwani nyingi kati ya njia hizo, hushindwa kuzaa matunda.

Kwa kufahamu hilo, wataalamu wa mambo ya malezi walitoa suluhisho kuhusu tatizo hilo. Kwa kusoma makala haya, unaweza kupata njia zitakazokuongoza kubadilisha tabia hiyo ya mtoto wako.

Kushindwa kupata suluhisho la tabia ya kutokula kwa watoto, kunatokana ukweli kuwa wazazi wengi huwa hawajui nini hasa kiini cha tatizo hilo. Wengi wao hawaelewi kuwa tatizo hilo linatokana na athari ya kitabia isiyo ya kawaida kwa mtoto. Tatizo hili husababisha mtoto kuwa na umeng’enyaji wa taratibu wa chakula, pia hupoteza hamu ya kula. Lakini je, unafahamu kuwa mzizi wa tatizo hilo upo kichwani na wala si tumboni k**a wengu wanavyodhani.
Mimi ni mtaalam wa virutubisho lishe ambavyo ni tiba na suluhisho la tatizo la mtoto wako.
share na kucoment kwa faida ya wengine .
Kwa mawalisiano zaidi piga 0692392418 au watsap tumsaidie mtoto wako .

04/06/2020



Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote
________________________________



1:UMRI
Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali k**a miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea

2:KISUKARI
Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu halo hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufadsaha maeneo ya mbali sana k**a miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi

3:DAMU NZITO
Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia
________________________________



-Hii ni dawa asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara -Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili
-Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi
-Huiuisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupiga


-Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi k**a ikitumika pamoja na

07/01/2020

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/ SEHEMU ZA* *SIRI*
*(VAGINAL THRUSH)* NA U.T.I SUGU


Ndugu zangu naomba nielezee kuhusu mwanamke na uke,kwa maana ya

UKE ni kiungo cha uzazi wa mwanamke, ambamo ndani yake kuna Lactobacillus bacteria na fangasi wazuri abao wako katika kiwango kinacho lingana/a balanced mix. Bacteria hawa na fangasi hizi husaidia sana kuulinda uke na maradhi mbalimbali endapo uwiano wake hauta bughuziwa. LActobacillus bakteria hutoa acid ambazo huzuia fangasi kukuwa au kuwa wengi zaidi.

*UGONJWA WA FANGASI* *ZA* *UKENI* ni ugonjwa anaoupata mwanamke endapo fangasi watakuwa wengi zaidi ya bacteria wazuri waliopo ukeni au k**a pH ya ukeni imezidi kiwango cha kawaida kinachopaswa(pH 3.5-4.5 ndio kiwango kizuri kiafya).

FANGASI ZA UKENI MARA NYINGI HUSABABISHWA NA FANGASI WAITWAO CANDIDA ALBICANS, LAKINI WAKATI MWINGINE NI AINA NYINGINE ZA FANGASI

*VITU VINAVYOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA FANGASI* *ZA UKENI*

kunasababu nyingi sana baadhi ya hizo ni;
1.MATATIZO YA HOMONI(HOMONI ZA KUBADILIKA/KUWANYINGI SANA AU KUSHUKA SANA) hii inaweza kusahabishwa na; ukomo wa hedhi,ujauzito, (MP)kuwa katika siku za mwezi, matumizi ya dawa za kuongeza kiwango cha hormon za k**e

2. MATUMIZI YA ANTIBIOTICS hizi huuwa bacteria wazuri na kubadiri ph ya uke

3.KUFANYA MAPENZI NA MTU ALIYE NA UGONJWA WA FANGASI ZA SEHEMU ZA SIRI BILA KINGA

4.KUSHUKA KWA KINGA YA MWILI hii inaweza kusababishwa na magonjwa mbalimbali k**a UKIMWI, KISUKARI, UPUNGUFU WA MADINI,VITAMINI NA VIRUTUBISHI MBALIMBALI VYA MWILI.

5.ULAJI MBAYA HASA KUPENDELEA VYAKULA VYENYE SUKARI KWA WINGI (SUKARI NI CHAKULA KWA FANGAS HIVYO HUONGEZEKA).

6.KUKOSA USINGIZI NA MSONGO WA MAWAZO .

