30/04/2018
Kwa kifupi kidonda sugu chaweza kumaanisha tatizo kubwa la kiafya zaidi ya kidonda chenyewe. K**a ilivyo kwa magonjwa mengine sugu, kuzuia kupata vidonda kwa kuzingatia na kuishi mitindo bora ya maisha ni nguzo kuu katika kuepuka madhara yatokanayo na tatizo hili