15/06/2016
Le Tasi Eye & Optical Center (iliyo na Wataalamu waliobobea kwenye masuala ya Afya ya Macho) iliyopo egeta Kibaoni inayotazamana na jengo la KIBO COMPLEX inayofuraha kuwatangazia Wazazi wote kuwa siku ya tarehe 16 June, 2016 kutakuwa na UPIMAJI wa AFYA ya MACHO BURE kwa WANAFUNZI wa Shule za Msingi na Secondari ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya siku ya MTOTO wa AFRIKA. Huduma hii itatolewa kuanzia saa Mbili (2:00) asubuhi hadi saa Nane (8:00) mchana Mzazi tumia nafasi hii adimu kujua afya ya macho ya mwanao. Tafadhali upatapo ujumbe huu mtaarifu na mwingine. Wote mnakaribishwa..