*DALILI ZINAZOONESHA* *KUWA* *UNAUGONJWA* *WA* *FANGAS ZA UKENI*

Kuna dalili nyingi sana k**a zifuatavyo;

~MUWASHO SEHEMU ZA SIRI

~VIPELE VIDOGO VIDOGO UKENI

~KUTOKWA UCHAFU MWEUPE AU WA RANGI YA KIJIVU UKENI WENYE HARUFU MBAYA

~VIDONDA AU MICHUBUKO UKENI

~KUYOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI

~KUPATWA NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA

~KUVIMBA NA KUWA MWEKUNDU KATIKA MDOMO WA NJE WA UKE

~KUWAKA MOTO NDANI NA NJE YA UKE

KINGA NA TIBA YA FANGASI NA MIWASHO UKENI TUPIGIE NUMBER
AU #0692392418

" MAUMIVU YA VIUNGO , KIUNO , SHINGO , MGONGO , NYONGA ,MIGUU KUWAKA MOTO , KUKAKAMAA KWA MISULI NA VIUNGO . 👉 YANAVYO W...
16/12/2019

" MAUMIVU YA VIUNGO , KIUNO , SHINGO , MGONGO , NYONGA ,MIGUU KUWAKA MOTO , KUKAKAMAA KWA MISULI NA VIUNGO . 👉 YANAVYO WATESA WAZEE , WATOTO , WANAMICHEZO , WENYE UZITO MKUBWA NA WANYANYUA VYUMA (WANA GYM) - HILI HAPA SULUHISHO LAKE. "Chanzo, Dalili na Suluhisho" 👇👇👇 Matatizo ya viungo,miguu kuwaka moto,maumivu ya kiuno na mgongo, yamekua yakiwasumbua watu wengi hasa wenye uzito mkubwa,wanaofanya mazoezi na wazee wenye umri kuanzia 45+

Hii ni kwasababu umri unavyozidi kwenda mwili unashindwa kuzalisha ute ute katika viungio vya mifupa,na hivyo kupelekea misuguano ya mifupa,ambapo husababisha maumivu makali sana na kupelekea mtu kushindwa Kukaa,Kuinuka,Kukimbia au Kutembea Kabisa!! CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR). -Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa.

Inaweza kuwa cartilage inalika,upungufu wa synovial fluid(Maji Maji Katika Maungio),maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo Mbali Mbali,Ikiwemo Uzito mkubwa.

Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo hilo moja.

Chanzo Cha Arthritis Ni Nini...? Ili Upate Kuelewa Vyema Chanzo cha ugonjwa huu,hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana(Maungio). Mfano Goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:

Maungio ya mifupa-Ligaments; -Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja,hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje,ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage;Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja,Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Capsule;Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote,ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane.

Synovial fluid ni ute ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.0692392418

14/12/2019

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA, ~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba

JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!! ~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
CHA TATIZO*
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
√UZAZI-MIMBA NA KIPINDI CHA KUJIFUNGUA 👉UZITO KUPITA KIASI 👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU.

ZA BAWASIRI👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa 👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia 👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa 👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo 👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia) 👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo 👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia 👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,, NA KINGA YA BAWASIRI YA UHAKIKA* *(NOVEL DE PILE)*🤞🤞 √NOVEL DE PILE NI BIDHAA YA ASILI INAYOSAIDIA KUPONYESHA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS) √INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
,,HIVYO BAWASIRI INAPOTEA KABISAAAAA,,, √HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,

Piga 0692392418
kupata huduma na ushauri.
HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA TFDA,HALAL,GMP NK....

14/12/2019


Tezi:
Ni sehemu ya mfumo wa uzazi wa kiume iliyo mbele kidogo ya puru (Re**um) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo na uume (Urethra) Ina ukubwa wa kawaida japo ukubwa huongezeka kadri umri unavyoongezeka.


1. Kupata shida wakati wa kukojoa
2. Kutiririkwa mkojo wakati na baada ya kukojoa
3. Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
4. Kukojoa mara Kwa mara hasa usiku
5. Kujikamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote
na ili kujua k**a unatezi dume ni muhimu kufanya vipimo vifuatavyo:- Njia hii utaingiziwa kidole cha kati katika puru ili kuihisi katika ukuta wa puru
Unaweza kupona saratani ya tezi dume ima Kwa kufanyiwa upasuaji au Kwa kutumia njia mbadala ili kulikausha tezi hilo.

ni kirutubisho maalumu ambacho kimetengenezwa na mimea asili Kwa ajili ya kulikausha tezi lililovimba katika mfumo wa uzazi wa mwanaume
Kwa mawasiliano namna ya kutibu tezi dume piga 0692392418
inatibika bila upasuaji.

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/ SEHEMU ZA* *SIRI*  *(VAGINAL THRUSH)*  Ndugu zangu naomba nielezee kuhusu mwanamke na uke,k...
14/12/2019

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/ SEHEMU ZA* *SIRI*
*(VAGINAL THRUSH)*


Ndugu zangu naomba nielezee kuhusu mwanamke na uke,kwa maana ya

UKE ni kiungo cha uzazi wa mwanamke, ambamo ndani yake kuna Lactobacillus bacteria na fangasi wazuri abao wako katika kiwango kinacho lingana/a balanced mix. Bacteria hawa na fangasi hizi husaidia sana kuulinda uke na maradhi mbalimbali endapo uwiano wake hauta bughuziwa. LActobacillus bakteria hutoa acid ambazo huzuia fangasi kukuwa au kuwa wengi zaidi.

*UGONJWA WA FANGASI* *ZA* *UKENI* ni ugonjwa anaoupata mwanamke endapo fangasi watakuwa wengi zaidi ya bacteria wazuri waliopo ukeni au k**a pH ya ukeni imezidi kiwango cha kawaida kinachopaswa(pH 3.5-4.5 ndio kiwango kizuri kiafya).

FANGASI ZA UKENI MARA NYINGI HUSABABISHWA NA FANGASI WAITWAO CANDIDA ALBICANS, LAKINI WAKATI MWINGINE NI AINA NYINGINE ZA FANGASI

*VITU VINAVYOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA FANGASI* *ZA UKENI*

kunasababu nyingi sana baadhi ya hizo ni;
1.MATATIZO YA HOMONI(HOMONI ZA KUBADILIKA/KUWANYINGI SANA AU KUSHUKA SANA) hii inaweza kusahabishwa na; ukomo wa hedhi,ujauzito, (MP)kuwa katika siku za mwezi, matumizi ya dawa za kuongeza kiwango cha hormon za k**e

2. MATUMIZI YA ANTIBIOTICS hizi huuwa bacteria wazuri na kubadiri ph ya uke

3.KUFANYA MAPENZI NA MTU ALIYE NA UGONJWA WA FANGASI ZA SEHEMU ZA SIRI BILA KINGA

4.KUSHUKA KWA KINGA YA MWILI hii inaweza kusababishwa na magonjwa mbalimbali k**a UKIMWI, KISUKARI, UPUNGUFU WA MADINI,VITAMINI NA VIRUTUBISHI MBALIMBALI VYA MWILI.

5.ULAJI MBAYA HASA KUPENDELEA VYAKULA VYENYE SUKARI KWA WINGI (SUKARI NI CHAKULA KWA FANGAS HIVYO HUONGEZEKA).

6.KUKOSA USINGIZI NA MSONGO WA MAWAZO .

*DALILI ZINAZOONESHA* *KUWA* *UNAUGONJWA* *WA* *FANGAS ZA UKENI*

Kuna dalili nyingi sana k**a zifuatavyo;

~MUWASHO SEHEMU ZA SIRI

~VIPELE VIDOGO VIDOGO UKENI

~KUTOKWA UCHAFU MWEUPE AU WA RANGI YA KIJIVU UKENI WENYE HARUFU MBAYA

~VIDONDA AU MICHUBUKO UKENI

~KUYOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI

~KUPATWA NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA

~KUVIMBA NA KUWA MWEKUNDU KATIKA MDOMO WA NJE WA UKE

~KUWAKA MOTO NDANI NA NJE YA UKE

KINGA NA TIBA YA FANGASI NA MIWASHO UKENI TUPIGIE NUMBER #0673616221
AU #0692392418

14/12/2019

" MAUMIVU YA VIUNGO , KIUNO , SHINGO , MGONGO , NYONGA ,MIGUU KUWAKA MOTO , KUKAKAMAA KWA MISULI NA VIUNGO .

👉 YANAVYO WATESA WAZEE , WATOTO , WANAMICHEZO , WENYE UZITO MKUBWA NA WANYANYUA VYUMA (WANA GYM) - HILI HAPA SULUHISHO LAKE.

"Chanzo, Dalili na Suluhisho" 👇👇👇

Matatizo ya viungo,miguu kuwaka moto,maumivu ya kiuno na mgongo, yamekua yakiwasumbua watu wengi hasa wenye uzito mkubwa,wanaofanya mazoezi na wazee wenye umri kuanzia 45+

Hii ni kwasababu umri unavyozidi kwenda mwili unashindwa kuzalisha ute ute katika viungio vya mifupa,na hivyo kupelekea misuguano ya mifupa,ambapo husababisha maumivu makali sana na kupelekea mtu kushindwa Kukaa,Kuinuka,Kukimbia au Kutembea Kabisa!!

CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR).

-Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa.

Inaweza kuwa cartilage inalika,upungufu wa synovial fluid(Maji Maji Katika Maungio),maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo Mbali Mbali,Ikiwemo Uzito mkubwa.

Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo hilo moja.

Chanzo Cha Arthritis Ni Nini...?

Ili Upate Kuelewa Vyema Chanzo cha ugonjwa huu,hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana(Maungio).

Mfano Goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:

Maungio ya mifupa-Ligaments;

-Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja,hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje,ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage;Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja,Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Capsule;Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote,ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane.

Synovial fluid ni ute ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.

K**a nilivyoeleza hapo juu,kuwa kuna aina zaidi ya 100 za ugonjwa huu wa joints au arthritis.

Katika mada yetu ya leo tutatazama aina k**a nne hivi za ugonjwa huu,tukielezea chanzo cha kila aina....

1. Osteoarthritis.

- Hii ni aina ya arthritis inayosumbua watu wengi zaidi kuliko aina nyingine zote...
Ugonjwa huu huwapata zaidi watu wenye umri mkubwa,Osteoarthritis hutokea pale cartilage inapopoteza uwezo wake wa kubonyea na kuwa ngumu hivyo kuharibika haraka.

- Cartilage ni kiungo cha kuhimili migandamizo ya ghafla (shock absorber), Cartilage hii inapopoteza ubora wake,tendons na ligaments huvutika na kusababisha maumivu.

Hali ya uharibifu huu wa cartilage ikiendelea,mwishowe mifupa huanza kusuguana moja kwa moja na ndipo mgonjwa atakapoanza kupata maumivu makali sana sana.

- Athari za ugonjwa huanza taratibu na kuongezeka zaidi,Mgonjwa ataanza kupata maumivu kwenye joint baada ya kufanya shuguli fulani au baada ya mapumziko ya muda mrefu. Joints zitaanza kukaza siku hadi siku,Hasa wakati wa asubuhi unapotaka kuanza shughuli zako za kawaida.

Na siku zinavyosogea ndivyo utakavyoona ni vigumu zaidi kukitumia kiungo chako,Mara nyingine utaona uvimbe kwenye joint.

Osteoarthritis hushambulia zaidi nyonga,mikono,magoti na uti wa mgongo.

2. Rheumatoid arthritis.

- Ugonjwa huu hutokea pale mfumo wa kinga ya mwili unapopungua,viungo huanza kushambuliwa, ikiwa ni pamoja na synovial membrane (synovium) na kusababisha uvimbe na maumivu.

Hali hii isipodhibitiwa,huweza kusababisha ulemavu. Ugonjwa huu unaweza pia kushambulia macho,ngozi,mapafu,midomo,damu na mishipa ya damu. Huu ni ugonjwa ambao zaidi ni wa wanawake na huwatokea zaidi wawapo kati ya umri wa miaka 40 hadi 60.

Mgonjwa atasikia maumivu na kuona uvimbe kwenye joints za pande zote za mwili;

Yaani k**a ni magoti,yote mawili yatashambuliwa na Viungo vinavyo shambuliwa zaidi ni vidole,viwiko vya mikono na miguu.

- Athari zake huonekana zaidi asubuhi unapoamka na maumivu yanaweza kudumu kwa muda wa hadi nusu saa.

Muathirika wa ugonjwa huu hujisikia mchovu muda wote, hukosa hamu ya kula na hupungua uzito,Ugonjwa huu huweza kukua zaidi na Kusababisha matatizo katika viungo vyote vya mwili.

Matatizo yanayoweza kujitokeza ugonjwa ukikua ni k**a yafuatayo:

– Macho kuwa na ukavu,maumivu,wekundu,kutopenda mwanga na kutoona vizuri.
– Midomo,Ukavu au kukauka kwa lips za midomo,maumivu na maambukizi ya fizi.
– Ngozi,Vijinundu chini ya ngozi kwenye maeneo yenye mifupa
-- Mapafu,Kushindwa kupumua vizuri.
– Mishipa Ya Damu,Uharibifu wa mishipa ya damu.
– Damu,Upungufu wa chembechembe nyekundu za damu.

3. Infectious arthritis (septic arthritic).

- Aina hii ya arthritis inatokana na maambukizi ya bacteria kwenye synovial fluid. Maambukizi haya yanaweza kuwa pia ni ya fungus au virusi.

Wadudu kutoka sehemu nyingine ya mwili iliyo karibu na maungio ya mifupa huweza kusambaa kupitia mfumo wa damu hadi kwenye joint na kuleta maambukizi.

Mara nyingi mtu mwenye aina nyingine ya arthritis ndiye anayepata maambukizi ya namna hii,Mgonjwa ataanza kwanza kupata homa, maumivu na uvimbe kwenye joint.

Maeneo ambayo hushambuliwa zaidi na aina hii ya arthritis ni goti, mabega,kiwiko cha mkono,kiganja (wrist) na vidole na mara nyingi ni eneo moja tu ndilo litakaloshambuliwa.

4. Juvenile rheumatoid arthritis (JRA).

- Ni ugonjwa ambao huwapata zaidi vijana walio na umri ulio chini ya miaka 16 na unakuja kwa namna nyingi.
Kuna aina kuu tatu za ugonjwa huu:

I. Pauciarticular JRA.

- Huu ndiyo unaoonekana zaidi na hauna madhara makubwa ukilinganisha na aina nyingine,Mtoto atasikia maumivu kwenye joints zinazofikia nne.

II. Polyarticular JRA.

- Huu hushambulia joints nyingi zaidi, zaidi ya nne na maumivu yake ni makali zaidi.

Kadri siku zinavyoongezeka, ndivyo maumivu yatakavyozidi.

III. Systemic JRA.

- Huu huonekana kwa nadra ambapo maumivu hujitokeza kwenye maeneo mengi na madhara yake kuwa makubwa zaidi,Mtoto ataanza kusikia homa za vipindi ambapo huzidi zaidi nyakati za jioni.

Hali hii inaweza kumtokea mtoto kwa muda mfupi au kwa wengine kwa muda mrefu sana.

Mtoto atapata mauvimu kwenye maungio ya mifupa (joints),uvimbe kwenye maungio hayo na kukak**aa kwa viungo.

Mtoto huyu atakosa hamu ya kula hivyo kumfanya akonde.

Ugonjwa ukizidi, mtoto anaweza kudumaa (kushindwa kukua), ukuaji wa mifupa yake kuathirika na kupata matatizo ya macho (uveitis).

Changamoto Kubwa Ya Matatizo Ya Joints Huwapata Wana Michezo , Wanyanyua Vyuma(Body Builder),Watu Wanaofanya Kazi Ngumu,Mafundi,Watoto Watu wenye Uzito wa kupitiliza,Wabeba Mizigo Na Madereva Wa Masafa Marefu Na Wafanyakazi Wa Mahofisini Wanao Fanya Kazi Za Kukaa Zaidi,watoto wadogo.

Tiba yake ni
_________
Athroextra
Zaminocal
Gluzo joint
__________
ANGALIZO HIZI TIBA LISHE HAZIPATIKANI KWENYE MADUKA YA DAWA MHIM WALA HOSPITALINI.

HIVYO tuwasiliane na Zitatumwa popote Ulipo zitakufikia. #0692392418

Address

Mwananyamala
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255692392418

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naipenda_afya_yangu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Naipenda_afya_yangu:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram